CHADEMA yapoteza umaarufu mkoa wa Kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yapoteza umaarufu mkoa wa Kigoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mkigoma, Aug 10, 2011.

1. m

mkigoma JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 1,182
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni.

Huku wakijikita hasa na mikoa ya kaskazini, pia na kuwatuhumu viongozi wa kitaifa hasa wanaotoka mkoa huo kuonekana kuwa ni mapandikizi, mbali na Zitto pia wanakumbushia Dr Walid Aman Kabourou ambaye ndie aliyeieneza cdm mkoani humo aliitwa pandikizi na viongozi wenzake hasa pale alipotishia kutaka uenyekiti wa chama hicho, hapo ndipo zinapoanza propaganda chafu, kwa hiyo sasa wameamua kutafuta chama chochote si ccm wakiunge mkono.

Ndio maana hata kura za urais mgombea wa CHADEMA alipata kura chache sana na kuambulia jimbo 1, kwa hiyo uchaguzi ujao kulibakisha jimbo hilo itakuwa ndoto.

Mtoaji wa habari ni mkazi na mzaliwa wa kigoma.

2. J

Jiwe la Ukara Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Tatizo la Kigoma linasababishwa na nyie wenyewe. Kwanza lazima mkubali kuwa mnapaswa kuongozwa, na kwamba kuna watu wanafahamu kuliko nyinyi. Hao uliowataja including Nsanzugwako amabaye alikuwa NCCR-Magaeuzi akarejea CCM wanachangia Kigoma kufikiliwa hivyo, na kuna ukweli wake.
Lazima wanasiasa wa Kigoma wafikie hatua ya kukaa chini na kujiuliza wana tatizo gani. Mimi binafsi huwa naweka wazi simwamini Zitto. Nilishagawahi kumwambia hivyo akaniblast ile mbaya. Lazima Kigoma itengeneze wanasiasa wapya ili kuchukua nafasi ya hao wanopotza mvuto. Kigoma ni wahasisi wa mageuzi kwa maana ya kuwa na mbunge wa kwanza kuingia bungeni kutoka upinzani. kuna haja kigoma kama mkoa mkae chini na mtafakali hili.vinginevyo mtabaki historia tu.

3. Henge

Henge JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 6,765
Likes Received: 78
Trophy Points: 145
kwa hiyo waisubilie DUBAI aliyowaahidi JK!

4. L

LAT JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 4,523
Likes Received: 86
Trophy Points: 0
shut up

kigoma is petty business for now .... we are now on wholesale business... now attention is to the national oil shortage tragedy

5. LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 1,640
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Join Date : 26th July 2011
Posts : 33
Rep Power : 0

6. N

Ngonini JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Sep 1, 2010
Messages: 2,024
Likes Received: 8
Trophy Points: 135
Tatizo la kigoma ni kutokukubali kuongozwa na hii ipo kokote si kwenye siasa tu hata makanisani pia. They are really troublesome these guys. Kwanini msikubali kuongozwa? Ningekuwa church ningesema wanapepo la kuongoza ambalo halikubali kuongozwa. Mpaka pepo hili litoke then kigoma itapata wanasiasa watakao fikia kimo cha juu zaidi otherwise forget it! Siku zote kinachotuangusha wanadamu ni kukosa unyenyekevu kitu ambacho bila hicho hatuwezi kumpendeza mtu yoyote.

Hata kama mtaweza kupata kuwa viongozi lakini bado wale mtakao waongoza hawatakubali kwa sababu hamtakuwa tayari kunyenyekea kwao kisa mko juu ya yote. Kimsingi watu wa namna hii wanaweza kuwaongoza watu wa aina yao tu lakini hawawezi kuwaongoza watu wa makundi mangine. Kama hawatakubali kujishusha hawataweza kufaa kwa uongozi wa kitaifa maana unajumuisha makundi ya aina nyingi.

7. Ciril

Ciril JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 5,536
Likes Received: 1,468
Trophy Points: 280

Kwa nini umekilenga chama cha Chadema tu na sio vingine!!?Taarifa hiyo uliyopewa na mkazi Wa huko umeifanyia uchunguzi?kwa haya uliyoyaanisha hapa nikisema "umekurupuka"nntakuwa nimekosea!!?

8. k

kajunju JF-Expert Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Jun 30, 2011
Messages: 986
Likes Received: 79
Trophy Points: 45
Nani kakwambia cdm imekosa mvuto?wewe ni pandikiz la magamba.kati ya mikoa ninayoiheshmu kwa mageuzi na ungangali ni kgma.wilaya za kbndo na kasulu waliaidiwa lami na jk 2005, mwaka jana wilaya hiz zilikuwa na 3km za lami nao ukiwa uchafu.aliaid umeme na mwaka jana june alikuja kuwadanganya kwa kusimika nguzo still walimnyima kura.nina ushaid dr slaa alipata kura kibao kulinganisha na jk.

Wewe utakuwa kambi ya nsanzugwanko,kijiko na msaliti mkuu warid kaburu.je alipoondoka kaburu chama kiliteteleka? Matokeo ya ubunge mwaka jana kgma mjini si yalitangazwa kama ya shnyanga mjini, mim ni kgma na kama wewe ni muha basi wewe ni wale waliolowea mikoani.njoo nyumban uone linaloendlea.

9. Nyota Ndogo

Nyota Ndogo Senior Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 152
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nina mashaka na utanzania wa wanakigoma.

10. m

mkigoma JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Jul 26, 2011
Messages: 1,182
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

kwa kuwa ndio chama cha kwanza kupata nguvu za kisiasa, na mimi mzaliwa na mkazi wa kigoma ujiji.

11. I

ITSNOTOK Member

#11
Aug 20, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kuna watu wanataka kuwachanganya wanakigoma. Nategemea wanakigoma ndio wenye maamuzi ya wanachokitaka, haya ya kuzungumzia wanakigoma wana mawazo gani si suala la kuzungumza na nategemea watu wanaandika purposely kufanya chama fulani kionekane ndicho kinatukana watu. Kuweni makini wanakigoma maendeleo yenu yapo kichwani mwenu, mnaweza kufikiria, mnaweza kuamua

12. I

ITSNOTOK Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kuna watu wanataka kuwachanganya wanakigoma. Nategemea wanakigoma ndio wenye maamuzi ya wanachokitaka, haya ya kuzungumzia wanakigoma wana mawazo gani si suala la kuzungumza na nategemea watu wanaandika purposely kufanya chama fulani kionekane ndicho kinatukana watu. Kuweni makini wanakigoma maendeleo yenu yapo kichwani mwenu, mnaweza kufikiria, mnaweza kuamua

13. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br / mwambie bana anataka kutudanganya sbb tuko mbali

14. p

philbert brown New Member

#14
Aug 22, 2011
Joined: Aug 22, 2011
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
inawezekana..........! bt haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania.......?

Loading...