Makampuni kuchangia vyama vya siasa ruksa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni kuchangia vyama vya siasa ruksa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RICHEST, Aug 22, 2011.

 1. RICHEST

  RICHEST Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kampuni yoyote katika nchi yoyote ni corporate citizen yenye haki kama raia yoyote. Yana uhuru wa kuchangia michango chama chochote inachoona kitasimamia maslahi yake kikiingia madarakani.

  Kwa Tanzania CCM ni chama ambacho kwa ufahamu wangu ndicho kinajali na kuwasikiliza Corporate Citizen wanasemaje kabla ya kwenda kwenye chaguzi. The rest of parties naona wao wako zaidi na kelele za kukimbizana na individual voters na kuwaona corporate citizens kama wasio na maana ku-take into considerations interest zao wanapoandika party manifesto zao au katika campains zao.

  Ndio maana ni vigumu kuona wahindi wakijiunga na opposition parties sababu wahindi wengi iko na companies lazima kujua chama ghani kitasimamia maslahi ya corporate citizen ya kampuni yako kabla ya kujiunga.I am sorry to say opposition parties are not pro corporate citizens .I don`t know why.

  Ndio maana makampuni kama yanataka kuchangia ni vizuri yapeleke CCM. Sera za vyama vingine sijaelewa maana naona wanashambulia tu makampuni ya madini na ya kigeni as if they are not citizens.n.k nadhani ni vizuri pia waelewe kuwa makampuni ni corporate citizens na ni raia kama walivyo raia wengine na wasiwashambulie wakichangia CCM sababu wanaona wakichangia CCM italinda na kutetea maslahi yao as corporate citizen tofauti na opposition.

  Samahani kuchanganya kingreza mtu anasaidia kunisahishia kiswahili hayupo kasafiri.
   
 2. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wewe ni mnani na unaandika kwa niaba ya nani? Nani kakuambia Upinzani hakuna wahindi? Umeenda Pemba wewe? CDM Kigoma kusini alisimama mhindi sasa unaposema hakuna wahindi inawezekana ni wewe tuu ndio uko CCM .Upinzani wanapaswa kulinda makampuni ambayo yanafanya kazi za haki na yanalipa kodi ila sio kutetea makampuni ya kijanja na wizi wizi ambayo hayalipi kodi wala husikii wakizungumzia Cooperate responsibility.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kuchangia ni jambo la hiari! Lakini unapofanya kuchangia CCM ni lazima ambapo kinyume cha kutochangia unakiona cha mtema kumi siyo hiari tena. Hakuna asiyefahamu wanaochangia CCM ni wafanya biashara wakubwa, ambao wanajua kuchangia pesa yao si kupoteza pesa kwa lazima zirudi na faida zaidi ya 200% kwa kukwepa kodi, ushuru na malipo mengine katika biashara zao.

  Na huwa hakuna kikomo cha kuchangia ila kunakuwa na minimum! sasa hapo utasema tunaheshimu sheria/taratibu zetu? Kwa mfanya biashara lazima ashangilie kila wakati wa kuchangia, lakini kama taifa haiko sawa.
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wanaochagua viongozi ni watu na corporate by itself siyo mtu kama siku ukimuona mtu anaitwa corporate citizen kaenda kupiga kura utueleze na maelezo yako unayoyatoa kuwa makampuni yanachangia ccm ni kwa sababu kinyume na unazozitoa hapo juu kwani tulijionea mwaka kampuni zkikataa kuichangia ccm lakini wakapokea barua za vitisho kutoka ccm hili wawachangie sasa hiyo siyo mapenzi ya mtu bali ni kulazimishwa na pia kuna hatari kubwa sana ktk kufanya zoezi zima la kushirikisha makampuni kwani hili ndio leo linasumbua sana kwenye siasa za huko marekani kwani badala y a viongozi kuwakilisha maslahi ya wananchi walio wengi wanawakilisha na kulinda maslahi ya makampuni kwahiyo kama TZ kuna viongozi
  wana akili hata kidogo basi swala hili inabidi kulipiga marufuku mapema kabla mambo hayajaaribikaa bila hivyo itafika siku watageuza wananchi wa
  Tanzania kuwa watumwa wa makampuni na uhuru wa maamuzi yao ya nchi utatekwa na kikundi kidogo cha wafanyabiashara.
   
 5. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Umesema yote mkuu. Asante sana
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na ndo maana ccm mpaka leo wameangukia kwenye maslahi ya wafanyabiashara wachache na kuongeza wimbi la rushwa kwa ajili ya hizohizo corporate citizens unazozishangilia! Na kama hujagundua basi hizo ndizo zinazoleta utumwa wa kiuongozi maana nyingi zimekaa kiujanja ujanja tu na kiufisadi zaidi!
   
 7. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha ubabaishaji, vyama makini vinajali wananchi wake wote bila kujali rangi au kabila
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  washenzi wakubwa kabisa nyinyi makabacholi, mnachangia CCM kwasababu mnashirikiana nao kuwaibia watanzania, subirini siku watanzania wengine watakapopata hasira kama zangu tuingie barabarani mtakoma na mtajuta kuifahamu tanzania, walahi naapa kutoka rohoni, wahindi mtanikoma.
   
 9. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Ninachosema ninaushaidi 100% ccm inawalazmisha makampuni iwachangie kwani kuna jamaa alilazimishwa kampuni yake ichangie ccm na alipokataa kesho yake maafisa wa TRA wakaja na baada ya kumkagua wakasema anakwepa kodi then hela waliompiga faini ni mara nne ya waliokuwa wakimtaka achangie so kuna nini kati ya makampuni na ccm.
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hawa makabacholi hawa wana dharau sana tena nimeshaona wameanza kueneza vishule vyao vya kiubaguzi eti wanasomesha watoto wao wezi wakubwa kabisa hao!
   
 11. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,066
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Nadhani ulishudia mwenyewe athari za michango ya kigharbachori wakati makampuni ya mafuta yalivyoiweka rehani serikali ya Magamba kwa sababu ya michango ya kampeni.

  Kwa mujibu wa mbunge wao Aden Rage alitamka waziwazi kuwa makampuni yanakuwa na kiburi si kwa sababu nyingine bali michango ya kampeni na akashauri CCM kuepukana nayo. Upo Kanjibai
   
 12. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br /> Hata mafisadi wote huichangia CCM kwani ndo chama pekee ambacho kimekua kikiwatetea baada ya kuingia madarakani ni upuuzi kuchangiwa na mtu au kampuni kwa lengo la kulinda masilahi ya mtu huyo au kampuni hiyo. HILI LINAENDELEA KUITAFUNA CCM.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  i hate them, na kwakweli nasema kabisa, siku kabacholi akiingia kwenye anga zangu ndo siku ntaenda kufungwa lazima tena kifungo cha maisha au kunyongwa.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani eeh! Huyo bila shaka wala sio mdosi ingawa kaweka avatar ya kidosi. Anataka tu kuchangamsha baraza!
   
 15. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,066
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Ni hivi majuzi makampuni ya mafuta yaliiweka rehani serikali kwa kukataa kushusha bei ya mafuta kama ilivyoamriwa na EWURA na haya yote yalifanywa kufuatana na kauli ya Aden Rage pale mjengoni kwa sababu makampuni husika kutoa michango mikubwa wakati wa kampeni.

  Leo hii Kanjibai anaamasisha michango yakigalbachori. Lakini wao hawana hasara watafidia kwa kuleta rada feki kununua vifaa vya kampeni kuleta helkopta za jeshi nakupata tenda kubwa kubwa za kilimo kwanza nk.
   
 16. M

  Mtandu Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pure rabbish! You must be new to the Tanzanian political scene
   
 17. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ndo maana nchi imewashinda sababu ya kulinda maslahi ya wauza unga! Wauza unga hawawezi kuchangia chama ambacho kipo kwa manufaa ya wananchi. Halafu Sabodo naye cku hizi ni black indian?
   
 18. RICHEST

  RICHEST Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makampuni marekani ndio mwajiri mkubwa wa raia wa marekani usipoongea naye na usipolinda maslahi yake unadhani marekani itaishi? Tanzania walipa kodi wakubwa ni makampuni sio raia wapiga kura sasa serikali isipoangalia maslahi ya makampuni na kuyalinda hizo kodi kubwa za kutengeneza barabara na kujenga huduma za jamii za kuhudumia walalahoi wapiga kura itatoa wapi? Serikali zote kwa ufupi ziko mifukoni mwa makampuni kupitia kodi kubwa zinazolipwa na makampuni hayo.Hata upinzani ukiingia serikalini hautakwepa hilo lazima uwe na urafiki na makampuni .Vinginevyo hata wapate kura zote za raia lakini wasio walipa kodi itakuwa bure tu.

  Hivyo kampuni hazipigi kura lakini ndio walioshika fuko la pesa za kodi za kutimizia ahadi za kisiiasa za zsa vyama vyote tawala na pinzani vikishinda.Ndio maana bila woga nasema vyama vya upinzani kwa hili wako nyuma wanadhani mpiga kura tu ndiye wa maana sana kuliko makampuni.Makampuni ndio yanaendesha serikali kwa taarifa yenu kodi za wapiga kura binafsi ni ndogo sana.

  Kampuni hazipigi kura lakini ndio waajiri wakubwa nchi nyingi na hata kama si waajiri wakubwa ndio walipa kodi wakubwa ambao serikali yoyote ikiwemo wabunge wanaolia posho zipandishwe wanategemea hizo kodi kubwa toka makampuni kwani hata wabunge wanategemea posho za kodi ambazo nyingi hutoka kwenye makampuni ukikosana nao utakosana na wapiga kura pia maana watapoteza ajira,makampuni yaweza funga biashara ukakosa kodi kama zimbabwe halafu ukaanza kukiona cha mtema kuni toka kwa wapiga kura kwa kushindwa kutimiza matakwa yao maana huna kodi upatazo za kutosha kuendesha nchi.Kampuni ni mtawala nyuma ya pazia wa serikali nyingi duniani hakwepeki na chama cha siasa au serikali lazima kuwa karibu naye tu.
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kizunguzungu wandugu, kampuni inapiga kura ngapi kwenye uchaguzi, huona wakiombwa kura wananchi mmoja mmoja kwa uwingi wao, ------------------------mwenye duka, una panadol hapo!! naam tembe ya blista, ---- nitarudi baadae..
   
 20. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naelewa corporate citizen lakini uhindi hapana. Mtoa hoja hapa kateleza alibidi atofautishe hizi thread kama alitaka kuandikia yote mawili- sikushangaa madongo yalipoanza kuvurumishwa kwake. Bado nafikiri inapendeza kuyaangalia yote mawili na uchangiaji wa hiari vs hongo na kujipendeza ambako siyo hiari i guess- unafanya kwa kusukumwa na hofu fulani.
   
Loading...