Lema kwa hili umetu disappoint wakazi wa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema kwa hili umetu disappoint wakazi wa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Kwetu, Aug 21, 2011.

 1. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Nimekuwa nikifuatilia bunge linaloendelea kwa karibu sana ili nione jinsi ambavyo mbunge wangu Mh. G. Lema atakavyo peleka kero za wapiga kura wake wa hapa Arusha mjini. Kwa bahati mbaya sana kimtizamo wangu ninapata shida na mbunge wangu kama hakika anajua matarajio ya wapiga kura wake walipomchagua.

  Tulipomchagua Lema tukaacha wengine tulimwona kama mkombozi, mtu asiyeweza kuvumilia kuona wananchi wakinyanyasika na matatizo ambayo serikali ina uwezo wa kuya- address. Kwa bahati mbaya sana kama hali itaendelea ilivyo matarajio yangu yanaanza kuyeyuka kwani kwa muda mfupi tu wa uongozi wake ktk jimbo letu hapa Arusha kuna matatizo madogo sana lakini ambayo ni kero lakini sijamsikia hata siku moja Lema akijaribu kufanya follow up.

  Nataka nimweleze tu Mh. Lema kuwa tatizo la umeme hapa Arusha lilianza mara tu baada ya yeye kutangazwa kushinda ubunge hapo November 2010. Sisemi kwamba yeye alisababisha tatizo la umeme ila inawezekana kuwa ni hujuma iliyopangwa ili kuingiza upuuzi ktk akili za tuliokupigia kura kwamba bila Magamba huduma nyeti za kijamii zitadorora jambo ambalo ni obvious si kweli.

  Tangu November Mwaka jana sisi wapiga kura wako tumekumbwa na tatizo la mgao wa umeme lillilokuja kuunganishwa na mgao wa kitaifa na hadi sasa hivi bado tunaendelea kuumia. Wakati mwingi mgao huu unafanywa aidha kwa uzembe au kwa upendeleo na usanii wa hali ya juu na TANESCO mkoa kwa kisingizio cha overloading na hivyo kusababisha hasara kubwa kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa.

  Cha kushangaza ni kwamba kwa kipindi chote hiki sijakusikia popote ukizungumzia tatizo hili zaidi ya UMEYA na WAZIRI MKUU KUDANGANYA BUNGE. Kwa namna hii nakuona uko OUT OF TOUCH na concern zetu wakazi wa Arusha na badala yake unajishughulisha na mambo ambayo nafikiri yanakupa satisfaction kama individual zaidi.

  Mbaya zaidi juzi hili tatizo lilipofika Mwanza mbunge jirani yako pale mjengoni Mh. Wenje wa Nyamagana aliweza kuinuka na kupeleka kilio si tu cha wapiga kura wake kwa wahusika lakini pia akakusaidia wewe kufikisha kilio cha watu wa Arusha bungeni. Mimi binafsi sikujisikia vizuri pale mbunge wa jimbo lingine anapokusaidia kufikisha kilio cha wapiga kura wako serikali ili hali wewe umejikalia tu bila kufanya juhudi zozote.

  Hivi ina maana haya matatizo ulikuwa huyajui au frequencies zako zinashika UMEYA NA WAZIRI MKUU KUDANGANYA BUNGE ZAIDI kuliko immediate problems za watu wako ? Tunapata irregular,biased na unnecessary mgao si kwa sababu umeme ni wa shida hivyo bali kwa sababu meneja aliyeko yuko kisiasa zaidi kuliko ki professional na matokeo yake anaona kama Dar kuna mgao kwa nini Ar usiwepo hata kama si lazima.

  Ninaamini ktk hili eneo hujafanya follow up kwa huyu meneja wa Arusha vya kutosha na sidhani kama hiyo iko kwenye ajenda zako kwani hata mikutano yako sijasikia ukigusia hili tatizo. Kama meneja anakuwa arrogant kwa nini usitu mobilize tukapige kambi pale ofisini kwake mpaka jioni ile ajue kama wananchi wamechoka.

  Mh. Lema naomba uwe at per na matatizo ya watu wako na active kuyashughulikia kwani ndicho tunachotegemea kwani kesi yako na Pinda haitasaidia kuondoa tatizo la mgao usio na usawa au matatizo mengine. Hatutajisikia vizuri kabisa mtu mwingine kukusaidia kuongelea matatizo ya nyumbani au chumbani kwako kama alivyokusaidia Wenje kwani hiyo ni sign mojawapo ya FAILURE na kuwa IRRESPONSIBLE Leader.

  Tuna matatizo chungu nzima ambayo mengine hayahitaji budget kupitishwa bali inahitajika kiongozi kama wewe kupiga kelele kama alivyokusaidia Wenje. Mh. sina lengo la ku disapprove role yake bali kukumbushana na kushtuana ni muhimu kwani inawezekana ume concentrate kwenye masuala ya kitaifa zaidi ukasahau ya wananchi tuliokuchagua katika jimbo lako. Ni vema ukamaliza ya jimbo lako kabla hujakomaa ktk masuala ya kitaifa.

  Naamini ujumbe huu utaupata na utaufanyia kazi na I stand to be corrected!!!!

  Peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. 2

  2simamesote Senior Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U STAND 2 B ****ED
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hiyo MIUNDOMBINU ya 'News Alert' inavyotumika visivyo hapa jukwaani!!!!!!!!!!!
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Eti matatizo ya umeme yameanza mara tu Lema alipokuwa mbunge give us a break kajipange upya ikiwezekana mshirikishe Ngongo kuandaa.
   
 5. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hilo la umeme umechemka, sioni kwanini usifikirie kuwa wabunge walikaa akiwemo Lema unayemshutumu wakaamua kumtumia Wenje kuwakilisha kilio chao.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jimbo la Namtumbo .... Mbuge Mh. Vita Kawawa .... yaani kunawakazi wa maeneo ya pale wanajulikana kama wandendeule wanaishi maisha ya shida na duni sana , maendeleo ya huko ni sawa na enzi za ujima
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mwana Kwetu,

  Kama at forst wewe binafsi ulimpa kura yako Mh. Lema, basi amini maamuzi yako yalikuwa shahihi kabisa.

  Kwanzan kabisa napenda nikufahamishe kuwa, kati ya kero kubwa ambazo tunapigana na magamba ni "favour-ism" Mambo ya kumpendelea mtu mmoja na kuacha mwingine ati kwa kuwa tu ni "mmoja wetu" kuwa na mbunge wa magmba haina maana ile stail yao itakusaidieni daima, itakupa soution on short term basis tu, baadaye utaendelea kulia na kusaga meno, mind you hili likiwa extended kwenye kila huduma ya msingi ambayo ni haki yako, hali ni mbaya zaidi. Huu ni mfumo ambao m agamba wamekuwa nao na tunapigana uishe.

  Kero ya umeme ni nchi nzima, I ma sure Wenje alipoomba muongozo, walitaka serikali ilete taarifa kwa tatizo country wide, alitoa mfano wa mwanza, just because ni constituency yake na ni rahisi kupata taarifa kwea upande wake; and of-course he has to speak for his people, in big picture they wanted the solution to be resolved country wide!!!

  Lema, amechaguliwa hana hata misezi 12, nadhani mngempa nafasi ili ajipange kuleta mabadiliko ya kweli!!! Haya mengine unayoleat ni bla bla tu mkuu wangu!!! Napata shida ya kukuamini na kilio chako kwani u-mgni sana jamvini, do not agree to be used for their interest!!

  Otherwise enjoy your cool Sunday buddy!!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh.............mkuuu kwakweeeli huajeleweka,sijaona nguvu ya hoja.
   
 9. K

  Kishili JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Endeleakutumika tu hatimaye utatupwa tu kama kondom
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  We mwanakwetu ni mnafiki na nina uhakika sio mkazi wa A town.watu wa A town hawana tabia ya kulia lia kama unavyofanya,kama ulikuwepo wakati wa uchaguzi wajomba wa A town walipiga kura kwa amani halafu wakaondoka na siku ya pili walikusanyika kwa mkuu wa mkoa bila kuitwa au kuwa organised.nataka nikueleze wanafuatilia kwa makini jinsi mambo yanavyokwenda na wanaelewa matatizo ya arusha na yale kitaifa.arusha ni kubwa sielewi kwa nini hujaulizia wabunge wengine wa arusha kama vile monduli,arumeru magharibi na mashariki ambao nao pia wanastahili kuuliza juu ya suala hili la umeme au ndio tuseme hujui kuwa haya maeneo yanaathiriwa na mgao?shame on u!
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alafu ssm so yaani walikata mbeya,mwanza arusha na baadhi ya maeneo ya dsm
  Ukifuatilia hayo maeneo cdm wameshika chati ya uongozi hasa kwa level ya ubunge
  Jamani kuwa upinzani haimaanisha kuwa haustaili huduma za jamii
  Ssm hamkui tuu?
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duu!! hiyo kauli ijapokua ni kali sana lakini ndiyo inayostahili huyu mleta mada ili ajue kuna haja kutulia kidogo kabla ya kuanzisha THREAD hapa jukwaani.

  Kama tujuavyo, siku zote KONDOMU hutoa kinga nyingi sana ya watu kutopoteza maisha kutokana na magonjwa ya zinaa lakini cha ajabu baada ya huo ulinzi wote kwa mkubwa mwisho wake HUTUPWA TU JALALANI!!!

  Kijana mwenzetu, isome tena hiyo kauli hapo chini.

   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Upumbavu hauna ujazo
   
 14. Glue

  Glue Senior Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jipange upya, kwa hili hujasomeka mkuu! Post ndeeefu kazi kurudiarudia mistari tu. Tafuta kero zingine kabla ya kujudge!
   
 15. Imany John

  Imany John Verified User

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;
  Kwa taarifa tu hao jamaa ni moja ya kabila lililopigana na mjeruman katika vita ya majimaji.
   
 16. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,304
  Likes Received: 3,789
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini baadh ya wanacdm mmeanza tabia za kimagamba ya kutokukubali kukubaliana,mwandika thread ana deserve kujibiwa na lema,kwa nn wengine mnabeza hiyo ni tabia ya kimagamba mnataka kila siku kusifiwa tu?sidhan kma kweli tunaitakia mema cdm hii tabia inajenga!wabunge wetu sio malaika na wanaitaji kukosolewa,kma kuna upupu achaneni nao najua kuna point kwenye alichoandika achaneni na habari za zidumu fikra.
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Iseme hiyo point tuijadili.
   
 18. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nadhani anastahili kupongezwa na kumpa moyo kuwa Lema amemsikia.Kumtukana kamanda mwenzetu kutokana na hoja yake nadhani hatumtendei haki wanajf.

  Mwezi mtukufu huu ''tutizame lugha zetu'' vinginevyo swaumn zitatenguka hapa jamani!
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tangu Watu wa KIGOMA walipomchagua ZITTO kama Mbunge na wapinzani wengine, CCM kwa kutumia TANESCO wakaamua kuwakomoa wana-KIGOMA kwa kukata umeme kwenye train.

   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  changamoto aliyoleta mtoa mada ni ya kinafiki!yapo matatizo mengi ya msingi yanayoikabili arusha lakini kubwa linaanzia kwenye umeya wa halmashauri na kwa hili mb lema alilipa kipaumbele,huwezi kuoengelea matatizo au maendeleo ya arusha iwapo uongozi wa halmashauri haujapatanishwa.umeme ni tatizo la kitaifa ni vyema likafanyiwa kazi na wabunge wote sio lema pekee.
   
Loading...