Mwenyekiti wa DP, Christopher Mtikila kumshitaki mahakamani 'Babu wa Loliondo'!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Kiongozi Machachari na Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila Amekusudia Kumshtaki Mchungaji Mstaafu Ambilikile mwasapila Babu Wa Loliondo kwa Kusababisha Maafa ya Watu Kupitia Dawa yake ya Maajabu!Ambayo Mtikila Ameitaja kama dawa ya Kitapeli na Babu ni Mwongo!
Mtikila kaenda mbali na Kukusudia Kuishtaki serikali kwa Kumshabikia Babu kupitia Ziara za Viongozi wa Juu kwenda Loliondo huku wakitumia Rasilimali za Taifa kwa Ajili ya Babu ambae amemwita Mwongo na Tapeli!
Mie Mkweche nilikosaga nauli za Kwenda kwa Babu ila kwa kipindi kile ningeendaga!
Kwa Sasa hata Bure siendi ng'o
 
Mwambie afanye haraka, lakini pia umuulize tangu azaliwe hadi kufikia hapo alipo kuwa mchungaji hajawahi kutumia dawa yoyote ya miti shamba kama Muarobaini, mshana, mbilayungu, Iyembe n.k. Ikiwa atakwambia kuwa aliwahi kutumia siku za utoto wake basi aanze kwanza kuwashitaki wazazi wake, ikiwa atakwambai kwamba alitumia alipokuwa shuleni basi mwambie akako joe alale.
 
Kiongozi Machachari na Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila Amekusudia Kumshtaki Mchungaji Mstaafu Ambilikile mwasapila Babu Wa Loliondo kwa Kusababisha Maafa ya Watu Kupitia Dawa yake ya Maajabu!Ambayo Mtikila Ameitaja kama dawa ya Kitapeli na Babu ni Mwongo!Mtikila kaenda mbali na Kukusudia Kuishtaki serikali kwa Kumshabikia Babu kupitia Ziara za Viongozi wa Juu kwenda Loliondo huku wakitumia Rasilimali za Taifa kwa Ajili ya Babu ambae amemwita Mwongo na Tapeli!Mie Mkweche nilikosaga nauli za Kwenda kwa Babu ila kwa kipindi kile ningeendaga!Kwa Sasa hata Bure siendi ng'o
Lakini hata mhimbili wateja/wagonjwa wanakufaga au huaga wanakufa ndio maana pana mochware. So doctors watch out mti kila will prosecute you!
 
Mbona Mwalimu alipelekwa St. Thomas na leo hatunae? Suala la kifo lipo kila nafsi lazima itaonja mauti.
 
Hana cha kufanya maana anafungua kesi kila mara au anataka apate headlines kwenye media???? Juzi kagombana na Kakobe mara Rwakatare I think he is not right. Kama yeye ni mtenda mema akumbuke alipokuwa anapeleka watu UK kwa mizengwe. Na yeye tuna compile file ili umma umjue ni mtu wa namna gani.
 
Nilijiuliza sana pale alipopigwa jiwe na kupasuliwa kichwa kule Tarime ilikuwa ni nini? jibu nimepata. Ni kuwa wakati watu wanatafakari mambo ya msingi yanayoangamiza taifa kama sasa ilivyo kwenye umeme, ajira, madini na rushwa na kadhalika yeye anawatoa kwenye track na kuwahamisha kwenye mambo yasiyo na tija.
 
mchungaji unataka kumushitaki mchungaji hapa sijui hukumu itakuwa namna gani ngoja tusubiri tuone
 
Ifike mahala sasa JUDGE amuuliza Mchunguji Mtikila anafanya shughuli gani kimaisha! Kama ni mchungaji kanisa lake liko wapi? Anaendeshaji familia kwa maana chanzo cha kipato chake (chochote kile) ni nini? Kila kukicha yuko mahakamani ana kazi nyingine/

Na kama hana maelezo yake hayaridhi basi nae atakuwa ni fisadi maana anaishi kama hana kazi ya kueleweka na yenye kipato kinacholingana na mlolongo wa kesi anazofungua mahakamani kila kukicha?

Mtikila, what do you do for a living?
 
Tunaleta mada kama hii kweli wakati huu Nchi ina matatizo makubwa ya Uchumi, umeme na mambo mengu tu ? Spika anadhulumu na kufikia hoja nzito tuna aacha hayo tunaongelea nyepesi nyepesi ? No way hatuwezi kuwa kama gazeti la Uhuru au Mtanzania .
 
Kiongozi Machachari na Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila Amekusudia Kumshtaki Mchungaji Mstaafu Ambilikile mwasapila Babu Wa Loliondo kwa Kusababisha Maafa ya Watu Kupitia Dawa yake ya Maajabu!Ambayo Mtikila Ameitaja kama dawa ya Kitapeli na Babu ni Mwongo!
Mtikila kaenda mbali na Kukusudia Kuishtaki serikali kwa Kumshabikia Babu kupitia Ziara za Viongozi wa Juu kwenda Loliondo huku wakitumia Rasilimali za Taifa kwa Ajili ya Babu ambae amemwita Mwongo na Tapeli!
Mie Mkweche nilikosaga nauli za Kwenda kwa Babu ila kwa kipindi kile ningeendaga!
Kwa Sasa hata Bure siendi ng'o

mkweche una uhakika hupendi kwenda?
 
watu bwana huyu mch. nahisi ana muda mrefu hatuja muona kwenye media ndo maana kaja na hicho kiroja..
 
mkweche una uhakika hupendi kwenda?

Ndio 100%!
Kuna M'bibi mmoja huku kijijini alipelekwa na wanae(wanazo) kwa ajili ya Kisukari!Toka amerudi utafikiri ndio alienda kuongeza Kisukari!Kinampelekesha zaidi!
 
kwa kifupi mtikila tume mchoka kwa kesi ziczo na mcngi 2ngemuona wa maana kama angekuwa mstari wa mbele kuwa shitaki walio tuleta gizani kwa mikataba mibovu pia angeenda mahakamani kushitaki wakina chenge rada pamoja na jopo lake lote .Kwa babu Mtikila anataka asikike 2jue kuwa bado yupo lakini kwa kec za kipumbavu.
 
kwa kifupi mtikila tume mchoka kwa kesi ziczo na mcngi 2ngemuona wa maana kama angekuwa mstari wa mbele kuwa shitaki walio tuleta gizani kwa mikataba mibovu ,pia angeenda mahakamani kushitaki wakina chenge kwa kesi rada kesi pamoja na jopo lake lote .Kwa babu Mtikila anataka asikike 2jue kuwa bado yupo lakini kwa kec za kipumbavu.
 
Hana cha kufanya maana anafungua kesi kila mara au anataka apate headlines kwenye media???? Juzi kagombana na Kakobe mara Rwakatare I think he is not right. Kama yeye ni mtenda mema akumbuke alipokuwa anapeleka watu UK kwa mizengwe. Na yeye tuna compile file ili umma umjue ni mtu wa namna gani.

Fanya fasta mkuu utuwekee hilo file jamvini ili tumfahamu vizuri huyu bwana,ye kila kukicha huwa anatafuta tu wa kumfungulia mashitaka..kama vipi file likiwa tayari na ye afunguliwe mashitaka.
 
Back
Top Bottom