Nimelisoma tangazo la Wizara ya Nishati na Madini kuhusu kile kilichodaiwa kwamba Ngeleja amemkana Jairo na kilichojitokeza pale kikanikumbusha ule usemi wa kimombo usemao kwamba a fool who is...
Hutuba aliyoitoa leo asubuhi anasema serikali ime uwezo wa kutoa amri ya kutangaza mwezi kuonekana na kula didi peke yake na kuwaweka ndani waliokaidi na kula iddi kivyao wanavyotaka wao..... Sie...
Kuna vigezo vitano ambavyo CCM wameviandaa kwa kushirikiana na Mrugenzi wa Halmashauri ya Igunga (DED) ambae ndie msimamizi mkuu wa uchaguzi huu na Idara ya Elimu ambayo ndiyo muajiri wagombea...
Eid Mubarak Watanzania wote!
wakati tunaendelea kumeza matonge ya pilau pamoja na kunywa maji marashi basi tusijisahau saaana tulikotoka , tulipo na tunapokwenda ....
soma ripoti hii na kwa...
Tanzania imempoteza mpiganaji brig. General v.a. Fungo jmosi usiku hapo lugalo military hospital na leo anazikwa kinondoni makaburini,kuanzia saa 7mchana huu baada ya misa na kuuaga mwili wake...
Nijuavyo, ni wanyama wa 'lower level' ndiyo wasiojali wale wa jinsi yao, waoga sana na hawana ushirikiano. Wanyama kama mbuzi, nyumbu, nguruwe na kadhalika ndio wamo kwenye kundi hili.
Wengi ni...
*CHADEMA kutumia helikopta Igunga
*Yaanika mikakati ya kushinda jimbo
*CCM yavuta pumzi, yasubiri CC
Na Benjamin Masese
VUGUVUGU la uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga, mkoani Tabora...
Ramadhan karim JF.
Ndugu zangu ukitaka kufahamu viongozi vibuyu katika serikali za mitaa basi fika halmashauri ya wilaya ya ngorongoro hasa idara ya kilimo/mifugo. Huko utakutana na mama mmoja...
Naomba wahakiki mnisaidie kupanga vizuri mada hii ili iwe na mtiriko mzuri, kwani natumia Cellphone na kuna Advert inanisumbua na kunikatisha, naomba niendelee na kigezo cha pili ambacho...
Bunge haliwezi kukubali Waziri mkuu adharauriwe na sisi tukae kimya, hizo dharau wafanyie huko huko Ndugai
Unaweza kuyaona maneno mafupi yasiyokuwa na Tija lakini kwa tafsiri iliyoshiba...
TANZANIA imetakiwa kutumia mfumo wa kupiga kura kwa njia ya mtandao ili kupunguza vurugu zinazotokea wakati wa uchaguzi na malalamiko ya wizi wa kura. Rai hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na...
Nyerere alikuwa mzalendo ana lileta maendeleo mengi kwa nchi yetu licha ya changamoto lukuki.
Then akaja Mwinyi mambo yaliende fyongo. Akaja mkapa mambo yakawa angalau kuliko mwinyi,
Sasa...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Zainab Shaaban, ameburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukata miti eneo la hifadhi ya misitu...
Kwa maoni yangu, kuondoa matatizao kwa watu wa kipato cha chini, ni kwa wahusika kusimamia bei za consummables, kwama india kwa ,mfano,,,,bei ya kila kitu in bar code na maandishi yanayoelezea...
Habari za asubuhi wana jamii wenzangu, hivi, mna habari kuwa kama tatizo halitatatuliwa Leo itakuwa ni siku ya nne tangu kukosekana kwa mauzo ya umeme nchi nzima...na sababu network hakuna.
Hii...
Jana baadhi ya waandishi wa habari walitembelea Songosongo ili kujionea uzalishaji na usafirishaji wa gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme. Mojawapo ya taarifa zilizotolewa ni kwamba kwa sasa gesi...
Wana JF,
Juzi wakati Katibu mkuu kiongozi akimrudisha Jairo kazini alimalizia kwa kusema kuwa sasa serikali inajikita kumtafuta aliyetoa barua kwa wabunge na kumtaka Jairo afungue kesi ya...
Nimepata kusoma kitabu kimoja kinachoitwa Foolishness of African slaves nimeona niwadokeze kidogo maudhui ya hicho kitabu.
Kulikuwa na watumwa 100 wa kiafrika wanalima kwenye mashamba ya...