Kuelekea miaka 50 ya uhuru Trend analysis ya maraisi wetu

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nyerere alikuwa mzalendo ana lileta maendeleo mengi kwa nchi yetu licha ya changamoto lukuki.

Then akaja Mwinyi mambo yaliende fyongo. Akaja mkapa mambo yakawa angalau kuliko mwinyi,

Sasa zamu ya huyu ndugu yetu naona mta analyse wenyewe mambo mambo FYONGO ni mengi ukiyaandika yote apa utakesha ila ili la mafuta na mgao wa umeme.

So inaonekana ni mwendo wa on and off!so tuwe wavumilivu mrithi wa kikwete atatuokoa
 
Wewe unasifia Marais wa Kikiristo tu, Mkapa, na Nyerere. Halafu unawakandia Marais wa Kiislamu. Hivi Udini mtaacha nyinyi? Nyie ndiyo watu wa kuogepewa sana. Kwanini hamsemi ukweli? Acheni kasumba za Kidini.
 
Facts zaongea sio udini kama mkapa alikusanya kwa mweli 250bil wakati exchange rate ni 1100 then sasa wanakusanya kama 400 na kidogo kwa exhange rate ya 1650 huoni kuwa you need to call a spade a spade and not a big spoon!
Of latest we have had the worst power rationing ever na tra kuloose zaidi ya 800 billion ilo nalo hulioni?
Bado issue za bei za mafuta Tanzania tumefoleni kupata iyo huduma!
 
Kikwete amefanya fyongo fyongo fyongo X1000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
 
Sioni udini hapa, Mwinyi aliharibu na Kikwete anaharibu mbaya kabisa. Ni kwa bahati mbaya kuwa wote ni waislam (japo kwa JK mmhh) ila hii haina maana muislam hawezi kuwa rais mzuri. Naamini Dr Salim angekuwa raisi mzuri sana na hata Dr Idrisa Rashidi akipewa urais atafanya vizuri sana tu. Lowassa ni mkristu ila mpe nchi uone, nadhani hata watanzania watauzwa kama watumwa akimaliza kuuza rasilimali zetu. Kinachoniudhi ni kutaka mtu asikosolewe vile ni dini fulani, kama mtu kaharibu, kaharibu tu na dini yake has nothing to do with it!
 
Nyerere alikuwa mzalendo ana lileta maendeleo mengi kwa nchi yetu licha ya changamoto lukuki.

Then akaja Mwinyi mambo yaliende fyongo. Akaja mkapa mambo yakawa angalau kuliko mwinyi,

Sasa zamu ya huyu ndugu yetu naona mta analyse wenyewe mambo mambo FYONGO ni mengi ukiyaandika yote apa utakesha ila ili la mafuta na mgao wa umeme.

So inaonekana ni mwendo wa on and off!so tuwe wavumilivu mrithi wa kikwete atatuokoa
Uhuru wa miaka 50 ya taifa lipi ? Tanganyika au Tanzania ? Tanzania haipata uhuru 1961 ,hebu tuchambulie hilo kwanza muandishi.
 
Naona umejijibu ofcourse ni Tanganyika
I wish badala ya mwinyi tungekuwa na Dr Salim Tz ingekuwa mbali sana kiuchumi
Am told ndo ilikuwa lengo la Nyerere ila alizichanga vibaya karata
 
Mkapa na kikwete ndio wameinyanyua Tanzania kuliko maraisi wote waliotawala nchi hii. Mkapa kajenga sana universities na alipoondoka madarakani aliacha taifa linavuna magraduates 40,000.00 kwa mwaka.

Kutoka magraduates 900 wakati wa nyerere mpaka 40,000.00 ni kazi kubwa sana kafanya Benja. Mimi kanigusa sana mkapa katika kujenga lile wanja la kisasa la soka pale chang'ombe. Yaani mtu sasa unaweza kwenda uwanjani na mkeo na watoto na mkala asikilimu huku yanga inamfunga simba 5-0!

Kasumba ya kumchukia kikwete kwa sababu an safiri sana kutafuta investors nchi za magharibi na asia haitatupeleka popote. Tena kuna watanzania hawataki mpaka leo tanzania iwe na urafiki mzuri na marekani kwa sababu tuu ya kidomodomo cha kikomunisti kuchukia matajiri.Hivyo kikwete akienda marekani basi watu hulalamika sana !

Kikwete kapeleka vijana wengi sana secondari kupita maraisi wowote waliotawala tanzania. na hili ni jambo zuri sana kwa kujenga jamii ya kisomi.

Kwangu mimi heri ya mwinyi kuwa raisi kuliko salimu DR. Maana huyo angekuwa raisi , basi makao makuu ya PLO yangekuwa Tanzania!
 
Wewe unasifia Marais wa Kikiristo tu, Mkapa, na Nyerere. Halafu unawakandia Marais wa Kiislamu. Hivi Udini mtaacha nyinyi? Nyie ndiyo watu wa kuogepewa sana. Kwanini hamsemi ukweli? Acheni kasumba za Kidini.
Mimi nadhani udini umeuleta wewe kwenye mjadala huu. Mkapa hajasifiwa kwa sababu ya ukristo wake bali utendaji wake. Vivyo hivyo Kikwete.
 
Tango
Changamoto inakuja hao 40000 graduates wako wapi na wanafanya nini kwa sasa!
Unemployment rate concern ya serikali katika kuwaajili watu wake au kuhakikisha wanaajiliwa ni almost hakuna.
Kiwanda badala ya kuwa na expatriates watano unakuta wako kumi mpka mpishi na dreva anatoka nje ya nchi wakati magari ni haya haya ya mjapani i meangi mengi yao.
Sawa serikali haiwezi ajili vijana basi watoe fursa za watu kujiajili ilo nalo tatizo.
Last month nilikuwa maeneo furani pale iringa vijana wanakomaa na ukulima wa vitunguu at a very high cost of production ie wanatumia pump ili maji yaflow kwenye mashamba,wakati with government concern wangeweza ata kuwajengea mitalo maji yaflow based on the gradient kama walivyofanya Pawaga,Ubaruku etc
We still have along way to go na hii awamu ya JMK
 
Back
Top Bottom