Tatizo la umeme Tanzania, je ahadi ya Waziri mkuu ilikuwa hewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la umeme Tanzania, je ahadi ya Waziri mkuu ilikuwa hewa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M'Jr, Jul 28, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jana baadhi ya waandishi wa habari walitembelea Songosongo ili kujionea uzalishaji na usafirishaji wa gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme. Mojawapo ya taarifa zilizotolewa ni kwamba kwa sasa gesi inayofikishwa Dar es salaam haitoshelezi hata mitambo ya Songas ya sasa. Wiki iliyopita Waziri mkuu alitoa ahadi ya kutatua tatizo la umeme kufikia mwezi wa nane kwani tayari mitambo ya gesi ya kuzalisha MW100 imeagizwa, sasa napata taabu kidogo hapa.....................Je kuna uhalisia wa dhamira katika hili?
   
 2. H

  Hhm Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ndugu yangu, unajua watanzania sasa hivi tumefanywa kama mazuzu vile!!
   
 3. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ni basi mkutano wa bunge umeisha, Lema angeuliza tena mwongozo wa spika inakuwaje Waziri mkuu anapoliongopea bunge kwa mara ya pili.
  Hivi Makinda alisahau kutoa mwongozo kwa Lema hata baada yakupewa ushahidi au alifanya kumpotezea.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  hao ndio mawaziri wa serekali yetu usiumiize kichwa kuwaamini !
   
 5. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wakuu mmesahau sisi ni wadanganyika
   
 6. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Leo ni tarehe 31, siku ambayo Megawats Ngeleja alisema mgao utaisha. Mbona bado kuna giza? Mgao hadi lini ndo uishe?
   
 7. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Na tumekubali kwa moyo mweupe kufanywa MAZUZU,mweh!
  <br />
  <br />
   
 8. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mgao wa umeme utakuwa kitendawili ifikapo april 2011- w ngeleja.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kwani mwezi wa nane umeisha?
   
 10. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Labda mwisho wa dunia
   
 11. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Sasa hivi wamekuja na mbinu mpya, hakuna kukata umeme wala nini! Sasa hivi mgao ni Mtindo wa "Luku network probem".
  Mtajibeba!
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huo ni uongo wa WM maana hata Spika angemwambia tu afute kauli labda "angemshepu" ili sikunyingine asirudie kusema uongo, lkn kwa kuwa aliipotezea hoja ya Mhe. Lema sasa WM anaona anayohaki ya kuropoka uongo bungeni, ataendelea hivi hadi wadanganyika tutakapo amka kutoka usingizini na tukapoweza kuona hata kwenye mwanga huu wa jua.
   
Loading...