Fixed price of commodities | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fixed price of commodities

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SrDoc, Aug 31, 2011.

 1. S

  SrDoc New Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maoni yangu, kuondoa matatizao kwa watu wa kipato cha chini, ni kwa wahusika kusimamia bei za consummables, kwama india kwa ,mfano,,,,bei ya kila kitu in bar code na maandishi yanayoelezea kikomo cha bei na kodi yake. Hivyo muuzaki hawezi kamwe kubadilisha bei kwa kuangalia sura yako au ulivyo vaa.

  Bai zisimawe tafadhali.....vinginevyo kila muuliza atauza bei yake, hata akiona kwenye tv au gazeti kuwa mishash\ara\ imeongezwa. Juingeza mshaharam kusitangazwe.....na mkulima naye anapendisha bei.....hivyo nguvu ya pesa inapinguzwa sana.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Laah naona sijaelewa hasa nini unataka kusema au kumaanisha. Ebu eleza vizuri ni nini unataka kusema?
   
Loading...