Kauli ya Luhanjo: Sheria ya kuwalinda watoa taarifa za ufisadi iko wapi? TAKUKURU mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Luhanjo: Sheria ya kuwalinda watoa taarifa za ufisadi iko wapi? TAKUKURU mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Aug 27, 2011.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wana JF,

  Juzi wakati Katibu mkuu kiongozi akimrudisha Jairo kazini alimalizia kwa kusema kuwa sasa serikali inajikita kumtafuta aliyetoa barua kwa wabunge na kumtaka Jairo afungue kesi ya kudhalilishwa kwa waliomsema (kwa fikira zangu mama Shelukindo). Kwa maoni yangu ni kuwa Luhanjo anamtishia mtoa taarifa.

  Ninakumbuka wakati wa kupitishwa kwa sheria mpya ya kupambana na kuzuia rushwa, hili suala la kumlinda mtoa taarifa lilizungumzwa sana. Je, Shera zetu zinasemaje kuhusu usalama wa mtoa taarifa? Je kauli ya Luhanjo si kosa la jinai?

  Naomba maelezo toka kwa wanasheria, na wale wote wanaochukia ufisadi.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mimi naamini kabisa kuwa sasa ni wakati muafaka kwa Luhanjo kupumzika nyumbani aendeleze miradi yake ya shule kule Tegeta; kwani inaelekea the guy is now senile!! How can Jairo sue a member of parliament for defamation kwa kitu alichosema bungeni? Dosn't Luhanjo know that members of parliament are immune from prosecution for anything they utter within the bunge compound? As a Chief Secretary, he should know more than this.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Luhanjo wala asipoteze muda, kaanze na Januari Makamba atapata ukweliw a bbarua ilitokaje
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  Luhanjo nae ssa tumemchoka apumzike tu akacheze na wajukuu nyumbani
   
 5. s

  shiezo Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kaka hiyo sheria inaapply kama mtoa taarifa katoa taarifa TAKUKURU, sio kwa mbunge
   
Loading...