Daniel Porokwa abwagwa udiwani Monduli

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
wanajamii yule muasisi wa chama ndani ya chama ndugu daniel porokwa amegaragazwa vibaya katika kinyanganyiro cha udiwani kata ya engutoto monduli.
 
Vua kanguo kidogo ili habari iwe uchi zaidi,mwanzisha chama gani na kutoka chama??
 
Mkuu kaa utulie utuchambulie habari kwa uzuri zaidi sio ilimradi unaipost tuu mkuu,eleza basi ilikuaje uchaguzi ukafanyika,chaguzi ulishirikisha vyama gani gani? hamasa kwa wananchi ilikuaje n.k
 
wanajamii yule muasisi wa chama ndani ya chama ndugu daniel porokwa amegaragazwa vibaya katika kinyanganyiro cha udiwani kata ya engutoto monduli.
Mkuu wangu, kunywa maji kwanza upunguze munkali then ndio ujipange vizuri kuandika thread yako!
Unavyomuelezea huyo Daniel Porokwa unadhani wote tunamjua
 
wanajamii yule muasisi wa chama ndani ya chama ndugu daniel porokwa amegaragazwa vibaya katika kinyanganyiro cha udiwani kata ya engutoto monduli.
Hujaeleweka!ni wa chama gani!na kulikuwa ma nini mpaka abwagwe?weka nyama watu wafaidi
 
Mijitu mingine bwana,
Yaani unavyomjua wewe huyo Porokwa wako ndio unafikiri na sie tunamjua hivyohivyo?
Unapopost kitu chochote, jivue uhusika wa m-post mada ujivike uhusika wa msomaji kisha uone kama inasomeka na kueleweka,
Sio unakurupuka na pombe zako kichwani unakuja kuleta vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Kanusu

Join Date : 29th August 2011

Posts : 1
Rep Power : 0

duh... kazi ipo
 
wanajamii yule muasisi wa chama ndani ya chama ndugu daniel porokwa amegaragazwa vibaya katika kinyanganyiro cha udiwani kata ya engutoto monduli.
<br />
<br />
Duh! Alikuwa anagombea kwa tiketi ya chama gani? Magamba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom