Sakata la umeme nchini sasa limeingia ktk sura nyingine - LUKU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la umeme nchini sasa limeingia ktk sura nyingine - LUKU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hhm, Aug 30, 2011.

 1. H

  Hhm Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Habari za asubuhi wana jamii wenzangu, hivi, mna habari kuwa kama tatizo halitatatuliwa Leo itakuwa ni siku ya nne tangu kukosekana kwa mauzo ya umeme nchi nzima...na sababu network hakuna.

  Hii nimeshuhudia mwenyewe jana mara baada ya kuzunguka mji mzima na kukuta kundi la watu wakisubiri huduma ambayo haijulikani itapatikana au laa...hali watu wakiwa wenye hasira kali walilaani na kutoa maneno makali sana jambo ambalo hata mimi nilijikuta napandwa na hasira juu ya sirikali hii ambayo kimsingi inaonekana wazi imevurugika na kukosa mwelekeo. Ambapo sasa naweza kusema kuwa, pamoja na kuwa na mgao mkali wa umeme bado hata upatikanaji wa umeme huo mdogo ni wakusuasua.

  Hivi unapokwenda kununua umeme halafu unaambiwa network hakuna, inakuja na kuondoka....jambo lakusikitisha sana, jana nikiwa katika kuhangaika kutafuta umeme nilikutana na shuuda mmoja aliyekuwa anatafuta umeme tangu majuzi na kushuhudia kuwa hawa mawakala wanaouza umeme wa luku wamekuwa wakidai rushwa ili mtu apewe favour Kila network inaporudi na wamekuwa wakitoa 5000/- .

  Hii imenisikitisha sana sana.

  Sijui siku ya leo itakuwaje Ndugu zangu ila habari ndo hiyo.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Eeeeeee
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  ccm hao
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  utalia sana!!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapa bongo panatisha sana ukifikiria lazima utalia..

  hongereni ccm na sirikali yenu juu ya nishati na maji..
   
 6. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  jana nimelala giza kwangu!hovyo kabisa hawa watu
   
 7. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi jana nimelala giza,ila nimezoea maana hata umeme wenyewe ndo hivyo tena
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni mwanzo wa kuizima mtela.
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivyo ni vitu vidogo tu vinarekebishika.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  The land of thirsty!
  The land of hunger!
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mimi nishindwa kumuelewa mleta hii topic,......Umeme wenyewe hakuna sasa wewe unataka uuziwe unity ili uzipeleke wapi?
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  we unafikiri mmewacho,olea kwenye upatakanaji wa umeme fedha za DHARURA ZITALIWAJE??
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,796
  Trophy Points: 280
  hivi rejao ccm wamekupa nini?pamoja na matatz yooote we upo nao tuu au we ni rz one umeficha id hehehehe siku ukishtuka utakuwa umechelewa na huna pa kuhamia
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Kwani ni lazima msubiri network ya tanesco wakati moto upo juu ya paa la nyumba yako? Unachoweza kufanya ni kuunganisha umeme wako kwenye switch direct. Wakikuuliza tanesco kwa nini umefanya hivyo, waambie kwa kuwa nchi hii kupitia taasisi zake hawatendi tena haki, nasi tumeamua kutoitenda kwa niaba yao. Pia wape pesa inayolingana na wastani wa umeme unaotumia kwa mwezi. Kosa ni lao tanesco na wala sii lako.
  [Za mbayuwayu usisahau kutia zako].
  .
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mkuu cheki na vishoka wakupe kitu live nchi ishauzwa hii kama noma na iwe noma
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwanini ujiumize kukimbilia matatizo?
  Siku Upinzani wakijipanga, wakawa na sera za maana na zenye tija..nitawaunga mkono!
  Mtu mwenye akili zako huwezi kusupport vyama vya kuhuni kama CDM!
   
 17. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo CCM wana sera nzuri siyo?Una matatizo katika mfumo wako wa kufikiri.Wewe unaona nchi inatumbukia shimoni( kila siku afadhali jana)bado unakomaa,mijitu mingine bana au ndo nyie mnaofikiri kwa .................
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mi nipo kijijini bwana, umeme haunifai kitu. jiko la kuni, pasi ya mkaa, ximu ya betri size AA. CCM hoyeeeee!
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona msirekebishe kama ni vidogo mnasubiri nini sasa???
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi sina umeme maana natakiwa ninunue nguzo tatu ili uingie kwangu jana nimelipia nimeambiwa by next three days utawaka, hivyo nitaingia rasmi kwenye changamoto ya wapi pa kununua umeme, naipenda sana Tanzania lakini basi tuu, nisiseme mengi nisije itwa mdini na mchochezi. Hivi inaingia akilini kununua nguzo moja kwa wastani wa Milioni moja na zaidi? ili niweze kupata huduma ya umeme na ikumbukwe kwamba nguzo hizo zitaendelea kuwa mali ya Tanesco.
   
Loading...