Ndoa ya CUF,NCCR,.....na CCM =Watumwa wa kiafrika kwa mzungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ya CUF,NCCR,.....na CCM =Watumwa wa kiafrika kwa mzungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Aug 30, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimepata kusoma kitabu kimoja kinachoitwa Foolishness of African slaves nimeona niwadokeze kidogo maudhui ya hicho kitabu.

  Kulikuwa na watumwa 100 wa kiafrika wanalima kwenye mashamba ya wazungu huku wakilindwa na Askari m1 wa kizungu aliyekuwa na bunduki moja aina ya Shoot gun machine.

  Kati ya watumwa 100 walijitokeza watumwa 2 walimpiga yule Askari wa kizungu walimpokonya ile bunduki na kukimbia nayo wale 98 waliobakia waliamua kuwakimbiza wale watumwa 2 na kuwakamata wakawarudisha kwa yule mzungu.
   
 2. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndani ya nchi ya Tz tunashuhudia yaliyotokea kwa watumwa hao yanajirudia hapa kwetu. Ikiwa Chadema na baadhi ya wazalendo wakipigania haki ya mtanzania mnyonge iliyopokwa na Mafisadi wa CCM lkn wakati huo huo inakumbana na upinzani mkali kutoka kwa vibaraka wa mafisadi waliojivika maudhui ya upinzani, Cuf, Nccr...lkn la kusikitisha zaidi ni pale waumini wa dini ya kiislamu wakiitetea Serikali hiyo hiyo ya mafisadi eti coz Rais anatoka upande wa dini yao. Wamesahau kuwa ccm ndiyo iliyoua ndugu zao pale mwembechai na kukituhumu chama cha cuf kuwa kinafanya kampeni msikitini.
   
Loading...