Brig. General V.A. Fungo is no more!

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
Tanzania imempoteza mpiganaji brig. General v.a. Fungo jmosi usiku hapo lugalo military hospital na leo anazikwa kinondoni makaburini,kuanzia saa 7mchana huu baada ya misa na kuuaga mwili wake kule mbezi beach nyumbani kwake. Amezaliwa 1953 ngoheranga malinyi ulanga morogoro.
Rip mwana wa pakaya brig. General v.a. Fungo
 
Kwa nini hajaenda kuzikwa kwao kule malinyi - mahenge.! Au mto kilombero umejaa.?
R I P G E N. F U N G O.!?
 
Umetutangulia lakini ipo siku tutaonana huko ahela..nenda salama Grl.!
 
Kila mwenye nazo akifa mazishi ni Kinondoni.HIVI HAPAJAAGI?HAKUNA MAKABURI MENGINE?MBONA MOROGORO sio mbali.Poleni wafiwa
 
Hata Mchungaji Lwakatale, Mh. Kombani, Dr. Mpanda na Ngasongwa wameshindwa kumpeleka mwenzao kwao kumzika huko. hao si wamoja. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
ndugu zangu wa Moro mnatuaaibisha tuwapeleke ndugu zetu kuwa zika nyumbani maana hayao makaburi jiji linavyokua yatakuja kubomolewa tu iwe isiwe. poleni sana wafiwa na Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Mwanae mkubwa ambaye ni mtoto wa ujanani ni mwajiriwa chuo cha ustawi wa jamii aliomba jeshi likamzike babake ngoheranga lakini mke wa ndoa wadogo zake kijana wamemgomea mwenzao hivyo wengi wape imechukua mkondo, tuko hapa na mh.waziri mopnda ameongoza serikal lut gen shmbo ameongoza jwtz. Sisi sote tungepened azikwe nyumbani ila ndoa ndoana wakuu, tunamzika sasa hapa kndoni
 
Back
Top Bottom