Hivi kama wewe ungekuwa mwananchi wa igunga unge jichagulia kipi. "CHADEMA" au 'CCM'? Sitaki longo longo ukiona huwezi kutoa majibu kati ya hayo mawili nipotezee.
Salaam wanaJF!
Tukiwa tunaelekea kutimiza miaka 50 ya uhuru wa bendera wa Tanganyika kumezuka na mwenendo wa serikali ya CCM kutumia nguvu nyingi kutangaza yale yayoitwa mafanikio ya miaka 50 ya...
Wadau ule Mdahalo wa Muungano 'The Tanzania We Want' uliokuwa ufanyike Jumapili 11 sept 2011 umeahirishwa,
hii ni kutokana na ajali ya Meli iliyotokea Pemba na kupoteza maisha ya watu wengi...
Ndugu watanzania!
Mumegundua kuwa baraza la mawaziri la tanzania halina uzalendo? Yaani hawajali kabisaa kuipeleka nchi na watu wake katika malisho mema. Hii ni hatari sana maana kila waziri...
Nikiwa uwanja wa JKN mchana wa leo nimeonana na RA akiwa amevaa shati jeupe la mikono mifupi na jeans .Alikuwa na simu kibao anaranda randa kwenye lounge angojea ndege ya Mwanza ambayo ilikuwa...
wana JF kama unafuatlilia kauli za viongozi wetu kuhusu mambo ya msingi ya nchi yetu,
kama vile msimamo wa serikali juu ya rushwa, ufisadi, ajali za barabarani, mafuta, serikali za mitaa...
In December 2005 meeting with AFP Assistant Secretary Frazer President Kikwete spoke confidently of MUSEVENI
¶7. (C) A/S Frazer praised Tanzania as a model for handing power from leader to...
Haya wana jamvi, tarehe 11 Septemba 2011 tena kuna mdahalo wa Muungano wetu na Tanzania Tunayoitaka. Hii ni jumapili tarehe 11 September kuanzia saa 11:00 mpaka saa moja usiku.
Wanaotaka kadi za...
hello
Nina utashi wa kujua ukweli kuhusu hali halisi ya igunga hivyo naomba mwenye contact za mkuu wa idara ya kampeni ya CHADEMA naomba anitumie katika mail yangu papaking4@yahoo.com ama za...
Hivi Karibuni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya ziara wilayani Ngara na kusimika uongozi rasmi wa wilaya hiyo na kuzindua matawi 16 na kufungua ofisi za kata na matawi zipatazo...
Kati ya mambo yaliyonifanya nimchukie zaidi JK ,ni zile njama zilifanywa kumchafua DK Salim wakati wa uchaguzi 2005!Hakuna haja ya kuyarudia lakini kumtendea mtu mwema maovu ni laana !.inawezekana...
Nianze kwa kukiri kuwa ni mgeni humu jamvini ila wa kupost lakini ni mwenyeji sana wa kupita na kusoma yaliyojiri na yanayojiri kila kunapokuwa leo hasa ndani ya nchi yangu manake naipenda sana...
Msemakweli ametoa taarifa kumjibu Yusuf Manji kutokana na matangazo yake ya magazeti aliyoyatoa kuhusu wizi wa 40 bilioni/- kutoka akaunti ya EPA ya Benki Kuu kupitia kampuni ya KAGODA.
Soma pia...
Nakumbuka Mwaka jana, ukienda posta (Kigoma) kupokea/kuchukua pesa zilizotumwa kwa njia ya Western Union kama watumia kiparata kama kitambulisho chako; ilikuwa lazima (walilazimisha) utoe nakala...
I guess Membe needed to be told the only way you can understand the French is to keep in mind that they were a great power until the mid 1800s, and since then they have lost every war (against the...
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.
Source: Radio One.
Wana jf naomba mnijuze kazi ya mkaguzi wa mahesabu katika chama anatakiwa awe ni sifa ipi? Na vile vile halmashauri kuu inaweza kuchagua wajumbe wa kamati ya nidham ili hali viongozi wote wa chama...
Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm
Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa...
(C) Comment: Although Salim's remarks were no doubt
influenced to some extent by his disappointment at not
capturing the presidential nomination, they ring generally
true. In particular, the...