RA kaingia kanda ya Ziwa Usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RA kaingia kanda ya Ziwa Usiku huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Sep 9, 2011.

1. Lunyungu

Lunyungu JF-Expert Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Aug 7, 2006
Messages: 8,836
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Nikiwa uwanja wa JKN mchana wa leo nimeonana na RA akiwa amevaa shati jeupe la mikono mifupi na jeans .Alikuwa na simu kibao anaranda randa kwenye lounge angojea ndege ya Mwanza ambayo ilikuwa inapitia Musoma kwanza .Ndege kama kawaida ya Precision air ilichelewa kuondoka na jamaa akawa anapiga simu hovyo anasema kuna ucheleweshaji huo na alikuwa so confused .Sasa sijui kama ni huo uzinduzi wa kesho umempa ugumu au ni kitu gani ila kweli jamaa alionekana so stressed .

2. LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 1,640
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Asante kwa taarifa na maoni yako.

3. F

Fanfa JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Sep 25, 2009
Messages: 538
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Aende Igunga kufanya nini. Alishasema hataki siasa uchwara. Hapo ndo magamba watajua janja ya nyani kula hindi bichi

4. C

CUF Ngangari JF-Expert Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 273
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
hana ujanja wa kukataa kukipigia debe ccm

5. Lunyungu

Lunyungu JF-Expert Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Aug 7, 2006
Messages: 8,836
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Naungana na maneno yako .RA hana ujanja kabisa na naamini anaishi kwa wasi wasi maana hajui lini nguvu ya umma inaweza kupelekea yeye kusimama kizimbani so kucha kusimama jukwaani hakika yatakuwa maafa kwake

6. OTIS

OTIS JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 2,144
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
RA hana moral authority ya kupigia kampeni CCM.

7. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Picha ziko wapi wewe mbona habari za Magwanda mnazipamba kwa mapicha kibao? Acheni unafiki

8. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Huyo lazima ataibukia Igunga tu, mimi nasubiri tu matokeo ya Igunga ndio nipime kiwango cha uelewa wana Igunga.

9. M

Mkeshaji JF-Expert Member

#9
Sep 9, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 4,264
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Mkuu mbona hujatugongea ng'eng'e

10. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

Nimeona vilaza wamenigeuza dictionary. Eti kuna li-mbumbumbu moja limeni-pm nilitafsirie kwa kiingereza maana ya 'uchaguzi mdogo' eti linataka kupost thread kwa kiingereza inayosema 'Chadema watashinda uchaguzi mdogo wa Igunga'

11. Salas

Salas JF-Expert Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: Feb 15, 2009
Messages: 380
Likes Received: 4
Trophy Points: 35

Haha haha haha you made my day....!

12. Matola

Matola JF-Expert Member

#12
Sep 10, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,269
Trophy Points: 280

Unafki ni kitu kibaya sana, yaani wewe ndio unaejisifu unajuwa English!,........ na huyu ni nani anaeomba atafsriwe English hiyo hiyo?

[​IMG] Mwita25

7th September 2011 15:32
#1 [​IMG]
[​IMG] JF Senior Expert Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

Join Date : 15th April 2011
Posts : 830
Rep Power : 22  [​IMG] Rep power ndiyo nini?

Profaili yangu inaniambia nina rep power 22. Hii ina maana gani hasa? ​

13. FUKO LA DHIKI

FUKO LA DHIKI JF-Expert Member

#13
Sep 10, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 416
Likes Received: 1
Trophy Points: 35

14. Radhia Sweety

Radhia Sweety JF-Expert Member

#14
Sep 10, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 4,448
Likes Received: 345
Trophy Points: 180

ha ha ha ha haaaa we Mwita wewe! Una mambo sana wewe

15. Matola

Matola JF-Expert Member

#15
Sep 10, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,269
Trophy Points: 280
Mbona ndege za kukodi zipo kwa dollar 2000 tu? mimi nadhani ana mambo yake binafsi kama angetaka kwenda Igunga nina uhakika angekodi charter plane ingempeleka.

16. FUKO LA DHIKI

FUKO LA DHIKI JF-Expert Member

#16
Sep 10, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 416
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Kama kweli RA atahudhuria ufunguzi wa kampeni za magamba,basi yeye na CCM ni WANAFIKI

17. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#17
Sep 10, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

Hii kali sasa, mkuu mbona unatudharau Chadema kiasi hicho?

18. Matola

Matola JF-Expert Member

#18
Sep 10, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,269
Trophy Points: 280
Wajanja tukikuangalia tunabaki tunacheka tu,..........
Anyway nitadeal na wewe mimi mwenyewe personal ili Invisible aziunganishe pamoja ID zako, usishangae nimejuwaje hii ndio JF. Hapa tupo wataalam na sio makanjanja wa kujifanya kujuwa kuongea kiingereza.

19. Duble Chris

Duble Chris JF-Expert Member

#19
Sep 10, 2011
Joined: May 28, 2011
Messages: 3,487
Likes Received: 7
Trophy Points: 135
JF bana tayari maada mmeiacha mpo kwingine I like it

20. N

Ngoiva Lewanga Senior Member

#20
Sep 10, 2011
Joined: Aug 19, 2011
Messages: 160
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
ccm ni njoka, sawa! ROSTAM ni gamba, na halina ubishi. Mwinilisti Nape amehubiri sana, mwenyewe RA amekiri kuwa ni gamba kweli na akajivua.
**Kihistoria na kiuhalisia NJOKA halijawahi kurudia gamba lake kwa kujilinda au kwa kujihami! Je, inakuwaje leo ccm wanataka kulirudia gamba ambalo halina kazi tena?

Loading...