MDAHALO WA MUUNGANO na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want' umeahirishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MDAHALO WA MUUNGANO na Tanzania Tunayoitaka 'The Tanzania We Want' umeahirishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukansola, Sep 10, 2011.

1. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#1
Sep 10, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Wadau ule Mdahalo wa Muungano 'The Tanzania We Want' uliokuwa ufanyike Jumapili 11 sept 2011 umeahirishwa,
hii ni kutokana na ajali ya Meli iliyotokea Pemba na kupoteza maisha ya watu wengi.

Mungu mahali pema peponi roho za marehemu, Amen.

2. jogi

jogi JF-Expert Member

#2
Sep 10, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,801
Trophy Points: 280
asante sana kwa kuguswa na msiba wa ndugu zetu. that is the tanzania we want bwana! kwa ccm wazanzibar wana thamani wakati wa uchaguzi tu. wamefanya mauzinduzi yao katikati ya msiba wa wenzao.

3. M

Mapujds JF-Expert Member

#3
Sep 11, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Sawa mkubwa,tunaomboleza kwa vipande vipande,mbona kampeni haziahirishwi.

4. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#4
Sep 11, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145
Vinara wanaoendeleza kampeni ni hawa magamba inaonesha hawana ubinadam,nimefurahi kuahirishwa ili tuomboleze huu msiba wa wote

5. Mungi

Mungi JF Gold Member

#5
Sep 11, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 444
Trophy Points: 180
Nasikia mzee wa tabasamu kaahirisha safari ya nje kwa mara ya kwanza pia. Hapo nampa 5 japo bado nitamquestion kwa hilo hilo. Wasi wasi wangu ni kwamba Jk mdini sana. Lukansola hongereni kwa kulitambua hilo.

6. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#6
Sep 11, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145

Asante sana jogi, msiba ni wetu wote huu.

7. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#7
Sep 11, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145

Ni kweli Laurence, msiba ni mkubwa huu

8. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#8
Sep 11, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145

Asante sana Mungi, kwa kweli isibgekuwa rahis kuendelea na mdahalo katika hali hii, asante na wewe kwa kutambua uzito wa msiba huu.

9. jambo1

jambo1 JF-Expert Member

#9
Sep 11, 2011
Joined: Jul 5, 2009
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Safi sana..,Ni msiba mkubwa kwa taifa..,na hii itafungua mjadala mpya kikatiba juu ya uwajibikaji wa viongozi wetu pindi wanaposhindwa kufanya majukumu yao ipasavyo..!

Loading...