WIKILEAKS: Membe vs French Govt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WIKILEAKS: Membe vs French Govt

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Sep 7, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I guess Membe needed to be told the only way you can understand the French is to keep in mind that they were a great power until the mid 1800s, and since then they have lost every war (against the Germans). They have been rescued by their traditional rivals, the Anglo-Saxons. Since then they have grown, but ony on the coat-tails of their traditional enemy, the Germans. Of course they are neurotic and illogical, Membe should have seen this coming from the French.  LENHARDT
   
 2. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
  acha kumfuata fuata Membe wewe

  haya ma cable ni feki tupu
   
 3. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 6th September 2011
  Posts : 9
  Rep Power : 0
   
 4. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuona wanazidiwa sasa magamba yanaanza kujiregister na JF ili kuchota busara, dada yangu umeliumbua vizuri kabisa. Ila mie nisamehe...lol
   
 5. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  FM Membe said Tanzania was concerned with Libya's resistance to Malawi assuming the AU Chair. He said Qaddafi wanted a second term to transform the AU into a continental government, with the further aim of giving Qaddafi a UN Security Council seat with veto power. Membe said Tanzania opposed a second term for Qaddafi, which had no justification. He said Libya's fallback plan was to pull out of the AU, along with 21 other countries. Membe added that Qaddafi was pushing for member states to ratify the amendment to the Constitutive Act that would enable the AU Commission to become an Authority. Membe suggested that many had not done so because of Qaddafi's pressure for a continental government

  The same Membe says he's opposed to the idea of recognizing the Libyan rebels!!
   
 6. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tena hili ni depo jipya maalumu kwa ajili ya igunga.
   
 7. X

  Xavery Member

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Msaada wa IT kwa security na intelligence organizations ni upi? The classified are getting out.
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,366
  Trophy Points: 280
  feki unao ushahidi? Juan Assange unafikiri aliropoka tu kama wewe unavyoropoka? Mkamateni kama mtamuweza. Wikileaks wanazo documents sio wameropoka tu. Safi wikileaks endeleeni kuusema uchafu wa serikali yetu.
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hakuna anaemfuata fuata Membe hapa ; kinachofanyika ni kuonesha ujinga wake na jinsi asivyostahilli kuwa waziri!!
   
 10. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
  Tazama threads za Sliding roof na Membe, utafkiri jamaa anamdai au alimdhulumu pesa

  hampumzishi Membe sijaona thread hata moja ambayo inamhusu membe au foreign ambayo huyu SR hajamkandia waziri au msaidizi wake
   
 11. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Hapa si ameonyesha what the whole world now can see on Membe ? Its not personal
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hapana. Unasema uongo! Walau jisomee basi HAPA wewe mwenyewe aliyoyaandika SlidingRoof akimtetea Mh. Membe. Kama Eng. Nsiande anavyo imply, you guys take matters too personal, hata pale mtu anapokuwa ana criticise utendaji wa watu na ku-challenge mifumo mnaona kama ni personal attacks!! Mkipata madaraka ya kuongoza watu, kubalini pia criticism na challenges zinazoendana na majukumu yenu, else mnazidi kudumaza Taifa letu!!
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Sioni baya lililosemwa hapo.
   
 14. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kweli Mkuu mbona hakudhubutu kumwambia gadafi badala yake akaenda kumchongea, by the way habari za Beppushi Oita? kimbunga kimewaponyesha?
   
 15. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Ghadaffi mbona anaijua Tanzania vizuri tu, na anajua msimamo wa Tanzania kuhusu kuruhusu wanajeshi kuingia kwenye siasa kama alivyopendekeza yeye na Idris Derby!!...Jk alimwaga hotuba kiswahili, viongozi wengi sana walimsifu kwa kumdindishia mtemi wa Afrika....matokeo,akaomba msamaha na kukubali yaishe.
  Sio kila kitu unachosoma JF basi ndio ukiamini, Ghadaffi wasn't that cool with JK as many circus hollers here think, siasa haziko hivyo ndugu yangu,it's a game of fake people,most of the things you see are just fake!! Slaa na Pinda, Mbowe/Zitto na Kikwete hawako maadui kama mnavyofikiria, they are all friends!!.
  OOH BY THE WAY,I DONT RESIDE IN JAPAN....It's the Lou (as in St. Louis)
   
 16. a

  arigold JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

  mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?

  [​IMG]


   
 17. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu
  Uliyoyasema yanaukweli LAKINI kinachokera ni huu unafiki wa viongozi wetu, i mean wanasiasa wetu, kwakuwa lililokuwa linazungumzwa linawahusu waafrica kwanini MEMBE akamchongee Gaddafi kwa Wamarekani?. kama ni kutoelewana wangejadiliana kwenye vikao na sio ukigeugeu. Ntashangaa kumsikia Sarkozy akimchongea Angela Merkel Kwa Wamarekani. kutofautiana kupo tena saana tu lakini sio kigezo cha watu kuzungukana;

  Inajulikana Jk na Gaddafi walikuwa hawakubaliani hususani kwa idea ya jamaa ya kuunda serekali ya Africa kwenye ulimwengu wa siasa haya mamabo mbona yapo saana, yanapotokea yanazungumzwa na sio kuchongeana
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukiondoa unafiki na uwongo kwenye siasa, utaharibu maana nzima ya siasa.Condoleeza Rice na Gaddaffi mbona walikuwa marafiki wazuri tu, Marekani na Ghaddaffi mbona hawakuwa maadui?
  Hillary na Assad mbona hujadiliana sana mambo Lebanon na uprising za hivi sasa? Mwalimu mbona alikuwa kiongozi aliye karibu sana na Uingereza japo aliwataifisha mali zao kama mugabe anavyofanya?..... Politics, especially diplomacy is plainly fake, ni lazima uwe mnafiki, narudia...ni lazima uwe mnafiki.
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Bi mkora nakuaminia, endelea kutufumbua maubongo. Big up lady!
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  .

  When you do business with Americans, your mind should always be on the ALERT. They always say, the do not have PERMANENT FRIENDS. Just like what indians do, you are only a friend to indians when you have something of interest to them. Once that interest they have with you is out of reach, never expect them to treat you as a friend. America is very good at this Philosophy!
   
Loading...