Uhusianao kati ya Nape na Pro. Mwandosya ni wa KIITIKADI au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusianao kati ya Nape na Pro. Mwandosya ni wa KIITIKADI au?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Aug 30, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nianze kwa kukiri kuwa ni mgeni humu jamvini ila wa kupost lakini ni mwenyeji sana wa kupita na kusoma yaliyojiri na yanayojiri kila kunapokuwa leo hasa ndani ya nchi yangu manake naipenda sana nchi yangu. Niwapongeze wanajamvi wote kwa kazi zenu za kijamii na kitaifa.

  Lakini vile vile niwaombe kwa atakayeweza naamini yupo atusaidie ku-upload picha TATU hapa ili wanajamvi waweze kujadili swala hili critically; Moja Picha ya Mhe. Pro. Mark Mwandosya (si lengo letu kumjadili mgonjwa lakini naamini Mungu ni mwingi wa rehema atamponya) Picha ya pili ni ya Mhe. sana Mzee wetu Marehemu Mosses Nauye, Waraka wa Paulo kwa Wafilipi neno linasema kwa kuwa kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida Mungu ampe uzima wa Milele) na Picha ya Tatu ni ya Katibu wa Itikadi na Uenezi (hereinafter to be referred to as Katibu).

  Itambulike vile vile kuwa si nia yangu kujadili maisha binafsi ya mtu ila kwa kuzingatia Taifa langu na huko tunakoelekea na jinsi nafsi za kiuongozi ndani ya Taifa langu zinavyotolewa kwa watu wa namna flani imenibidi kufanya hivyo ili kujiridhisha na baadae Taifa linapochukua uamuzi lijue kabisa maamuzi hayo ni sawa na vile vile hakuna chembe yoyote ya uongo (earlier the best) Baada ya utangulizi huo naomba sasa nianze hivi;

  Ndugu zangu katika mambo yanayokera katika Taifa letu sasa hivi ni hili wanaloliita "mtandao" ni ukweli usiopingika kuwa neno "gamba" limekuja tu lakini kiithbati mitandao ndiyo iliyozaa neno "gamba". Na binafsi hili linakera kwa kuwa kama wenzangu ambavyo mmekuwa mkilalamika wazi wazi Taifa limesimama hakuna kinachoendelea katika jamii ya watanzania ambao waliahidiwa "maisha bora kwa kila Mtanzania" kumbe ni maisha bora kwa kila mwana'system'.

  Naanimi kabisa kabisa miaka mitano itaisha hakuna kilichofanyika kwa kuwa ni kweli hatuna kiongozi anayeweza kuamua chochote (maamuzi magumu juu Taifa kwa sasa). Kwa kuwa kwangu hayo makundi ndiyo nionayo kuwa chanzo cha yote na zaidi kuchochewa na Katibu chini ya mwamvuli wa ufisadi, na gamba natamani kujua nia yake halisi ni ipi katika Taifa hili alilotupa Mungu.

  Wanajamvi wenzangu haitoshi tu kusema ndani ya Chama tawala kuna makundi na kutaja wahusika bila kujua chanzo (essence) hasa cha hayo makundi . Najua wengine ni kwa sababu flani alisababisha yeye apate nafasi flani hivyo inampasa amuunge mkono kwa gharama yeyote ile. Sasa napata taabu kidogo juu ya Katibu hasa kuhusu kundi lake na nafasi aliyo nayo (na kama kweli hivi ndivyo alivyo na ndivyo atakavyokuwa nawashauri watu wa Masasi wakatoe sadaka Kanisani na Misikitni kumshukuru Mungu huyo mtu kutoka huko).

  Kuna wengi wanaodhani labda mtajwa ni kundi la yule Waziri wa Jumuiya eti kwa sababu walianzisha Chama ndani ya Chama pamoja lakini bado utata na migongano ipo. Japo ni habari za kusikika (hearsay) ila naamini kwa kauli ya jamvi hili "Home of Great Thinkers" (hereinafter be reffered to as HGT) naamini pasipo shaka mtachambua, mtafikiri na hatimaye tunaweza toka na kitu.

  Lakini kuna wengine tunafikiri anaweza kuwa kundi moja na yule Waziri mwingine wa mambo ya nje na hii ni kutokana na hela (Takribani Dola Milioni 2) za uchaguzi alizozichangia kiongozi mmoja wa Africa alilyetolewa madarakani hivi karibuni. Fedha ambazo kiongozi huyo aliagiza zikachukuliwe Tripoli kwa kuwa asingeweza kuzituma kwa Bank, na akatmwa Mhe.

  Waziri mmoja kwenda kuzichukua na zilipoingia nchini waligawana watu wawili tu (HGT watu hao wanafikirika kwa kuwa kuna aliyetuma na mtumwa mwenyewe) na fedha hizo hizo ndizo zinazotumika kutengeneza mitandao nchi nzima kwa ajili ya mwaka 2015 (mnaweza mkarejea kauli ya vijana wa Arusha kwamba "kuna Waziri amewapa fedha zaidi ya Milioni 60 ili atengenezewe mtandao na kuwatukana viongozi wajuu waandamizi waliopo na hata waliostaafu"). Sasa kwa mtazamo huu unaweza fikiri labda hela hizi nazo zinaweza kutulazimisha kufikiri kuwa Nape atakuwa kundi hilo lakini vile vile bado kuna utata.

  Wengine tukadhani kuwa Katibu anatukana tukana baadhi ya viongozi kwa kuwa katumwa na "Mwenyekiti " wake kufanya hivyo lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda haya nayo yanaonekana kama vile yalikuwa yake binafsi kwa kuwa alichotumwa na alichotakiwa kukifanya kapitiliza zaidi ya matarajio na zaidi ya kazi aliyopewa au aliyotumwa kufanya nadhani Serikali yake ingepata mtendaji wa namna hiyo Watanzania wenzangu haya matatizo tuliyonayo kila siku yangepungua kama si kuisha kabisa.

  Bado vile vile tukadhani labda anafanya hivyo kwa kulipiza yale naye aliyofanyiwa wakati akigombea nafasi mbali mbali ila ukijaribu kuangalia katika nyanja za Kisiasa bado hili linaonekana kupwaya manake kwa kufanya hivyo basi angekutaka kafikia hatua flani mpaka leo lakini bado hajafika kokote. Zipo sababu nyingi ila zimetajwa hizo hapo juu kama baadhi.

  Kuna kundi jingine ambalo hili linaoneana kuwa na sababu za msingi kwamba Katibu yumo kundi moja na Mhe. Waziri wa Maji na sababu zinazotolewa na watu hawa inahitaji sana umakini kusimami na kuamini katika yote. Kimtazamo tunaweza fikiri kuwa labda Katibu yumo kundi hilo kwa kuwa mtajwa Waziri hana Scandal nyingi nchi hii ila kwangu binafsi hilo halitoshi kuthibitisha kuwa ndiyo sababu ya Katibu kuwa kundi hilo manake hata Mhe. PM hakuwa na Scandal lakini Watanzania wameshapoteza imani kabisa na utendaji wake kama kiongozi wa Serikali Bungeni na vile vile kama Mtendaji Mkuu wa Serikali.

  Watanzania wameonesha kuwa nci hii inahitaji Watendaji (emphasis added). Sasa sababu hiyo ambayo hata mimi nimeshindwa kabisa kuitambua mpaka leo ni kunipelekea kuomba wanajamvi humu (HGT) mnisaide kwa kufikiri na kiuchunguzi. Na hili limenipelekea kuwa na maswali mengi ila moja ntakalo anza nao ni hili

  "is it possible that Katibu was borne out of the wedlock???" niliomba kwa atayeweza atusaidie ku-upload picha ili mazungumz haya yalete mantiki.

  Naamini sana nafasi aliyonayo Katibu ni kubwa mno na ina heshima kubwa sana ndani na nje ya nchi kama akiitumia ipasavyo, kama ataithamini, ataiheshimu, na kuitambua nafasi hiyo. Katibu anadharaulika yeye mwenyewe kasababisha hayo kwa kutokujua umuhimu wa nafasi yake, nafasi aliyo nayo Katibu si ya kumtukana wala kutupiana maneno na Dr. Slaa, au kiongozi yeyote yule wa Upinzani ndani ya Taifa hili, nafasi aiyonayo si kuwatukana kina Edward, na wengine wastaafu au waliopo Serikalini, bali nafasi hiyo ni ya kuhakikisha kuwa Chama kinajengwa na kuaminiwa na wananchi.

  Na kukijenga Chama si lazma atukane mtu na hapo ndipo neno kubwa na lenye thamani linapohitaji "BUSARA" kiongozi makini busara ndiyo pekee itakayo mvusha daraja moja kwenda jingine; Mimi leo sioni shida kumfuata Dr. Slaa na kuzungumza naye na kupata ushauri wake hiyo kwangu si dhambi hata kidogo kama kweli umekomaa kisiasa, hata kama si Dr. Slaa wakati mwingine huwa nafikiria watu kama kina Kinana, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Cleopa David, huwa wanakuwa wapi.

  Kama kweli CCM wlifanya hivyo ili kuwafurahisha VIJANA naomba niseme tu hapa walikosea sana vijana hatukutaka kuwa impressed na mtu wa namna ile Taifa kwanza.........

  Baada ya kusema hayo bila kujali itikadi ya vyama niwapongeze sana Mhe. January Makamba (Mb), Mhe. John John Mnyika (Mb), Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Mhe. David Kafulila (Mb) hiyo ndo sampuli ya vijana tunaowataka waliotulia kiakili, wenye mtazamo wa Taifa, wenye heshma kwa Bunge, Umma na Taifa kwa ujumla, wenye kujenga hoja kwa maslahi ya Taifa bila kujali vyama vyao, na wenye nidhamu ya hali ya juu hata pale ambapo chama chao kinaoneka kupwaya.

  Naomba kutoa hoja
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Another boring circumlocution much to its nebulousness, with many and circular words which would have been abridged and yet retaining the original message.
   
 3. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwezi kukushangaa manake katika jamvi hili kuna watu watatu wewe ukiwa mmoja wao ambao nadhani kiakili na kimtazamo mnahitaji kufikiriwa mara mbili....
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  A.s.s.y.h.o.l.e!!
  [FONT=&quot]CAMPAIGN SLOGAN-IGUNGA CONSTITUENCY[/FONT]

  [FONT=&quot]TUMETHUBUTU[/FONT][FONT=&quot] KUMG'OA FISADI ROSTAM,[/FONT]
  [FONT=&quot]TUMEWEZA[/FONT][FONT=&quot] KUMPATA MRITHI KAFUMU,[/FONT]
  [FONT=&quot]TUNASONGA MBELE[/FONT][FONT=&quot] KUWABURUZA WANA-IGUNGA.[/FONT]
  [FONT=&quot]KAENI MKAO WA KULIWA[/FONT]
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenena meeeengi ila nashindwa kuona mashiko. Labda niulize:
  • Hizo picha ziko wapi?
  • is it possible that Katibu was borne out of the wedlock??? Nini kimefanya uulize hili swali?
  • Katika hizo pesa toka kwa kiongozi aliyetolewa madarakani Katibu anaingiaje hapa?
  Nadhani una siri nzito moyoni!!!!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kukutia Ole = another money monger and a bait used by CCM magamba to destroy families and communities at any cost, even if by killing someone

  Go ahead you d!ckhead
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hiyo kali?
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  @kukutia ole

  unadhani Nape ndio pekee kiongozi ambaye hana busara katika chama chenu? na unadhani kelele anazopiga ni toka kichwani kwake au ananena mawazo ya mtu aliyejificha nyuma yake?
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nafikiri wewe unatafuta ban.
   
 10. MANI

  MANI Platinum Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu itabidi waiseme kama ulivyoianisha ndio itakuwa nzuri !
   
 11. r

  raffiki Senior Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I agree with you brother...i did not understand what this man <Kukutia Ole> wants to tell us.!The displayed story is draft in such a way that he and his favorite people are clean enough. It has been the custom of corrupt politicians to sit behind the back of Tanzanian youth.

  Am so sorry to say that Kukutia Ole is also one among corrupt people who wants too build their political side vs the other unproductive side of so called magamba Nape
   
 12. HT

  HT JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  you have talked a lot but you have said nothing....come again and tell what you wanted to say.
   
 13. k

  kajembe JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Edward Lowassa, Hatumtaki hata mje na nyimbo gani!hata hivyo hueleweki point yako nini? Hauko focused kabisa, nadhani jifunze logic kwanza ndiyo uje tena,binafsi nimeungaunga maneno uliyo andika nikajua ni mambo ya lowassa! Hatumtaki hata afanyeje ni mchafu!
   
 14. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hongera mkuu kwa kuliona hilo!!!!!!
   
 15. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  I don't know exactly what was the target point of your post!
  Umeeleza mambo mengi kiasi kwamba nashindwa nichangie jambo lipi,
  pia inaonekana unatumiwa na watu fulani kuchafua maisha binafsi ya
  watu wengine kama Nape na Mwandosya. Tafadhali fikiria mara mbili kabla
  hujaanza kutumika kwenye propaganda ambazo zinaweza kukupeleka pabaya...

  Huu ni mtazamo wangu tu!
   
 16. s

  sativa saligogo Senior Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hiyo rangi kwa vijana hasa hawa waliopo sasa huo ndo mwelekeo wao unakumbuka kipindi cha Guninita na Sukwa Saidi Sukwa??? ikaja ya Gunninita vs Uhaula?? Halafu Nchimbi vs Nape???

  Ikaja Bashe vs Others ???? Kimsingi, ukichanganua hizo sub-sets utapata set kubwa ktk system ya Mtandao ambao mzao wake sasa ni Vua Gamba hiyo ni sumu planted from kizazi cha zamani, kati na cha sasa sihitaji kutoa ufafanuzi zaidi wanajamvi hili wanalielewa ndo maana tumefikia hali hii ya matumaini kwa kila mtanzania kuota mbawa!!!

  Nawasilisha!
  Amo -te!!
   
 17. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hakika unakitu kizuri ulichotaka kutwambia ila walio wengi hawaelewi aina ya uhandishi au style uliyotumia kufikisha ujumbe.Kwa ujumla ujumbe wako kwa watu makini wamekuelewa unataka kusema nini?Ila umeonyesha tu kuwa umeside upande gani japo kuwa umesema mambo ya kweli ambayo yako upande wa pili wa shilingi.Kibaya kuwa huyu uliyeside kwake kwa mujibu wa kuelewa kwako na ufafanuzi wako ni kuwa uwakilishi wako wa ujumbe ungesimama kusema ya upande wake pia kama ulivyozunguza ya upande wa pili.

  Huku jamvini huyo ulieside kwake uwa HAUZIKI HATA KIDOGO,ni kana kwamba angejua siasa za Tanzania na mwendendo wake pamoja na kuwa alishafika ngazi kubwa angejiepusha akajishughurisha na biashara zake kama swaiba wake,kulikoni manake wakimchoka watamsambaratisha hata kidogo alichpaswa kubaki nacho watakomba.

  Kila mcheza uchafu anafikilia na kujiona anauwezo wa kuyafanya yale ya ndoto zake yatimie,wanatabia moja utumia kukupima upeo wako kama kukushauri mzee wewe bado unakubalika,akizisikiza sauti hizo za wapambe hakika vitanda vitakuwa vingi kila mmoja kwa wakati wake.

  Na kwakuwa kila mmoja ana mabilioni yake,kinachofanyika ni kuzitawanya ili kila mmoja kwa kutokuwa na ufahamu anafikilia kuwa Rais wa Tanzania lakini hatimae wataishi kumalizana kwa kuviziana kwenye chupa za maji ya salama.

  Ugomvi wa panzi furaha ya kunguru,wote wanaongaika urais wa Tanzania kwa kujipenyeza kwa michezo michafu hakika wasahau.Japo wanaamini wana uwezo tunawasubiria.

  Ila huyo mdau wa upande wako,sio mbaya wakati mwiingine akatafuta wazee walioko mitaani hawaulize kama kweli anaweza kuipata nafasi hiyo inawezekana hata mama Tanzania alishakasilishwa na unganganizi wake usio kuwa na chembe ya busara.

  Kati yao wote wanaoangaikia urais hakuna hata mmoja wao atake kuwa Rais wa Tanzania,hata Rais mwenyewe itamuia vigumu kuliona ilo atampa nafasi kama yeye alivyoipewa bila kutegemea.
   
 18. s

  sativa saligogo Senior Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ktk rangi, asio hili analile japo chembe ati!!! kwa jinsi yalivyo maisha ya bongo kwa hilo laweza tokea na likawepo kama ikididi basi pandora-pox lifunguliwe!!!!i
  TAKE NOTE!!!!
   
 19. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Muulize Yusuf Makamba siri anayo na alishawahi mtamkia bwana mdogo pale Lumumba although kimafumbo mafumbo.
   
 20. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  kama tulivyoambiwa tokea awali kuwa tutaona mengi katika 'ujenzi wa BABEL' na hawa wote watakulana wenyewe ili wenye nchi yetu tupate kujua ni watu wa aina gani tumewakabidhi usukani kutupeleka huko tuendako, kwa maana hiyo hakuna cha ajabu hapa!
  Lakini juu ya hapo kwenye red pia niliwahi kusikia mtu mmoja ninayemheshimu akiongelea suala hilo ambapo lilinistua sana, lakini nilivyoangalia kiutu uzima kuna kitu kilinijia.
  Anyway, yetu macho na masikio!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...