Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna kipindi kinachorushwa kila siku ya Jumatatu mida ya saa tatu na nusu usiku kiitwacho Dakika 45, hivi jamani kipindi hiki kimeanzishwa hasa kwa lengo gani???. Toka kimeanzishwa kipindi hicho...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
"Wazee hawa waliendelea kuja kuniona au Msasani au Butiama. Baadaye suala la Zanzibar kuingia katika OIC likazuka. Hili Halo viongozi wetu wakaliombea bungeni, na wakapewa muda wa mwaka mmoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kama watu wanaweza kusafirisha Twiga na wasishtukiwe Je unafikiri kua wanweza wakalinda usalama wa raia wake. 1. Ajali ambazo zinaonekana kuwa ni uzembe zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa ufahamu na ujinga si marafiki kama ilivyo kwa shetani na utukufu itawachukua miaka mingine 50 kwa CCM kurudia alama yake ya awali ya kujitambulisha kwa utu, hoja, ukweli na ufahamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ushindi wa Rais Sata (Cobra) wa Zambia, ni ishara mbaya sana kwa CCM mwaka 2015. Hii ni kwa sababu Rais Sata ana miaka 74 ambao ni mkubwa sana kulinganishwa na Dk Slaa, ambaye atakuwa na miaka 67...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi everyone; I'm back. Some updates and new information: - We had advised M to write the original report in English but he refused arguing that this one was for the regular Tanzanians...
0 Reactions
134 Replies
15K Views
I have called this press conference to say a few words. The election campaign of 2011 is over. The people of zambia have spoken and we must all listen. Some will be happy with what they have...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkutano na waandishi wa habari umeanza takribani dakika 20 zilizopita. Rostam kawatuma Manyerere, Ballile na Sarah Mosi. BONYEZA "PLAY" KUSIKILIZA ALICHOKIONGEA...
0 Reactions
792 Replies
79K Views
tumekuwa tukiona wakati wa mchakato wa sala zima la kesi za EPA, kulikuwa na mabasi yanayowaleta watuhumiwa, lakini sikuhizi hatuyaoni wadau tusaidiane kujua yalipo kwasababu huu ni unyanyapaaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu Mkuu Christopher Mtikila yuko njiani kuelekea Igunga,huyu mwanasiasa anajulikana kwa siasa zake za "kupiga" au deal,taarifa zinasema ccm wamemkodi ili aharibu mbio za chadema wakuu mlioko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Sheria na Katiba wa Chadema, Tundu Lissu, alisema jana kuwa tayari Chadema kimemwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi kulalamikia kitendo cha Mbunge wa Tabora...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NA MAGRETH KINABO – MAELEZO TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka watu wote wanaoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga kuacha kufanya vitendo viovu, ikiwemo kuzingatia sheria ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku za karibuni kutatokea mabaya sana hapa Tz kwa sababu ya uzembe wa hii administration kuthibiti mambo yanayotokea sasa. Kuna tabia ya hii awamu ya uongozi kuongoza kama vile kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ng'umbi ataka utetezi wa Mnyika usikubaliwe. Jaji Msuya alisema uamuzi wa maombi hayo atautoa Septemba 27 mwaka huu. Mbali na Mnyika walamikiwa wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
HI JF admn, JF Team.. Nashuri, ili JF IPATE HESHMA ZAIDI, kwenye Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 Kule IGUNGA, tungepata wawezeshaji kwenye kila kituo au kijiji, wataotupa update...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
IPP Executive Chairman Reginald Mengi: to end corruption and embezzlement of public funds, practical measures should be taken, even at the risk of being accused of infringing on human rights and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Press release 26 September 2011 Ministry for Foreign Affairs Tanzania's Vice President, Mohammed Bilal, will visit Stockholm on Tuesday 27 September. Minister for International Development...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sikiliza clouds fm regina mwalekwa anaelezea mazingira ya igunga na kusema kwa kweli igunga ni aibu tupu njia zenyewe aibu jamani ukifika ni ngumu kujiuliza kama ilikuwa na mbunge hata hivyo mh...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Monday, 26 September 2011 Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Cuf, Leopold Mahona (kulia) akicheza mchezo wa bao kwenye kijiwe kilichopo mtaa wa kijiji cha Mbutu, Wilaya Igunga, jana...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…