Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama Maria Nyerere (katikati) akizungumza Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Fenella Mukangara (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga walipomtembelea nyumbani kwake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KUNA kila dalili ya kufanyika kwa uchaguzi mwingine mdogo kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya mbunge wa NCCR-Mageuzi Jimbo la Mhambwe, Felix Mkosamali kuanza mazungumzo na Chadema kwa lengo la...
0 Reactions
113 Replies
12K Views
"No way you can Go out of CCM safely .. " Hivi huu usemi ni wa kweli kwamba hakuna njia mtu anaweza kutoka ccm akabaki salama kama ilivyokuwa kwa aliyekua waziri mkuu wa izrael Aerial Sharon...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika sehem ambayo inanipa mashaka sana kwa kuwepo na kuendelea kuwepo uongozi wa CHADEMA ni manispaa ya Iringa. Pamoja na kufanyika uchaguzi mdogo wa madiwani kata ya Kitanzini na Gangilonga...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Jumla ya hekta 749.5 za msitu wa taifa wa Magambazi uliopo katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga eneo lenye utajiri mkubwa wa madini ya dhahabu linadaiwa kuuzwa kwa ajili ya uchimbaji wa madini...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kupigwa stop jana kufungua matawi hapa Arusha Kambi ya Edward Lowassa leo imefanikiwa kufanya ufunguzi wa matawi kwenye kata mbalimbali hapa mjini ARUSHA huku ikiwa chini ya ulinzi mkali...
7 Reactions
215 Replies
22K Views
Mussa Juma, Arusha. MAKUNDI ya vigogo wanaowania urais mwaka 2015, ndani ya CCM yamezidi kuugawa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), baada ya Kaimu Mwenyekiti wake, Beno Malisa na viongozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanaharakati: Tanesco isiikatie rufaa Dowans Send to a friend Tuesday, 11 October 2011 20:30 Geofrey Nyang’oro BAADHI ya wanaharakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
WanaJF naomba kufahamishwa kidogo kama kuna mtu anafahamu; hivi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliyeteuliwa hivi karibuni anaitwa nani? Wakuu, habari zimeenea huko shinyanga kuwa mkuu wa mkoa mteule...
0 Reactions
77 Replies
15K Views
Wakimbizi kutoka visiwa vya Zanzibar wamekwama katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, wakidai serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa kibali kwa shirika la wakimbizi duniani UNHCR ili kuwarejesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mjadala mkali sana kipindi hiki unaohusu hukumu ya kesi ya TANESCO vs Dowans. Hebu nisaidieni hesabu za mkataba zilikuwaje? Ni kweli kuna hasara tuliyopata kwa kuvunja mkataba huo au kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamvi tumesikia kuna vijana wanne wako magereza Igunga toka uchaguzi uishe kwa nini wasitolewe????????Kijana mmja kakutwa amekufa tena nyuma ya gereza eti kazikwa, maisha ya mtu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Na Maggid Mjengwa, KESHO kutwa WaTanzania tutaadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Nyerere. Ni miaka kumi na miwili iliyopita tangu Mwalimu atutoke. Hakika, siku hii sasa imekuwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona wafanyakazi wa wizara ya habari, utamaduni na michezo wakifukuzwa kwenye nyumba (ofisi) walizopanga mali ya NHC iliyo chini ya wizara ya nyumba kwa madai ya kutolipa kodi hali ambayo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa waliopitia gazeti la Mwananchi la leo tarehe 10 october 2011,watakuwa wameona kwenye ukurasa wa kumi na tatu [13] wenye kichwa cha habari kisemacho HONGERA SHIRIKA LA TAIFA LA NYUMBA...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
World’s biggest virus discovered in ocean depths near ChileBy Taylor Hatmaker, Tecca | Today in Tech – 9 hrs ago Megavirus nudges out Mimivirus, the former heavyweight champion of the viral...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kuibuka kwa ushindani wa vyama vya siasa nchini mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 sasa chama cha wananchi CUF kimejipanga kurudi kwenye siasa za mapambano maarufu kama "harakati". Hayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Monday, 10 October 2011 20:28 Mwandishi Wetu SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), leo litawasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ombi la kutaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama taifa tarehe 9/12/2011 tatutimiza miaka 50 ya Uhuru wa taifa letu. kwa bahati mbaya sana hata hiyo miaka 50 ni ya taifa ambalo haliko au halijulikani, kwani hii ni miaka ya taifa lililokuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…