CUF yajipanga kurudi kwenye ulingo wa Siasa za Mapambano!

KAMBOTA

Senior Member
Mar 21, 2011
176
103
dogomtatiro.jpg

Kufuatia kuibuka kwa ushindani wa vyama vya siasa nchini mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 sasa chama cha wananchi CUF kimejipanga kurudi kwenye siasa za mapambano maarufu kama "harakati". Hayo yalisemwa jana katika uwanja wa Zakhiem uliopo eneo la Mbagala jijini Dar es salaam wakati chama hiko kilipompokea Bw Philipo ambaye amehamia kwenye chama hiko akitokea CCM.

Akizungumza kwa ukakamavu mkubwa na sauti ya kiharakati Naibu katibu mkuu bara wa CUF Bw Julius Mtatiro amenukuliwa akisema "Suluhisho la matatizo yetu watanzania ni kuing'oa CCM immediately" huku akishangiliwa na umati uliokusanyika uwanjani hapo katika mkutano huo ulioanza majira ya saa nane mpaka saa kumi na mbili jioni.

Katika mkutano huo CUF imetangaza maazimio kadhaa ikiwa ni pamoja na kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Igunga , sambamba na hilo pia chama hiko kimelitangaza rasmi jarida lake linalokwenda kwa jina la "Mwana Harakati"
www.novakambota.com
 
Huku ni kukumbuka shuka kumeshakucha! Juzi nilikuwa Dodoma ukipita mitaani kuna bendera aina mbili zinapepea mitaani-CCM na Chadema. CUF ni chama pinzani marehemu (RIP)
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Huku ni kukumbuka shuka kumeshakucha! Juzi nilikuwa Dodoma ukipita mitaani kuna bendera aina mbili zinapepea mitaani-CCM na Chadema. CUF ni chama pinzani marehemu (RIP)

Walipewa nafasi na Watanzania wakalizika na Mwafaka,hawawezi kuwa ndani ya MWAFAKA kisha waanze HARAKATI za nini wakati wao wako ndani ya utawala wa maamuzi.Utakuwa ni USALITI na nitawapa SUPPORT CCM kwa hatua yoyote dhidi ya hawa jamaa wakiwageuka.

Kwani jamii kupitia JF na vyombo vya habari walipiga kelele juu ya ndoa hii kati ya CCM na CUF.Utapingaje kitu ambacho wewe ni Mshirika hakika UTAKUWA NI UPUMBAVU NA SI UJINGA wa aina yake.

Hadhi yao ilishakuliwa na CDM wao wale bata nusu wasilo na maamuzi nao,wamealikwa arusi ya wenzao wanaifungia kibwebwe, IMEKULA KWAO CUF KWISHINEYYYYYYYYYYYYYYYYY BABUJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.

Na CUF ole wao waanzishe HARAKATI wakati wamekubaliana na Mwafaka watatwambia kwanini TUSIENDELEE KUIAMINI CCM,ambayo viongozi wake wameshasema UPINZANI NI WANAFIKI.

Ni heri ya MWIZI kuliko MNAFIKI,mbona hizi ndio story zetu kitaa,tukiona namna gani tunambana mwizi wetu analudisha chenji yetu na kibano tunampa.Je UTAYALUDISHA AMA FIDIA VIPI MADHARA YALIYOTENGENEZWA AU SABABISHWA NA MTU MNAFIKI/MUONGO?
 
Mwe!mwe!mwe!mwe!mwe!mwe!mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!wanamagamba B!du!hama kweli mfa mmaji hakosi kutapatapa!warudi pemba hiko wakaendeshe siasa zao za maji taka zidi ya chadema bara wakung`utwa vizuri,badala kuwasakama wanamagamba wao ndio wana funga ndoa ya ajabu ajabu,na wasubili haibu 2015 na li--pumba wao
 
Back
Top Bottom