Nomba hesabu za CAPACITY CHARGE ya Richmond/Dowans

Pius Kafefa

Member
Aug 9, 2011
88
20
Kuna mjadala mkali sana kipindi hiki unaohusu hukumu ya kesi ya TANESCO vs Dowans. Hebu nisaidieni hesabu za mkataba zilikuwaje? Ni kweli kuna hasara tuliyopata kwa kuvunja mkataba huo au kuna kitu tumeokoa? Nomba hesabu za siku moja, mwezi mmoja, na za kipindi chote cha mkataba uliokuwa umesainiwa na baadaye kuvunjwa.

"... wanafiki wametufikisha hapa niwaombe UVCCM na vijana wa vyama vyote tuungane hawa wawajibike", KAIMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom