Azim Dewji: Hongera zako kwa NHC Kwetu Wamatumbi furaha na ahueni

DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,783
Likes
122
Points
160
DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,783 122 160
Kwa waliopitia gazeti la Mwananchi la leo tarehe 10 october 2011,watakuwa wameona kwenye ukurasa wa kumi na tatu [13] wenye kichwa cha habari kisemacho HONGERA SHIRIKA LA TAIFA LA NYUMBA [NHC].Kichwa cha habari hicho ni kejeri ya Azim Dewji kwa shirika letu hilo ambalo kwa sasa ni chepuo jipya la aina mpya ya utendaji wenye dila wa vijana wa aina yake wanaotoa matumaini kwenye awamu hii ya Kikwete angalau ameibua vijana wenye nia njema na Taifa.

Azim ametumia gazeti hilo kulimwagia lawama shirika la nyumba la Taifa [NHC] kuwa linawatendea Wahindi na Waarabu kuwa wamebaguliwa kwa kuombwa kujaza form zao uasilia wa asili ya ujamii wao kama ni Waafrika,Wahindi, Waarabu, Wazungu au Wachina.Ametumia nafasi hiyo kuwalaumu NHC kuwa kwanini NHC isiuze nyumba zake kwa wakazi wanaoishi kwenye nyumba hizo ambao kitakwimu za kawaida za maisha ya kila siku wakazi wengi wa nyumba hizo ni Wahindi , Waasia na Wamatumbi ambao wengi wako kwenye nyumba za NHC zilizoko kwenye mikoa yetu.

Azim Dewji awambie Watanzania wenzake wenye asili ya Kiasia kuwa hata Ulaya na Marekani ambako kuna demokrasia iliyokithiri ya uhuru wa kila raia hayo yanayofanya na NHC wanafanya na kuuliza sembuse Watanzania.Waambiwe wawapishe Watanzania wengine kwenye nyumba walizo kaa toka mababu zao, shirika liko kuhudumia Watanzania wote hiyo chuki yako na waasia wenzenu kuwa Waasia na Waarabuu wanabaguliwa nyie wenyewe ndio mnajibagua ndio maana mnaishi mitaa ya Uhindini,mbona Wabantu [Wamatumbi] swala la NHC hawana mjadala nalo mkubwa kama ninyi msiotaka kuitwa Watanzania pasipo kuitwa Watanzania wenye asili ya Kiasia.Mngelijua mnabaguliwa mngepigania toka enzi ya Mwalimu mitaa yenu isiitwe uhindini.usipinagane na ukweli [reality] chini ya kivuli cha ubaguzi wa rangi uliopiganiwa na baba wa Tiafa.

Hakika Waasia na Waarabu walimsaliti Mwalimu JK kwa kuwa aliwapigania akifikili ya kuwa Waasia na Waarabu ni Watanzania wa dhati kwa misingi ya kuwa utu wa mtu si rangi bali ni moyo wa mtu.Lakini kinyume Waasia na Waarabu wamekuwa ndio magwiji na vinala wa kuhujumu Taifa katika miradi na mikakati yote muhimu ya ujenzi wa Tifa hili.

Watanzania wenye asili Kiasia ambao ni wazalendo kama Pro Shivji ni kipimo cha Waasia wachache ambao bila kupinga mimi mwenyewe na salute kwa mzee huyo kuwa ni Mtanzania wa dhati kwa uzalendo wake kwa Taifa kuliko hata hawa wenye kujiita Watanzania kwa vigezo vya rangi ya ngozi yao ambao ni majority.Ndio maana kwenye mikakati kama hii ya kwenu wewe na mzee wa Sabodo wazee kama hawa hawamo kuwasupport kwa kuwa wanajua kabisa jamii yako Watanzania wenye asili ya Kiasia MATENDO YAO NA MANENO YAO HAYAENDANI NA UKWELI [REALITY] WANAVYOISHI NA WATANZANIA WENZAO WENYE ASILI YA KIMATUMBI KAMA AMBAVYO MZEE KAMA PRO SHIVJI AU MWANAHARAKATI RAJAN WANAISHI NA WATANZANIA WENZAO.

Wangekuwa Waasia na Waarabu wanaishi Mbagala,Tandika au Kimanzichana msingeleta uchafu huo wa kulipaka matope shirika na bidii za Kikwete za ujenzi wa Nchi.

Hakika wanajamii nawasilisha
 
peri

peri

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,585
Likes
43
Points
145
peri

peri

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,585 43 145
Hakika Waasia na Waarabu walimsaliti Mwalimu JK kwa kuwa aliwapigania akifikili ya kuwa Waasia na Waarabu ni Watanzania wa dhati kwa misingi ya kuwa utu wa mtu si rangi bali ni moyo wa mtu.Lakini kinyume Waasia na Waarabu wamekuwa ndio magwiji na vinala wa kuhujumu Taifa katika miradi na mikakati yote muhimu ya ujenzi wa Tifa hili.

Inawezekana Dewji kakosea laki:

1. Je Nyerere aliwapigania vp waasia na waarabu? Kwa Kutumia azimio la Arusha au?

2. Hakuna watanzania weusi au makampuni ya kizungu yanayo ibia nchii hii zaidi ya waasia na waarabu?

Pinguza jazba mkuu, unapotosha ukweli.

Azimio la Arusha lilikumba kada zote hata Wazungu pia walikumbwa na mkakati huo, wa Azimio la Arusha na hivyo kusema azimio hilo ni janga kwa Wahindi na Waarabu tu sio kweli.

Fanya utafiti [Resaerch] nyuma ya pazia ya miradi mikubwa ya hujuma kwa Taifa Watanzania wenye asili ya Kiarabu na Kiasia wako nyuma ya mipango na mikakati hiyo michafu.Japo mbele ya picha hiyo baadhi ya Watanzania wamatumbi wameingia kwenye matatizo ya kusaign baadhi ya mikataba wakiambulia lawama kuwa wameeuza Nchi kumbe wasiimamizi wa mapambano [Dons-Middle Mans behind the games] ni hawa jama ambao kwa kutumia exposure ya kimataifa na uzoefu wa kibiashara wameweza kurubuni baadhi ya Watendaji na viongozi wasio waadilifu.
 
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,166
Likes
2,011
Points
280
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,166 2,011 280
kama sio wabaguzi wajichanganye wakubali kuolewa, pili waamie kwingineko, kama kijitonyama mwenge na NK, naona baada ya kuona joto ya jiwe wanaanza kujichimbia Mhimbili kwenye majengo marefu, safi sana NHC wape Kubwa hawa, naomba mwisho wa kupanga mika mitano hakuna kurudia mikataba kwa watu wa makazi
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,910
Likes
4,395
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,910 4,395 280
Ushahidi upo azim na kassim dewji wanasafirisha nyara za serikali kama pembe za ndovu kimagendo kwenda china!fisadi tuu hao m -a -g -a -b -a -c -h -o- r- i
 
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,217
Likes
109
Points
145
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,217 109 145
hao wahindi wanazitamani sana hizo nyumba ili wazimiliki. Watazisikia tu. Wakitaka wakajenge za kwao kisha wapangishane. Nimemsoma sana dewji. Ana hasira sana na viongozi wa shirika, hasa mchechu kwa hatua anazochukua. Na wakizubaa tena kidogo watajikuta wako chanika. We ngoja tu. Wanadhani city center walijengewa wao?
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
151
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 151 160
Azim anasahau kwamba kuna vijana wa kihindi hasa wanaomaliza high school wanasema tena bila soni mitaani kwamba sisi wamatumbi hatuna akili ndio maana wao (chini ya laki tano) wanarun maisha yetu hapo mjini Dar na wanachuma hapo na kurusha nje

Kujaza asili si tatizo kwani nchi nyingi unaambiwa ujaze asili

Kejeli ya azim ni ishara tu ya frustration aliyonayo kwa siku nyingi sasa

Mungu atamsaidia
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
Hwana lolote hao akina Dewji... wajenge nyumba waishi, wawaachie wasio na uwezo wakae kwenye hizo nyumba za NHC. Ni aina kwa mtu kama Dewji kuanza kulilia nyumba za bei nafuu
 
DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,783
Likes
122
Points
160
DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,783 122 160
Kwani hao wahindi mbona wanajistukia? Kwani wao pekee ndio wanaoishi humo?
Hakika Azim Dewji anajitete kwa kuwasemea wahindi wenzie hakika ni wahindi pekee wanaoishi kwenye SAJILI JUMBA,mbona kuna wakina ASAJILE MWAIJUMBA kibao toka Mwakaleli Mbeya.Wasituletee za kuleta waamie Ununio na wao waone kama wataulizwa uasilia wa jamii yao,zaidi serikali ya mtaa itamwambia ajisajili mtaani.Wamengangania mitaa ya down town na sasa wameanza kujenga majengo malefu Masaki na Oystebay waamie na kuanza kuishi mfumo ule ule wa KIBAGUZI wa familia za kihindi.

Hivi NATIONAL THINK TANK WA MASWALA YA MAHUSIANO YA JAMII,hawayaoni haya ya VIJANA WA KIHINDI NA KIARABU kuishi kivyao vyao ndani ya TAIFA kama Watanzania kulinganisha na vijana wengine WAKIMATUMBI ambao wako mitaani.Wanategemea kuzalisha TAifa la aina gani ambalo watu wa TAIOFA moja lakini wasiojuana wala kufahamina kama Wanataifa.

Ukiniuliza Wahindi ama Waaarbu marafiki kati ya vijana wa kitanzania kwa ujamii wa kimakundi, ni nadra sana.Wakati fulani nilipata kusema ni lahisi sana kwa kijana wa kibantu aliyeko mbagala [mmatumbi] kuoa kijana wa kizungu kutoka Ulaya kuliko kumuoa binti wa kiarabu au kihindi kutoka kariakoo au mtaa wa sikukuu dar es salaam.Hao ndio wahindi [aka wadosi] ambao leo hii wanalia kuwa wanabaguliwa na NHC.
 
Alwatan

Alwatan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Messages
409
Likes
2
Points
33
Alwatan

Alwatan

JF-Expert Member
Joined May 19, 2009
409 2 33
Mkuu DSN,
Bahati mbaya majibu yako yameonesha kuwa you are not only an ordinary fan, but a rather fanatic supporter of the new NHC Director General. Why is that, you know better?

Kwanza kabisa ilibidi DG wa NHC atambue na aelewe misingi ya Baba wa taifa kutaifisha majumba haya, ambapo mengi yake wamiliki ni watu wenye asili ya kiasia. Sababu kuu ilikua ni kuwapatia wananchi affordable housing na kuondoa unyonyaji wa makabaila.

Lakini la pili, Mwalimu alikua siku zote za maisha yake akiupinga UKABURU. Kwake yeye ukaburu ulikua ni ubaguzi wa rangi wa aina yeyote. Na ndiyo maana kwenye miaka ya '70s majeshi ya Kitanzania yalipelekwa nje ya mipaka yetu kupigania ubaguzi wa rangi. Na Mwalimu mwenyewe alikua na mawaziri wa kiasia kwenye baraza la mawaziri kwa kipindi kirefu tu. Amir Jamal ni mmoja wa mawaziri aliyesimamia "industrialization" ya Tanzania kwa ufanisi mkubwa kabla ya mchwa hawajaingia na kumaliza mashirika yetu miaka ya 70s. Hizi form za kujaza rangi ya ngozi ya mtu alizointroduce DG wa NHC na Rubber Stamp Board yake zinaturudisha nyuma, maana inasemekana alihandpick na kufacilitate uwepo wa idadi kubwa ya members wa Board ili iwe a True Rubber Stamp Board.

Inaelekea huyu DG wa NHC halitambui hili kwa vile ni bwana mdogo sana na haijui historia au hazipendi tu sera za usawa Mwalimu alizokua anapigania mpaka kufa kwake.

Cha kushngaza hakuna sehemu uliyocomment kama Azim Dewji nilivyomnukuu akisema, DG wa NHC mshahara wake kwa mwezi ni ZAIDI ya Millioni Ishirini, hii inaashiria mshahara wa huyu mtu upo pegged to the dollar ndio maana hautajiki kutokana na flactuations za USD market. Sasa hapa naomba bwana DSN "mtetezi wa wamatumbi" utufafanulie. Kama hata maKatibu wakuu mshahara haufiki millioni 3 kwa mwezi, kuna justification gani ya kumlipa mtu mmoja ZAIDI ya millioni 20 kwa mwezi?? Ina maana hicho kipaji cha uongozi ni kipaji gani cha kipekee kiasi kwamba hiyo kazi ingetangazwa kwa mshahara wa Millioni 7(mara mbili ya Katibu Mkuu) ingekosa watu?

Matokeo yake ni haya tunayoyaona. Huyu DG yupo totally out of touch na realities za maisha ya mtanzania wa kawaida. Na ukizingatia alitokea kwenye private banks ambako wanalipana vizuri, haelewi unapomwambia mapendekezo ya kodi ya Shs laki 5 kwa mwezi kwa mtanzania wa kawaida ni kitendawili kuzipata.

Tatizo ninaloliona ni kuwa Board ya NHC nayo ni kama rubber stamp za Management. Wakishaandaliwa visafari vya nje hapa na pale wanasahau kabisa wajibu wao wa kuisimamia management katika kuliendesha shirika, ili lisitoke kwenye misingi ya kuanzishwa yake. Kwa NHC inapoelekea sioni itakua na tofauti gani na makampuni mengine ya for profit real estate business. Kinyume kabisa na nia ya uanzishwaji kwake. Halafu hizo forms za kutaja rangi ya ngozi, jamani msiige mataifa ya nje kila kitu. Kule misingi ya constitution zao imejikita deep sana, na kila raia anajua haki zake. Huku kwetu kama kila landlord akiamua kujua rangi, baadae itakuja kuwa kabila, baadae dini, then you know where it will end. The board at NHC should immediately intervene and stop this NONSENSE!... Kwani wao NHC wamekua immigration au polisi au national sensus?

Ningekua mshauri wa DG wa NHC, kama DSN unavyoonekana kuwa karibu yake, ningemshauri akumbuke kuwa kuna ma nurse, walimu wa sekondari, madaktari ambao take home zao zinarange kati ya laki mbili kwa mwezi, na laki 7 kwa mwezi, nao ni watanzania, na wana haki ya makazi bora. Na hiyo ni total take home, haujaweka fees za watoto na mahitaji mengine muhimu. Sasa unapomwambia mtu alipe laki 5 unamaana walengwa wako watabaki kuwa watanzania wa kawaida au watanzania wenye nuru tu.

I dont care kama hakuna mmatumbi hajalalamika(sababu hatuna utamaduni wa kuandika) bali natizama content na substance ya mlalamikaji. Na kwa hili laubaguzi wa rangi kwa wapangaji wa NHC na marekebisho ya kodi, namuunga mkono Azim Dewji.

Si kila mtanzania analipwa ZAIDI ya millioni 20 kama anazolipwa DG wa NHC.
 
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
632
Likes
34
Points
45
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
632 34 45

Hebu tuambie wewe mtetezi wa mabwanyenye wa kiasia ni wamatumbi wangapi wanaokaa kwenye hz nyumba za NHC mmh! Maana unaibua hoja nzuri lkn zenye chuki za wazi hv magabachori hawa wanaorigharimu taifa hili kwa matendo mengi yasiyofaa, pasi huruma kwa kutunyonya na mambo kedekede... Kuna ubaya gan magabachori kuishi kimanzichana mmh! Aise inasikitisha mtu kuona mtu analilia usawa lkn yeye n baguzi namba moja achen kumsingizia nyerere..
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,832
Likes
23,142
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,832 23,142 280
wahindi tanazania hawafiki laki moja na nusu..ukichanganya na waarabu hawafiki laki mbili

na wapo weeengi tu ambao ni walala hoi kabisaaa.......na hata huko mbagala na tandika wapo

na wengine wanaishi singida,rufiji na sumbawanga.....

tuache kuwaonea.......na kuwabagua.......eti waolewe na waafrica......

mbona wengi wapo walioana na waafrica??????/

lakini kwani lazima????????

mbona wapo waswahili hawata kuoana na wachaga au wahaya???????/

tuacheni wivu na akili finyu.......hizo nyumba za upanga na city centre ni uchafu tu.......wapewe ikibidi.....

tuna ardhi teeele...

kama sisi tunaweza tujenge zingine tuuziane waswahili nzuri kuzidi hizo.....

wao wana haki kudai nyumba hizo ambazo babu zao walijenga hata kama ni nyakati za ukoloni na ubaguzi....but wao wana mchango wao pia
 
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
2,314
Likes
735
Points
280
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
2,314 735 280
Mimi naona NHC ingejenga nyumba nyingi za kisasa na kuuza za zamani kwa wanaoishi kwenye hizo nyumba. Huwezi ni ubaguzi wa hali ya juu kuwanyanganya nyumba Watanzania wenye asili ya kiasia na kuwaacha wengine kama huu sio ubaguzi basi ni nini. Vilevile tukumbuke wengi wa wapangaji wameshalipa kodi kwa miaka mingi wengine zaidi ya miaka 20. NHC wauze nyumba na watumie hizo pesa kujenga nyumba nyingine na waziuze kwa Watanzania.
 
Alwatan

Alwatan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Messages
409
Likes
2
Points
33
Alwatan

Alwatan

JF-Expert Member
Joined May 19, 2009
409 2 33
Hebu tuambie wewe mtetezi wa mabwanyenye wa kiasia ni wamatumbi wangapi wanaokaa kwenye hz nyumba za NHC mmh! Maana unaibua hoja nzuri lkn zenye chuki za wazi hv magabachori hawa wanaorigharimu taifa hili kwa matendo mengi yasiyofaa, pasi huruma kwa kutunyonya na mambo kedekede... Kuna ubaya gan magabachori kuishi kimanzichana mmh! Aise inasikitisha mtu kuona mtu analilia usawa lkn yeye n baguzi namba moja achen kumsingizia nyerere..
Typical mind set ya wamatumbi wenzangu "Blame all others for your woes BUT yourselves". Hivi kuna muhindi alishawahi kuwa gavana BoT? Kwenye mabenki NBC, CRDB, TIB enzi hizo(najua bwana mdogo unaona kama naongea kichina hapa). Kuna muhindi yeyote amewahi kuwa rais au waziri mkuu, au waziri au katibu wakuu tangu Mwalimu aondoke madarakani?

Mbona ufisadi ndiyo umeongezeka mara millioni? signatories wote ni wamatumbi wenzetu lakini kama kawaida yetu ya uvivu wa kufikiri na akili za Mtikila,- just point the finger where its easy to score points. Grow up dude, acha story na misconceptions za vijiweni, tumia akili hiyo kuja matatizo yetu hasa yako wapi.
 
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
1,566
Likes
10
Points
135
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
1,566 10 135
Ukwahili naungana na Azim Dewji, kwani kama kuuza hizo nyumba wauziwe wapangaji na dodoso ya kuuliza race ya mpangaji ni UKABURU TU!!!! Muhimu ni kuwa kama wao NHC wanahitaji kujenga nyumba si kubomoa Dar ya kale (Upanga) wajenge dar Mpya yenye miundo mbinu ya kutosha hapo leo ukijenga maghorofa zaidi patakuwa over populated na miundo mbinu kama barabara , maji taka, umeme na majisafi hayataweza kutosha, Angalia Jengo la Benjaminin Mkapa tower linatumia umeme MW6 karibu sawa na matumizi ya mkoa wa Mtwara sasa ukiruhusu majengo mengi ya aina hiyo umeme utakuwa hautoshi labda kujenga sub station nyingine au kuongeza njia za umeme ni bora hizo hela zao wapeleke kujenga nwe Dar
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Likes
113
Points
160
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 113 160
Siwezi kutetea ubaguzi wa aina yoyote lakini ni muhimu tutambue kwamba hawa watanzania wenzetu wenye asili ya asia ndio wanatubagua na kujibagua.

Kama dhana ya kuanzishwa NHC ni kuwafaa watnzania wa kawaida,chukulia mfano alotaja alwatan hapo juu, basi anachofanya mchechu namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono.

Hivi azim dewji huyu mwenye kumiliki makampuni mengi hapoa mjini naye bado amebanana kwenye nyumba za NHC? kwahiyo tuseme kwamba naye ni mtu wa chini asiyeweza kujenga hadi akalilie nyumba za NHC!

Watanzania wengi wenye asili ya kiasia na kiarabu wako vizuri, wanafanya biashara kubwa kubwa na wanamiliki majumba hapa mjini wameyapangisha kwa pesa nzuri halafu bado wanang'ang'ania kuendelea kukaa nyumba za makabwela.

Nafahamu kuna wachache wasio na uwezo mkubwa hao wanastahili kuendelea kukaa humo lakini wengi lazima watoke waende kwenye mabungallow yao.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,910
Likes
4,395
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,910 4,395 280
Azim Dewji atuambie kwa nini sisi wabantu hatuna wake wa Kihindi?ila wao wamefanya nyumba ndogo na kuwazalisha dada zetu mitaani?wao wanaubaguzi wa hali ya juu sana juu yetu,sasa kwa nini na sisi tusiwabague?
 
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
2,314
Likes
735
Points
280
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
2,314 735 280
NHC wauze nyumba kwa wapangaji wote bila kujali ni asili gani maana wengi wameshakaa miaka mingi na vilevile watapata pesa kuliko thamani ya hizo nyumba. NHC tumieni hizo pesa na jengeni majengo ya kisasa yenye kutumia umeme vizuri, parks, barabara na system nzuri ya maji na maji machafu. Acheni mijadala ya kiubaguzi na kuwatisha wenzetu wenye asili ya kiasia kwa sababu ya rushwa tu. Hii ni aibu kubwa
 
M

MpendaTz

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
1,693
Likes
174
Points
160
M

MpendaTz

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
1,693 174 160
Mkuu DSN,
Bahati mbaya majibu yako yameonesha kuwa you are not only an ordinary fan, but a rather fanatic supporter of the new NHC Director General. Why is that, you know better?

Kwanza kabisa ilibidi DG wa NHC atambue na aelewe misingi ya Baba wa taifa kutaifisha majumba haya, ambapo mengi yake wamiliki ni watu wenye asili ya kiasia. Sababu kuu ilikua ni kuwapatia wananchi affordable housing na kuondoa unyonyaji wa makabaila.

Lakini la pili, Mwalimu alikua siku zote za maisha yake akiupinga UKABURU. Kwake yeye ukaburu ulikua ni ubaguzi wa rangi wa aina yeyote. Na ndiyo maana kwenye miaka ya '70s majeshi ya Kitanzania yalipelekwa nje ya mipaka yetu kupigania ubaguzi wa rangi. Na Mwalimu mwenyewe alikua na mawaziri wa kiasia kwenye baraza la mawaziri kwa kipindi kirefu tu. Amir Jamal ni mmoja wa mawaziri aliyesimamia "industrialization" ya Tanzania kwa ufanisi mkubwa kabla ya mchwa hawajaingia na kumaliza mashirika yetu miaka ya 70s. Hizi form za kujaza rangi ya ngozi ya mtu alizointroduce DG wa NHC na Rubber Stamp Board yake zinaturudisha nyuma, maana inasemekana alihandpick na kufacilitate uwepo wa idadi kubwa ya members wa Board ili iwe a True Rubber Stamp Board.

Inaelekea huyu DG wa NHC halitambui hili kwa vile ni bwana mdogo sana na haijui historia au hazipendi tu sera za usawa Mwalimu alizokua anapigania mpaka kufa kwake.

Cha kushngaza hakuna sehemu uliyocomment kama Azim Dewji nilivyomnukuu akisema, DG wa NHC mshahara wake kwa mwezi ni ZAIDI ya Millioni Ishirini, hii inaashiria mshahara wa huyu mtu upo pegged to the dollar ndio maana hautajiki kutokana na flactuations za USD market. Sasa hapa naomba bwana DSN "mtetezi wa wamatumbi" utufafanulie. Kama hata maKatibu wakuu mshahara haufiki millioni 3 kwa mwezi, kuna justification gani ya kumlipa mtu mmoja ZAIDI ya millioni 20 kwa mwezi?? Ina maana hicho kipaji cha uongozi ni kipaji gani cha kipekee kiasi kwamba hiyo kazi ingetangazwa kwa mshahara wa Millioni 7(mara mbili ya Katibu Mkuu) ingekosa watu?

Matokeo yake ni haya tunayoyaona. Huyu DG yupo totally out of touch na realities za maisha ya mtanzania wa kawaida. Na ukizingatia alitokea kwenye private banks ambako wanalipana vizuri, haelewi unapomwambia mapendekezo ya kodi ya Shs laki 5 kwa mwezi kwa mtanzania wa kawaida ni kitendawili kuzipata.

Tatizo ninaloliona ni kuwa Board ya NHC nayo ni kama rubber stamp za Management. Wakishaandaliwa visafari vya nje hapa na pale wanasahau kabisa wajibu wao wa kuisimamia management katika kuliendesha shirika, ili lisitoke kwenye misingi ya kuanzishwa yake. Kwa NHC inapoelekea sioni itakua na tofauti gani na makampuni mengine ya for profit real estate business. Kinyume kabisa na nia ya uanzishwaji kwake. Halafu hizo forms za kutaja rangi ya ngozi, jamani msiige mataifa ya nje kila kitu. Kule misingi ya constitution zao imejikita deep sana, na kila raia anajua haki zake. Huku kwetu kama kila landlord akiamua kujua rangi, baadae itakuja kuwa kabila, baadae dini, then you know where it will end. The board at NHC should immediately intervene and stop this NONSENSE!... Kwani wao NHC wamekua immigration au polisi au national sensus?

Ningekua mshauri wa DG wa NHC, kama DSN unavyoonekana kuwa karibu yake, ningemshauri akumbuke kuwa kuna ma nurse, walimu wa sekondari, madaktari ambao take home zao zinarange kati ya laki mbili kwa mwezi, na laki 7 kwa mwezi, nao ni watanzania, na wana haki ya makazi bora. Na hiyo ni total take home, haujaweka fees za watoto na mahitaji mengine muhimu. Sasa unapomwambia mtu alipe laki 5 unamaana walengwa wako watabaki kuwa watanzania wa kawaida au watanzania wenye nuru tu.

I dont care kama hakuna mmatumbi hajalalamika(sababu hatuna utamaduni wa kuandika) bali natizama content na substance ya mlalamikaji. Na kwa hili laubaguzi wa rangi kwa wapangaji wa NHC na marekebisho ya kodi, namuunga mkono Azim Dewji.

Si kila mtanzania analipwa ZAIDI ya millioni 20 kama anazolipwa DG wa NHC.
Mkuu Alwatan, nadhani kuna vitu huvifahamu sana kwenye hili taifa japo unaweza ukajiaminisha kuwa wafahamu sana. Au l, utakuwa unauhusiano wa namna fulani na hawa jamaa.

Kwanza kabisa ningekuomba uondoe kabisa hilo wazo la kwamba eti DG hawezi lipwa mln 20. Kwanini unadhani hivyo? Sasa kwa taarifa yako watu wako kwenye mambo makini sana kwa hapo. Hawa jamaa wamaejaribu sana kwenda kumhonga huyu DG wakashindwa, hence the all frustration. Haya nimeyasikia kwa wafanyakazi wa karibu kabisa na huyu DG. Weingine wakaenda kuleta vi-memo kwa mawaziri fulani akavikataa. Yuko mmoja wao aliyekuwa analidanganya taifa kuwa anasimamia nyumba fulani hapo dar amabazo zinakodishwa na wafanyakazi wa balozi na mashirika ya nje. Alizokuwa anatia kibindoni ni aslimia 75%, serikali ikiambulia 25% tu! The new DG is the one who dismantled this foolish arrangement! Unaona uchungu kuona mtanzania mwenzako akilipwa vizuri, lakini akija Mzungu, mhindi, akalipwa hizo fedha na akawa hata hafanyi kazi kulinufaisha taifa kwako unaona ni shwari. Huo ni uzembe! wa kufikiri Mkuu.

Huyo Jamal uliyemyaja hapo juu unanisikitisha sana. Hujui alivyomshangaza Nyerrere pale mwishoni. Alikuwa amemweka katika heshima ya juu sana kwenye Taifa letu, kilichokuja kuwashangaza viongozi wote ni pale alipokuwa ameacha wosia kuwa akifa asizikwe kwenye ardhi ya Tanzania, badala yake akazikwe Cananda. Unaweza ukaliona ni jambo dogo la kudharau kuwa tusilitilie maanani, lakini huko ni kukosea sana. Ukiisha fikia kiwango cha kuitwa a statesman ni tofauti kidogo.

Shirika la nyumba kama unataka kuelewa lilikuwa wapi limefika wapi na linakwenda wapi, jitume kidogo tu ukazungumze nao Mkuu, wanauhakika na wanachokifanya. Nenda kawaulize watakupa sababu nzuri tu za uamuzi huo. Usikurupuke kuungana na Dewji, huyu ni mtu aliyezowea kupata kila kitu kwa jaeuri yake ya pesa, ni mtu mwenye tabia ya kuwaweka waasia wenzake mbele ya ineterests za Taifa zima. Nakuhakikishia mkuu laiti ungeljua kidogo tu kuhusu mambo wanayofanya hawa jamaa hapo Tanzania usingejaribu hata kutetea. Usiniulize niyaweke hapa, maana sikuyapata hapa, jitume mwenyewe, waendee, na wakikataa kukuruhusu kufahamu zaidi uwaulize sababu ni nini wanaficha ficha. Ubaguzi tusiwe nao lakini na wao wasitutenge ndani ya nchi yetu, wasituchagulie viongozi, wasijikite kwenye kila big deal katika serikali na kujichotea kama kina Vihlani and the like! Wafanye tu biashara za kistaarabu watoe mchango wao na wananchi tutaona na kuafiki kuwa wanaipenda nchi wliyoamua kuhamia. Watanzania hawana ubaya ni watu wakarimu sana lakini hali na mambo yamefikia mahali ambapo wanajiingiza kuleta machafuko kwenye hii nchi.
Hivi umeshajiuliza kwanini kufa na kupona wao hupenda sana na nadhani huchangishana kuhakikisha kuwa CCM inashinda chaguzi zote?

Nakushauri tena tembelea hilo shirika ukayaone na ukubali kuwa hata sisi tunaweza kuwa na wataalamu usiwe na wivu. Lakini kama wewe ni sawa na wale wanaosema kuliko mswahili mwenzangu apate atanisimanga afadhali nikampa mhindi kuliko mmatumbi mwenzangu. Huo ugonjwa upo sana nchini mwetu. Wapo wengi wenye roho hizo. Kama ni mmoja wapo basi nimepigia mbuzi jitaa. Samahani.
 
Forum statistics

Threads 1,237,453
Members 475,533
Posts 29,289,121