Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Mama Maria Nyerere (katikati) akizungumza Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Fenella Mukangara (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga walipomtembelea nyumbani kwake Butiama, Musoma vijijini, jana. Picha na Elias Msuya
Wakati wengi wa viongozi wetu wanakazana kumtukuza Nyerere na kujikomba kwa mjane wake Mama Maria nyerere kwa safari lukuki Butiama bila ya kujiuliza nini kilicho tofauti kati yao na the real J.K .........forget the imposter Jk amidst us posing like the real one.....................
Nyerere kwenye moja ya hotuba zake alitupa siri za mafanikio yake ambazo wenye nia ya kuiga mfano wake ni vyema wakajiuliza mbona silaha hizo mbili za mzee Kifimbo zipo kila mahali....................ni lipi lina washinda wasifuate nyayo zake?????......................
Silaha mbili Nyerere alizotuachia ni hizi hapa zifuatazo ya kuwa kila alipo au aendako ana hakikisha ana vitabu viwili ambavyo huvisoma na kuvitafakari sana............................Biblia Takatifu na kitabu cha Azimio la Arusha......................
ndani ya vitabu hvi nyerere alijifunza ya kuwa busara hutoka kwa Mwenyezi Mungu na kamwe mwanadamu hawezi kukupa busara..............elimu ya darasani ni maruerue tu............na ya kuwa kumtendea mwanadamu mwenzio usivyopenda wewe kutendewa ni kukufuru dhidi ya Muumba na kumchukiza hata mwanadamu mwenzako...........................kutokana na misingi hiyo mitakatifu...................Nyerere alijifunza kuheshimu utu wa mtu na katika maisha yake yote alikataa tamaa za duniani za kujipendelea yeye na familia yake au kutudhulumu raia wa Tanzania...........kutokana na kuwa na busara hizi za Muumba sisi tutaendelea kumuenzi kwa vizazi vingi vijavyo....................
badala ya viongozi wetu kutumia gharama kubwa haswa ya muda wao kwenda Butiama na kuendeleza sera za kinafiki na hadaa dhidi yetu wangelitumia muda mwingi kujiuliza swali moja tu..................................What made Nyerere tick in his lifetime?