HIVI HIKI KITU NI KWELI " No way you can Go out of CCM safel......" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIVI HIKI KITU NI KWELI " No way you can Go out of CCM safel......"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by harakat, Oct 12, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  "No way you can Go out of CCM safely .. "
  Hivi huu usemi ni wa kweli kwamba hakuna njia mtu anaweza kutoka ccm akabaki salama kama ilivyokuwa kwa aliyekua waziri mkuu wa izrael Aerial Sharon ambaye sasa yupo anapumulia mashine?
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wafipa wanasema "Mmaanyi" loh! yaani sijui!!
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mbona wengi tu tumetoka CCM nahatujafanywa kitu?? au unataka kusema CCM ukiwaacha wana kufanyizia?? basi wao ndio wanakiuka haki za binadamu
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mauaji kwa kwenda mbele ccm,sasa dawa yao ni kuwawahi na kuwaua wao kabla yako.na kwa kuanzia nimefanya mpango wa AK-47 from misri soon nitaanza utekelezaji.
   
Loading...