Vijana wa CHADEMA walioko ndani Igunga kwanini wasitolewe?

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,876
Ndugu zangu wanajamvi tumesikia kuna vijana wanne wako magereza Igunga toka uchaguzi uishe kwa nini wasitolewe????????Kijana mmja kakutwa amekufa tena nyuma ya gereza eti kazikwa, maisha ya mtu linakuwa jambo dogo la kawaida!!!!!!! Watanzania tunahitaji kushikamana kupinga huu ukatili wa kuua watu ovyo!!!!!!! Vyombo vya dola na wapenda amani popote walipo tunahitaji kujua sababu za kifo cha huyo kijana!!!!!!!Tena tunahitaji tujue kwa nini vijana waliowekwa ndani magereza kwa nini kama hakuna kesi wasiachiwe huru?????????? Naomba ushauri na maoni yenu!!!!!!
 
Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,118
1,794

Haki za binaadamu ziingilie na kuona haki inatendeka, Kitengo cha sheria CDM nunueni kesi hii mpande chati Igunga
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Kama wana makosa basi ni haki ya vyombo vya usalama kuwashikilia
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,122
37,276
Si ajabu wameshauliwa na kutupwa porini , CCM na vyombo vyake vya ulinzi na usalama ni wauaji na watesaji wakubwa. Ilaaniwe CCM, ilaaniwe TISS, ilaaniwe POLISI,ilaaniwe NEC. Si mnaona Polisi waliomuua Gen. Kombe kwa makusudi na kuhukumiwa kifo na Mahakama JK kawaachia huru?
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Naomba Kesi yao iharakishwe ili haki itendeke, kama wanahatia wafungwe kama watu wengina na kama hawana hatia basi waachiwe huru.
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Wasingekuwa gerezani kama wangekuwa hawajashtakiwa. Mawakili mahiri wa chama hicho wako Dar wanakula kuku kama kawaida na hatujasikia wakipaza sauti kwa sababu uchaguzi umekwisha.
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,876
Haki za binaadamu ziingilie na kuona haki inatendeka, Kitengo cha sheria CDM nunueni kesi hii mpande chati Igunga
Mkuu Ngasiba kesi ipo tena kubwa tuu, maana kitendo cha kuweka mtu ndani na kumsababishia mateso na usumbufu kuna gharama zake. Lakini cha msingi hawa vijana wetu watakaandani hadi lini????? Hali zao zikoje, sisi kama wanadamu wenye huruma lazima tufikili tuache kufa nchi yetu kama iko vitani!!!!!!! Kuweka watu ndani zaidi ya masaa 48 ni ukiukwaji wa haki za msingi za kibinadamu!!!!!!! Hawa watu watolewe ndani au wapelekwe mahakamani period!!!!!!!!
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,876
Naomba Kesi yao iharakishwe ili haki itendeke, kama wanahatia wafungwe kama watu wengina na kama hawana hatia basi waachiwe huru.
Sababu ya kuendelea kuwaweka ndani na hali uchaguzi uliisha pita ni kitendo cha uonezi, mbona waliokuwa na mapanga tuliwaona na mabendera ya CCM wakitupa mawe na kutisha watu walichukuliwa hatua gani??????? Huyo Mbunge wa Sumbawanga aliye fyatua risasi alichuliwa hatua gani?????? Basi kama vyombo vya dola vimeshindwa kazi na kuwa upendeleo, wanyonge nao watafute namna yao ya kujikomboa????????
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,876
Wasingekuwa gerezani kama wangekuwa hawajashtakiwa. Mawakili mahiri wa chama hicho wako Dar wanakula kuku kama kawaida na hatujasikia wakipaza sauti kwa sababu uchaguzi umekwisha.
Mawakili wa CDM sio wanaowashikilia magereza hebu tumia akili za kibinadamu tunazungumzia watu wako magereza!!!!!!!Hivi wewe umewahi kuwekwa ndani magereza, labda unaona haikuhusu ndio maana unazungumza kejeli!!!!!!!!
 
Jembe Ulaya

JF-Expert Member
Oct 27, 2008
456
103
Wasingekuwa gerezani kama wangekuwa hawajashtakiwa. Mawakili mahiri wa chama hicho wako Dar wanakula kuku kama kawaida na hatujasikia wakipaza sauti kwa sababu uchaguzi umekwisha.

Hivi hizi habari umezipata wapi? Limumba au Magogoni?
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,876
Si ajabu wameshauliwa na kutupwa porini , CCM na vyombo vyake vya ulinzi na usalama ni wauaji na watesaji wakubwa. Ilaaniwe CCM, ilaaniwe TISS, ilaaniwe POLISI,ilaaniwe NEC. Si mnaona Polisi waliomuua Gen. Kombe kwa makusudi na kuhukumiwa kifo na Mahakama JK kawaachia huru?
Hizo ndio zao kuuwa watu na kutupa porini, nchi imwegeuzwa kama Bosnia watu wanauwawa tuu kama wanyama na kutupwa porini sisi tuko kimya!!!!!!!!!! Tupaze sauti zetu tupige kelele vinginevyo leo ni huyo Bwn Ndogo next time its u your son relative or some one else u know!!!!!!!!!!!
 
Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,014
613
mimi naona 2015 kifyekane kimtaa mtaa tuone akina nani watashinda zaidi.

Baada ya vurugu za Igunga kuonyesha mwelekeo wa CCM na kuonyesha nia ya Nape ni kuangamiza vijana wanaotafuta haki yao. Vijana sasa hivi hawatakubali kuvumilia upumbavu huu wa kuuwawa bila sababu eti sababbu ni itikadi ya siasa. Hao ccm watalia wenyewe huko mitaani.
 
MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
349
mkoloni mweusi hatari kuliko mkoloni mweupe,yaani tuna kazi kubwa kubwa ya kufanya kama ni hivyo ila anayaua kwa upanga nae atakufa kwa upannga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom