Akiwa wa Mwisho kumaliza mbio za Marathoni zilizoshirikisha wakimbiaji 75 huko Mexico John Stephen Akwhari (Huyu ni Mtanzania Jamani) Alipoulizwa ni kwa nini amendelea kukimbia ilihali ameumia...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 05 October 2011
ROSTAM Aziz, mwanasiasa, mfanyabiashara na mmoja wa maswahiba wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete, hafukuziki ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Kuanzia mwaka 1984 kurudi nyuma mwl nyerere kama kiongozi wa nchi alikuwa maarufu lkn si kama ilivyokuja kuwa baada
y a kung'tuka, na kudhibitisha hilo ndo mana kuna wkt mwl. Akiwa madarakani...
Ndugu zangu tunapokaribia kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa taifa tunaunganishwa kwa kauli mbiu isemayo "TUMEWEZA, TUMETHUBUTU NA TUNASONGA MBELE". Lakini mimi naiona labda ingekuwa "TUMEDHUBUTU...
Kuna wimbi kubwa la watu ambao hawapigi kura kwa mawazo kwamba atawakipiga CCM lazima ishinde lakini hiyo siyo mana yake, nawashauri wahusika na hili watumie muda huu kuwashauri wananchi kupiga...
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa...
ndugu wana jamii, kwa masikitiko makubwa naomba nifikishe dira ya mnyonge mbele zenu ili kwa yule ambaye angependa kumusaidia ndugu yetu huyu amusaidie. ni dira ya mnyonge kipindi kinachorushwa...
‎"We Zanaki have two reputations among our neighbors." Nyerere has said of his tribesmen. "One, of being cunning, and the other, which follows the first, of being untrustworthy. People will...
Mohamed Bouazizi alikufa akitetea haki yake ambayo serikali ya rais BEN ALI wa Tunisia ilipokuwa inampora lakini
matokeo ya operation hiyo ya kumyanganya tonge lake ndio ikawa ndio imewasha moto...
Kwa vile tunategemea neema ya Mungu kufanya vizuri, nashauri Tanzania isishiriki mashindano hayo. Tusishikiri kwa sababu hatutaki kushinda bali tunataka tuwepo kwenye orodha ya nchi zitakazopita...
Leo gazeti la MwanaHalisi limeanika madudu yaliyofanywa na Tume ya Uchaguzi (NEC) katika daftari la wapiga kura wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga.
Sehemu husika (relevant paragraphs) za habari...
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza...
Habari zilizopatiikana kutoka katika jiji la mbeya zinasema kuwa jumla ya madiwani 18 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoka nje ya ukumbi wa mkutano kupinga ajenda...
Hivi kuna faida gani ya kubinafsisha mahekari na mahekari ya ardhi..? Hivi kwa sasa tatizo ni kwamba hatuwezi kuzalisha (wakulima hawawezi kuzalisha) au hakuna miundo mbinu ya kuweza kufikisha...
Ni bayana kuwa katika kipindi cha takribani mwaka mmoja viongozi wa baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA pamoja na viongozi wengine wa taasisi za kiislamu, wamekuwa kwa namna tofauti, na wakati...
Chama cha magamba kimepoteza mvuto wake mbele ya watanzania waliowengi kutokana na sera yake ya kukumbatia mafisad na kutotekeleza waliyoahid wengi wautabiri mwaka 2015 ccm haitakuwa tena chama...
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa...
Mandeleo hyaletwei na siasa. Wanasisa wanatakiwa walijue hili
Wanasiasia kazi ya ni kuhamasisha , kuchochea na Kukosoa sera ili watendaji walete maendeleo.
Huwezi kuwa na mandedeleo ya kweli...
Nimeona mambo yanavyokwenda Zambia na nafananisha na ahadi za Mh. Slaa wakati wa compaign and I can see that aliyoyasema yanawezekana. Zambia yanaonekana aliyoyasema Sata kwamba atatekeleza ndani...
Nimesoma habari ya Jaji Warioba katika gazeti la Raia Mwema la leo, nikagundua kuwa CCM bado inafikiri kuwa Watanzania kuwa ni wajinga kiasi hicho, wanachofikiri wao ni kuwa bado kuna watu...