Mauaji ya Kijana wa Kiislamu Igunga: Mbona sasa Bakwata kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya Kijana wa Kiislamu Igunga: Mbona sasa Bakwata kimya?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by RMA, Oct 12, 2011.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

  Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

  Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

  Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

  Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

  Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

  Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

  Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

  CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

  Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

  Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

  Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

  Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ameuawa na chadema baada ya kuhisi kuwa ni msaliti ...bakwata wameshalaani chadema kwa uchafu huo
   
 3. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Habaari ya kusikitisha sana.
  Je amezikwa wapi?
  Naomba CDM wampe mazishi ya kishujaa na kumubukumbu yake isipotee kamwe. Haya ni mauaji ya kisiasa ambayo kwa sasa serikali haiwezi kuyachunguza kwa makini kwani ni sehemu ya wahusika; ila serikali nyingine ikiingia lazima yachunguzwe.
  Hapa ndipo nakubali ule usemi maarufu wa ccm kuwa mkichagua wapinzani damu itamwagika - kumbe huwa wanamaanisha kuwa hawatakubali kushindwa hadi wamwage damu; si kwamba wapinzani ndio watamwaga damu.
  Nguvu ya umma huwa haizuiliki hata kwa mtutu wa bunduki.
   
 4. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  siamini hicho ulichoandika kwani mtoa mada kataja hata nambari za gari la ccm lililotumika. Waweza kutueleza kuwa gari hilo lilikuwa la cdm?
  Hivi ingekuwa cdm ndiyo wameua, unadhani ccm wangekaa kimya muda wote huo?
   
 5. S

  Straight JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hak ya Mungu... Naapa kabisa.. 2takuja kuchinjana hapa nchini, na kaeni mkijua record ya matukio yote 2nayo. Uuaji, wizi wa mali za uma nk... Na baada ya kukamata nchi 2015 nyinyi wazinzi na wauaji mtatutambia... Fedhuli wakubwa nyie...
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuwaamini cdm wewe wako kwenye propaganda ya kufa mtu

  Walengwa wakubwa ni waislamu ..tutajua mengi kuhusu hizo ill intention zenu..
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  BAR-KWATA wanasubiria posho yao kutoka CCM ndipo watoe tamko rasmi.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe ni zaidi ya mpumbavu.....huna adabu kilaza wa mwisho wewe.......bado zamu yako na wewe jiandae........majibu yako ya masaburini peleka huko, huko kwa hao wauaji wenzio CCM.....
   
 9. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wale ni bakwacha sio bakwata
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  no research no right to speak....................tusubiri utafiti ufanyike then wachakachue ndo watupe huo uongo
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Majibu yamekaa kishoga shoga...kama sio kishangingi..... Wanakuharibu wewe stuka!
   
 12. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Bakwata ni kitengo cha propaganda ndani ya CCM
   
 13. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Inanipa mori na hasra ya kupambana mjambazi wa ccm. Tangulia shujaa damu yako aitapotea bure
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Imesharibiwa wewe au siyo?

  Ondoka huko watakutifua hadi ukose akili
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Laana yetu juu ya mauaji ya kijana Masoud na iwe juu yao...kuna siku Mungu atawaangaza, kila chenye mwanzo kina mwisho pia.... Bakwata wanatugawa watanzania kwasababu ya tamaa ya pesa...hakuna dhambi inayozidi hiyo....kesho kwa mungu watatusaidia kujibu....
   
 16. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwao marehemu mbwana masoud wangekuwa na hela za kuwapa bakwata huenda wangekomalia hiyo ishu, kwao kumvua Dc hijabu ni kosa kubwa kuliko mauaji ya mwislamu mwenzao ndo mana katu hawawezi kuinua domo coz watuhumiwa no. 1 ni ccm, na kwakuwa ccm wanawahonga bakwata hela ya kahawa ili waropoke , basi ndo mana wanatumika kama mavuvuzela ya ccm
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Bakwata hawataweza kulaani kitendo hicho mana mana ndo washiriki wa ccm katika hilo tendo
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Siku ukiacha kufanya huo ushoga amini nakuambia akili zako zitarejea tena na utaacha kutumia masaburi kufikiri....
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Damu ya kijana Masoud asiye na hatia itawalilia wote ( Bakwata + CCM + wauaji)
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  You trying to provoke..I will not get there..

  Chadema wana kitu cha kujibu kwa kifo kijana huyu

  Wanfahamu, wamekifanya wanastahili laana period

  Walianza na hijab, wakamalizia kutokuaminiana..hatimaye kifo cha kijana muslim maskini ya mungu njaa mbaya
   
Loading...