KAULI ya rais wangu ajaye!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAULI ya rais wangu ajaye!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Oct 13, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Akiwa wa Mwisho kumaliza mbio za Marathoni zilizoshirikisha wakimbiaji 75 huko Mexico John Stephen Akwhari (Huyu ni Mtanzania Jamani) Alipoulizwa ni kwa nini amendelea kukimbia ilihali ameumia Goti na anavuja damu. Akwari alijibu "My country did not send me 10,000 miles just to start the race; they sent me to finish the race."

  Nataka mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wangu mwaka 2015 aje na kauli hii na kwa dhati tukimtazama awe anafanana nayo ila yeye aseme "wananchi wa Tanzania hawakunichagua ili niwe rais wao, bali wamenichagua niutumikie urais kwa faida yao"

  Namshukuru SlidingRoof kwa kutukumbusha kisa hiki cha shujaa wetu Akwhari!
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa kauli kama hii kiongozi, ni viongozi wachache mno wanaoweza kuotoa kwa wananchi wao, wengi hawatambui kuwa kupewa nafasi kuongaza wananchi tayari ni dhamana ya kutenda yale yanayotakiwa kwa maendeleo ya wananchi.
   
 3. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  TZ hatuna kiongozi mwenye uzalendo kama huo, wengin wapo kwa maslahi yao binafsi, wengi hukimbilia siasa kama sehemu ya kuja kupumzikia (kujihifadhi) baada ya kuchuma kodi za walala hoi!
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angalizo zuri sana hilo lakini naogopa kwa misimamo yako hiyo, huyo unayemuunga mkono yuko opposite na kauli hiyo.
   
Loading...