Nyerere: Wa Zanaki si waaminifu

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
88e8c0a398a0580e75f72210.L.jpg

‎"We Zanaki have two reputations among our neighbors." Nyerere has said of his tribesmen. "One, of being cunning, and the other, which follows the first, of being untrustworthy. People will say, 'A Zanaki friend will kill you' - which is not true. I don't know how we got that reputation. William Edgett Smith quoting Nyerere in We Must Run While They Walk: A Portait of Africa's JULIUS NYERERE. p. 37.

"In June, The Economist of London had declared, in an article entitled "The Perils of Nyerere," that the President had "managed half the work of a python." It continued: "He swallowed Zanzibar all right but he did not crush its fighting force first. The live animal is a long time digesting, and its kicks are being felt hurtfully, and possibly even fatalyy, deep inside Tanganyika's body politic." William Edgett Smith in We Must Run While They Walk: A Portait of Africa's JULIUS NYERERE. p. 179.
 
DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667

Katika simulizi za kabila hilo la Wazanaki [Wazanaki=yani wamekuja na nini] hayo masimulizi ya jadi yamekuwepo na ndio maan hata yeye anasema ajui ni kwa nini wahenga hao walisema hayo mambo mawili ambayo mwalimu ameyasemea kuwa Mzanaki ana sura mbili moja ni kuwa ana uwezo wa kushughurikia maswala ya jamii katika hali ya busara na welevu mkubwa lakini pia la upnde wa pili ni kuwa rafiki yako huyo Mzanaki anweza kukuua pindi ukimkasilisha sana.

Hata mimi pia nimeshapata kusikia hilo katika hadithi za kimakabila ya kanda ya ziwa kuwa Wazanaki ni watu wenye busara sana na hekima za kimaisha,na ukizingatia uko waliko toka kihstoria kuwa walikimbia jamii yao baada ya kuona kuwa wanajamii zao waliwapinga kutatua matatizo yao kwa njia ya amani.Hivyo wakaamua kuondoka [Kimbia] kama koo na kwenda kuanzisha jamii ambayo leo tunawaita Wazanaki,haya ni kwa mujibu wa masilimulizi toka kwa moja ya watu wazima waliyopata kuniambia.

Lakini ili la Mzanaki kufkia kumuua rafiki yake pindi akikasirishwa kupita kipimo ilifikia kuwa wanamsemo wao kuwa Mzanaki akikasilikaa atakwambia "Nitakupiga na Mshale wa Baba" [Maana ya Kizanaki Nnda kukome/tema na bota bo tata]. Wazanaki ni maarufu na mafundi wa matumizi ya mishale na nina hakika kwa Afrika wale ni magwiji. Na ukisikia kauri hiyo ya kijana wa Kizanaki ambayo kwa kipimo hicho kwa watoto wa mjini wanasema sepa vinginevyo wewe ni marehemu mtarajiwa.

Kwa watu wengi wanajua haya masimulizi ya makabila mengi kutoka kanda ya ziwa hata ndugu zake Mwalimu wa makabila ya wakurya [Koo za Wailegi,Wanyabasi,Wakira,Walenchoka,Watimbalu,nk] nao wako sawa na koo za Wazanaki wakati Mzanaki anatumia Mshare [Bota =tamka Bhota] wakurya wanatumia Sime au Nati, na yeye ukimfikisha kwenye kona [Point of no Return] kama alivyo Mzanaki hakika akisema "Nitakukata" [Nenda Kugeche] kula kona mapema ukibisha panga ama kisu kitakula bega lako.

Cha msingi hawa jamaa hawayafanyi haya mambo ovyo ovyo,ila watayatenda pale watakapofikiswa kwenye kona ambako yeye anahisi hana jinsi zaidi ya kukuaribia kwa kuwa wao wamelelewa katika mfumo wa nidhamu [Clan system] yani jamii kama ya kimasai yani kuheshimu mtu kwa mujibu wa lika toka mtoto mdogo [Mlisya] mpaka mtu mzima [Omughaka].Na moja ya siri kubwa ya makabila haya ya kanda ya ziwa ni kuheshimu Mtu na Utu wake nawanachukia sana dhuluma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom