Tutoke kwenye siasa tuhamie kwenye utendaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
  • Mandeleo hyaletwei na siasa. Wanasisa wanatakiwa walijue hili
Wanasiasia kazi ya ni kuhamasisha , kuchochea na Kukosoa sera ili watendaji walete maendeleo.

Huwezi kuwa na mandedeleo ya kweli na uwajibikaji kwenye sehemu amabayo public employee anayepokea mshahramubwa ni mwanasiasa kama mbunge. Wafuatao chini inwezekan hawpti hata nusu ya mshahara anaopata mbunge.

Afisa elimu wa mkoa na wilaya
Mganga mkuu wa mkoa na wilaya
Afisa kilimo wa Mkoa na wilaya
Afisa Mifugo wa Mkoa au Wilaya
Mhandisi wa Mkoa na Wilaya
Afisa madini wa ilaya au mkoa
Afisa Utalii wa wilay na mkoa
Afisa Maji wilay/ Mkoa
RPC wa mkoa

Kulingana a mkoa na wilaya kuna majukumu na vyeo vinatakiwa kuwepo na vyeo hivyo na majukumu yawe watumishi wawe wanatakiwa kuwa wana kipato halali kinachozizidi wabunge. Ni kwenye sekta hizi ndio wasomi wanataiwaiwa waende walete mendeleo sio kwenye Siasa.

Kwa hiyo ni mpaka wanasiasa watakapo
  • gundua na kuanza kupiga kelele ili kazi, majukumu nyeti yapewe kipaumbele n sio Siasa ndio tutakwenda kule tunapotaka
  • Gundua kuwa sio sahihi kwa Ubunge kuwa ndio best paying public job kwenye wilaya au mkoa
  • Gundua kuwa mbunge wa UK au US, Norway, Sweeden hamzidi mhhara "RPC" au mtu nayeshughulik Elimu au afya kwenye jimbo fulani.

Ni wakati wansiasa waanze kupigania maslahi ya watedandaji kama kweli wanataka tuendelee. La sivyo Tunajenga taifa la wanasiasa na taifa la mjimbo ya uchaguzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom