Kuna wimbi kubwa la watu ambao hawapigi kura kwa mawazo kwamba atawakipiga CCM lazima ishinde lakini hiyo siyo mana yake, nawashauri wahusika na hili watumie muda huu kuwashauri wananchi kupiga kura na kuondokana na fikrapotofu kama hizo, kama ilivyo operation Sangara sasa kuwe na operation PIGA KURA KUTIMIZA HAKI YAKO. WanaJF tuwe pamoja kwa hili....