October 13, 2011 04:30PM
By Katherine Clarke
From left: Darcy Stacom, vice chairman of CB Richard Ellis, 307 East 53rd Street and the flag of the Republic of Tanzania
The Republic of Tanzania...
Ninaomba tujadili wana JF. Kwa nini viongozi wa Afrika hawana utamaduni wa kuwajibika kwa kujiuzuru kama ilivyo kwa viongozi wa mabara mengine tena bila kushinikizwa ? Nawasilisha.
Waziri mkuu wa Ugirikia ameamua kuchukua maamuzi magumu na kujizulu kufuatika hali ngumu iya maisha nayoendelea nchi kwake. Ameona ameshindwa kutafuta suluhu na ameamua kuwaachia wengine wafanye...
Salaam wakuu,
Nimetokea Kibamba. Nimefika maeneo ya Kimara nimekuta Difenda za FFU kama sita hivi zikirandaranda huku zikiwa zimesheheni askari waliojikoki kana kwamba wanajiandaa kuingia kwenye...
Muswada wa Katiba mpya
Mwandishi Wetu
Ahofia mabavu ya dola kuteka mamlaka ya wananchi
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
HIVI KARIBUNI SUALA LA MASHOGA LIMEZUNGUMZIWA SANA NA VYOMBO VYA
HABARI NA HASA PALE CAMEROON ALIPOTOA KAULI YA KUDHALILISHA NCHI
ZETU ZINAZOTEGEMEA MISAADA ILA KAMA KUWATAMBUA NA KULINDA NDOA...
Nguvu ya UMMA ni falsafa inayotumiwa na CHADEMA nchini. Nini maana ya yake katika nchi ambayo ni ya kidemokrasia. Nchi ambayo mihimili mikuu ni Dola (Executive) , Mahakama (Judiciary) na Bunge...
Umeme wa dharura
Waandishi Wetu
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Mipango ya utapeli yakwama Marekani
Ngeleja mikononi mwa Bunge
UTAPELI mithili ya ule wa kampuni ya kufua umeme wa...
Public announcement of the ANC National Disciplnary Committee hearings of Comrades Julius Malema, Ronald Lamola, Pule Mabe, Sindiso Magaqa Kenetswe Mosenogi and Floyd Shivambu10 November 2011...
Miaka 50 ya Uhuru
Felix Mwakyembe
Kandoro asifia miundombinu ya usafiri
Uzalishaji kilimo umepanda, bei bado duni
Elimu yapanda, vyuo, shule vyaongezeka
TBL, Coca Cola, Pepsi, Saruji...
Tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania ni mara ya kwanza kwa bunge kuongozwa bila ratiba....jana kikao kimeanza spika akahairisha bunge baada ya maswali na majibu ili kutoa nafasi ya kupanga...
Wakuu.., nimesikia muda mfupi uliopita kuwa Kamanda wa anga.,Mh Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani.Mlioko A town mtujuze.
Source: Super Mix East Africa Radio(Michael Barut na Zembwelai)
Taifa langu limejikuta halina kiongozi wake, yaani rais.
Taifa hili Tanganyika au Tanzania Bara linaongelewa sana lakini cha ajabu halina serikali kabisa. Kwakuwa nimepata uchungu kuwa taifa...
Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Ameandika barua polisi akiomba kibali cha wana CCM kuandamana kutoka Vijana mpaka Kidongo chekundu eti kulaani viongozi wa CDM kukiuka sheria halali huko Arusha...
Tamaa huondoa mantiki nzima ya watu kuishi pamoja katika taifa. Tamaa na ubinafsi ni adui wetu mkubwa katika kusimamisha taifa imara na lenye watu wenye umoja. Sisi watanzania tumechagua wabunge...
Moja kati ya vitu ambavyo serikali yetu imefanikiwa miaka ya hivi karibuni ni kufanya sherehe na maonesho. Kila kukicha viwanja vya Mnazi Mmoja na kwingine kuna shughuli ya maonesho au sherehe...
pamoja na polisi kuomba chadema isitishe maandamano kuruhusu majadiliano leo na chadema kukubali. Polisi inapita ikikamata viongozi wa ngazi ya chini wa chadema. Wamemkamata diwani wa kimara...
Mie ninamtazamo tofauti kabisa na mwenendo wa siasa za CCM sasahivi. Ukweli ni kwamba siasa za CCM ilibidi toka siku kinazaliwa na ilikuwa hivyo kwa kuwa kwa wakati huo iliruhusu iwe hivyo ili...
Wana JF
Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara.
Yeye pamoja na...