Republic of Tanzania purchases East Side building for $24.5M

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,798

October 13, 2011 04:30PM

By Katherine Clarke

stacom_pic_articlebox.jpg

From left: Darcy Stacom, vice chairman of CB Richard Ellis, 307 East 53rd Street and the flag of the Republic of Tanzania

The Republic of Tanzania has purchased the Timekeeper Building, a six-story office property at 307 East 53rd Street near the United Nations, for $24.5 million, according to public records filed with the city today.

The 40,000-square-foot, six-story building, between First and Second avenues, was put on the market by Philadelphia-based real estate investment firm Amerimar Enterprises in September 2010. Robert Garrish, Paul Gillen and Darcy Stacom of CB Richard Ellis were hired to market the property.

Amerimar purchased the property from a company named Mittman Associates for $15.45 million in 2005.

Office tenants at the building include Amerimar as well as Bombo Sports and Entertainment, wine distributor Frederick Wildman & Sons and the Caudalie Vinotherapy Spa's offices.

A representative for the Republic of Tanzania was not immediately available for comment, but a person who answered the phone at the Tanzanian embassy in Washington D.C. confirmed that the county's New York embassy may be moving from its home at 201 East 42nd Street.

A spokesperson for Amerimar did not return a call by press time. Garrish, Gillen and Stacom declined to comment on the closing.

This purchase marks Tanzania's second in the last few months. As previously reported, in August, the Mission for the United Republic of Tanzania based in New York,
bought a Great Neck, Long Island center hall colonial house
for $1.26 million. Orly Hollander of Laffey Fine Homes, who was the listing agent on the property, said at the time that the home is for a Tanzanian diplomat with his children.

TAGS:307 EAST 53RD STREETCB RICHARD ELLISAMERIMAR ENTERPRISES

Another One - Tanzanian mission buys Great Neck house for $1.26 million

Wednesday August 17, 2011 11:59 AM By
Ann Smukler

image.JPG

Photo credit: Kevin P Coughlin

Orly Hollander of Laffey Fine Homes can now add the United Republic of Tanzania to her list of buyers. She was the listing agent on a Great Neck center hall Colonial that recently sold to the Tanzanian mission for $1.26 million, according to the Long Island Real Estate Report.

How different was the experience for Hollander? She needed the
U.S. Department of State to OK it. "This is the first deal I ever did where I needed the government's approval," Hollander says. She adds the home is for the family of an attaché with four children.

The home has five bedrooms, four bathrooms and an open floor plan. The master bedroom has a bath with a Jacuzzi and shower. A two-car garage is attached. The deal closed at the end of June, according to public records.

The State Department statement indicated that requiring government approval is standard practice and in accordance with the Foreign Missions Act. Any foreign mission is required to obtain the U.S. Secretary of State's approval before any acquisition, sale or disposition of real estate is completed.

The statement says there is usually no impact to a community from the presence of a diplomatic residence, and, yes, the State Department has turned down applications in the past.

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).

hayo mabilioni ndio tunatafuta kwa ajili ya kujenga hospitali na kudumisha baadhi ya huduma kwa wananchi lakini hayapatikani kwenye ununuzi wa mahekaru yanapatikana kila siku wananunua nyumba huko USA,
KAMA NDIVYO WANAKUSANYA HELA ZA UCHAGUZI TUMEWAONA
 
Hapo kuna chenji itarudi nyumbani kugharimia kampeni za watu kuitafuta IKulu 2015.
 
Serikali inanunua majumba nje ya nchi, wakati haina pesa za mikopo kwa Wanafunzi, wakati akina mama wajawazito na wagonjwa wengine wanalala chini au kushare kitanda kimoja hadi wagonjwa/wajawazito saba kwa kitanda kimoja!!! shule zetu nyingi za msingi hata sekondari hazina hadhi hata ya kuitwa choo achilia mbali darasa!!!! Kweli hii Serikali ya kisanii vipaumbele vyake vimekaa kushoto sana. Si ajabu katika ununuzi huo kuna ufisadi wa kutisha umeshafanywa.
 
Hivi waandishi wa habari wa bongo wanafanya nini..????

Hii nilitegemea iwe front page kwenye magezeti ya Bongo..!!, Anyway its not too late nyie waandishi ebu chukueni hii na kuonyesha wananchi ufujaji wa pesa arrghh :(
 
Kuna watu wanaaminishwa kwamba serikali yetu ni maskini sana;
inachoweza tu ni kuwapa mahindi kidogo,kofia na kanga wakati wa kampeni na wanaamini hivyo.
 
Tanzania inazidi kuongeza Asset zake nje

Haya ni mafanikio mzuri ya CCM

Mkuu ile nyumba ya watu kuishi ni asset gani na mwisho wa mwaka inaingiza kiasi gani mkuu; Je hakuna cheaper alternative ya kuweza kuweka hio familia huko
 
Hivi waandishi wa habari wa bongo wanafanya nini..????

Hii nilitegemea iwe front page kwenye magezeti ya Bongo..!!, Anyway its not too late nyie waandishi ebu chukueni hii na kuonyesha wananchi ufujaji wa pesa arrghh :(

The mere fact that serikali imenunua jengo hilo sidhani kama ni scandal au ni ufujaji wa pesa. Kukodi ofisi na nyumba za kuishi Marekani, ulaya na nchi nyingine zilizoendelea ni gharama kubwa mno. Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikinunua au kujenga majengo yake yenyewe ili kupata ofisi na chanzo cha mapato kwa kukodisha majengo hayo.

Hivyo basi, kwa tafsiri yangu, naunga mkono kabisa kitendo cha serikali ya Tanzania kununua majengo Marekani na kwingineko ili kupunguza gharama kubwa za kukodi ofisi na kuwa na kitegauchumi kwa kukodisha majengo hayo. Badala ya kupinga ununuzi, ingefaa tufuatilie kwa undani zaidi kujua je pesa hizo zimeidhinishwa na Bunge? Je, kiasi kilichoripotiwa huko Marekani ni sawa na kiasi ambacho serikali imetumia kwenye vitabu vyake vya mahesabu (isije ikawa kama kashfa ya ununuzi wa jengo Italy), je utaratibu wote umefuatwa kwenye ununuzi huu? Je, ni faida gani Tanzania imepata kwenye manunuzi haya? Hizo fedha zitakazolipwa na wapangaji hazitafujwa? etc. Lakini on the surface of it, napongeza ununuzi wa jengo hili. Uganda na nchi nyingine nyingi za Afrika wamekuwa wakifanya hivi kwa miaka mingi.
 
Mkuu mimi siongelei kwa sana hilo jengo ambalo litakuwa na wapangaji ambalo litaleta income kutoka kwa wapangaji, ila naogelea hio 5 bedroom house ambayo kila mwaka serikali itatoa

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).

Je ni kweli hakuna cheaper opportunity kweli, na kwanini hawa jamaa waishi maisha ya hivyo ya 5 bedroom na jacuzzi etc; kweli kwa nchi yetu ni sawa kutumia pesa hizo au inabidi na wao wafunge mikanda..., ?.., hivi kweli sio scandal wakati watu wanapata chai mara moja kwa wiki upande mmoja lakini upande mwingine tunanunua property za kiasi hicho..?, na hizi pesa zinatoka wapi mkuu ?, am all for investment ambazo zinaingiza pesa lakini sio zile ambazo zinafuja pesa sababu tu ya status ya mtu... (sisi ni masikini na ambassadors wetu inabidi waonyeshe umasikini wetu kwa kuishi kama sisi...)
 
Hivi kuna umuhimu kweli wa kununua majengo ya bei kubwa kiasi hicho?......(bila kujumlisha kodi zote za kisheria za kila mwaka....) maana kwa ulaya na marekani ni bora kupanga nyumba kuliko kumiliki.......kumiliki ni gharama kubwa.......

Bora hizo fedha zingetumika kuboresha mazingira ya kufanyia kazi walimu ambao wamesahaulika na madhala ya kusahaulika huko tunayaoona waazi kabisa bila hata kufanya utafiti......
 
Mkuu mimi siongelei kwa sana hilo jengo ambalo litakuwa na wapangaji ambalo litaleta income kutoka kwa wapangaji, ila naogelea hio 5 bedroom house ambayo kila mwaka serikali itatoa

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).

Je ni kweli hakuna cheaper opportunity kweli, na kwanini hawa jamaa waishi maisha ya hivyo ya 5 bedroom na jacuzzi etc; kweli kwa nchi yetu ni sawa kutumia pesa hizo au inabidi na wao wafunge mikanda..., ?.., hivi kweli sio scandal wakati watu wanapata chai mara moja kwa wiki upande mmoja lakini upande mwingine tunanunua property za kiasi hicho..?, na hizi pesa zinatoka wapi mkuu ?, am all for investment ambazo zinaingiza pesa lakini sio zile ambazo zinafuja pesa sababu tu ya status ya mtu... (sisi ni masikini na ambassadors wetu inabidi waonyeshe umasikini wetu kwa kuishi kama sisi...)

Nakubaliana na wewe kabisa, ununuzi huu wa ghorofa hii ya kupangisha ofisi unaweza kuwa ni uamuzi wa busara kama taratibu zote zilifuatwa na bei ya manunuzi ni ya haki kulingana na soko. Ile nyumba ya kuishi kwa kweli hata mimi imenishtua kwani ni hekaru utadhani la celebrity kama 50 Cent au tajiri mkubwa maana kuna jaccuzi na kila kitu. Si sahihi kwa nchi masikini kama Tanzania, ambayo kila mara inaomba misaada nje, kununua jumba la kifahari kama hilo la kuishi afisa wa ubalozi. Wangeweza kabisa kununua hata apartment flats 3 za kuishi familia nyingi zaidi za wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania kwa gharama ya let's say $400,000 per flat kuliko jumba la kifahari la kuishi afisa mmoja tu na familia yake.
 
[h=2]Ubalozi kuhamia 42 street, na huko long island tumenunua nyumba ya balozi kwa U.S.$ 1.26.

Republic of Tanzania purchases East Side building for $24.5M[/h]October 13, 2011 04:30PM By Katherine Clarke
stacom_pic_articlebox.jpg
From left: Darcy Stacom, vice chairman of CB Richard Ellis, 307 East 53rd Street and the flag of the Republic of Tanzania
The Republic of Tanzania has purchased the Timekeeper Building, a six-story office property at 307 East 53rd Street near the United Nations, for $24.5 million, according to public records filed with the city today.

The 40,000-square-foot, six-story building, between First and Second avenues, was put on the market by Philadelphia-based real estate investment firm Amerimar Enterprises in September 2010. Robert Garrish, Paul Gillen and Darcy Stacom of CB Richard Ellis were hired to market the property.

Amerimar purchased the property from a company named Mittman Associates for $15.45 million in 2005.

Office tenants at the building include Amerimar as well as Bombo Sports and Entertainment, wine distributor Frederick Wildman & Sons and the Caudalie Vinotherapy Spa's offices.

A representative for the Republic of Tanzania was not immediately available for comment, but a person who answered the phone at the Tanzanian embassy in Washington D.C. confirmed that the county's New York embassy may be moving from its home at 201 East 42nd Street.

A spokesperson for Amerimar did not return a call by press time. Garrish, Gillen and Stacom declined to comment on the closing.

This purchase marks Tanzania's second in the last few months. As previously reported, in August, the Mission for the United Republic of Tanzania based in New York, bought a Great Neck, Long Island center hall colonial house for $1.26 million. Orly Hollander of Laffey Fine Homes, who was the listing agent on the property, said at the time that the home is for a Tanzanian diplomat with his children.
 
This is ridiculous! Is this one of Tanzanians priority or what? who authorize big purchases like these and for whose interest? Is it necessary for a Republic of Tanzania to purchase East Side building for $24.5M? We need mapinduzi halisi now kupindua mipango kama hii na kuwekeza katika vipaumbele vyetu...
 
Haya yanaweza kuwa makazi ya Mfalme...

Tunashindana na Saudia Arabia

Kwenye Shule Zetu za Kata, Watoto Wanakaa Chini na Tunakuwa na Jeuri ya Kufanya Haya!! Hakuna Dispensary, Akina mama wanakufa kwa Kujifungulia Babarani!! Kama ni Kweli Nitaamini Kabisa Hii Nchi Imelaaniwa!!
 
Back
Top Bottom