Waingereza wana msemo, "crocodile tears": machozi ya mamba. Mamba anapokula minofu ya mnyama aliyemwuuwa hulia, hutoa machozi. Machozi haya siyo ya majonzi au huzuni la hasha, ni machozi ya furaha...
Wakuu mambo yanazidi kunoga,
Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari wote tunaoipenda Zanzibar yetu adhimu, kwamba baada ya kuwasilisha barua kwa katibu mkuu Umoja wa Mataifa kupitia ofisi ya UN...
The collapse of Sun Biofuels has left hundreds of Tanzanians landless, jobless, and in despair for the future
Damian Carrington in Tanzania
The Observer, Saturday 29 October 2011
Article history...
Wana jamii naomba mnipe majibu kwa haya yafuatayo baada ya paragraph ifuatayo:
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kwa muda mrefu sasa utendaji wa kazi wa vyombo vya usalama vya nchi hii, na...
wale wote wanaotaka kumpa Rais nguvu ya ku control swala hili la katiba wameweka SIASA mbele badala ya maslahi ya nchi kwani Urais ni moja kati ya taasisi ambayo mamlaka yake yanajadiliwa na swala...
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMACHINGA JIJINI MBEYA
<TBODY>
Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali...
Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema...
Wiki hii imekuwa na matukio makubwa matatu na achilia mbali yale madogo madogo yanayoonyesha kuwa kwa vyovyote vile kama serikali ya CCM aka Magamba hawatakubali kukaa chini na kuwauliza wenye...
Mbunge wa CDM kamanda WENJE amefanya kazi moja katika kikao cha jioni ya leo baada ya kumuumbua mwenyekiti wa bunge George Simbachawene ambaye alikuwa akiliilinda serikali wakati wa mjadala wa...
na Mwandishi wetu
KAULI ya ujasiri iliyopata kutolewa na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan, ya kutaka viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Dar es Salaam wajivue gamba kutokana...
Ndugu zangu,
Yapata miaka themanini iliyopita , mwandishi Shaaban Robert aliandika waraka kwenye gazeti la Mambo Leo juu ya mahusiano ya Merikebu na Nanga. Shaaban Robert anasema; Chombo...
Huanza kwa kusema naunga mkono asilimia mia kwa mia,hua ndo kauli yao ya kwanza lakini kudhihirisha uwezo wao mdogo hasa huyu wa jioni lucy mahenge,eti anaunga mkono kabla hata ya kuongea halafu...
Jee kuna faida gani ya SUK ikiwa Katiba ijayo inakuja kuikandamiza zaidi Zanzibar huku SUK ikiwa kimya?Written by amini // 11/11/2011 // Habari // No comments
JEE PICHA HII YA RAIS WETU...
Siku za karibuni kumekuwa hali isiyokuwa na msingi wala mantiki yoyote, kwa baadhi ya maofsa wajuu wa jeshi la police kuilamu cdm kwa kila suala linalotekea hususani pale wananchi wanapohoji au...
Naombeni kama kuna mwenye contact za huyu jamaa anipatie kuna jambo nataka nimtume kule Bungeni. Au ngoj niliweke hapa. Kuna mtoto wangu aliitwa kufanya Interview ya TANESCO iringa June mwaka...
Nimeona picha hii (attached) kwenye ukurasa wa IPP MEDIA (:: IPPMEDIA) ambayo inamwonyesha waziri Kawambwa na Prince Charles wakiwa kwenye shule ya msingi Leganga huko Arumeru wakiangalia kazi za...
Friday November 11, 2011
Columnist
Open letter to British Prime Minister
I found this very important and nice message by Makwaia wa KUHENGA a Columnist in Daily news. Find it and read it...
VIONGOZI WETU WAMEKUWA WAKITUDANGANYA KANA KWAMBA SISI NI WEHU. nataka kuweka historia vizuri kwa vizazi vijavyo. TANZANIA ILZALIWA MWAKA 1964 BAADA YA MUUNGANO WA KIFEDHURI KATI YA TANGANYIKA NA...
Jana (10.11.2011) katika kipindi cha Idhaa ya kiswahili ya BBC jioni kulikuwa na taarifa kwamba Wazanzibar wapatao 30 hivi wamewasilisha barua yao katika ofisi za umoja wa mataifa (Zanzibar)...