Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by norbit, Nov 11, 2011.

 1. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Wakuu mambo yanazidi kunoga,

  Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari wote tunaoipenda Zanzibar yetu adhimu, kwamba baada ya kuwasilisha barua kwa katibu mkuu Umoja wa Mataifa kupitia ofisi ya UN Zanzibar tarehe 10/11/2011 . Kwamba kwa nia inayoendelea kudhihiri kwa wazanzibari dhidi ya suala la Muungano, ni wajibu wetu sote kuendeleza mapambano dhidi ya ukoloni wa Tanganyika kupitia muungano huu. Kwamba matayarisho ya kuwepo kwa maandamano ya Wananchi ndani ya Zanzibar yanatayarishwa, kwa mfumo maalum, maandamano hayo yataanza kufanyika Unguja, kujumuisha mikoa mitatu na siku nyengineyo yatafanyika Pemba kwa mikoa miwili . Kwamba ndugu zetu Wazanzibari muhimu muelewe kuwa wakati umefika, tunakuombeni tushikamane tusirudi nyuma hali umali tusonge mbele wanaume na wanawake wakabila zote wa zangi zote Wazanzibari , tunaomba mchango wenu wa mawazo, fikra endelevu, n.k, ili tuelekee katika kufanikisha azma ya ukombozi wa nchi yetu na utaifa wetu.

  email musmyl@aim.com

  nawasilisha

  source: mzalendo.net
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nukisheni na huko!! Loh!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
  Eti ukoloni wa Tanganyika!!!! Nyie ndio bure kabisa!!! Kabla hamjaondoka mkumbuke kulipa lile deni lenu la TANESCO la zaidi ya shilingi bilioni 200.
   
 4. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Na huko kimeumana duuu!!!!!!!!!!!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakuombeni mumjilishe Celina Kombani na yule mwenyekiti wa katiba ya katiba na sheria haraka vingenevyo ule muswada wa katiba mpya ukipita kama ulivyo ni kwamba mtakuwa kwenye ukoloni kwa miaka mingine 50!
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  basi tena

  mtu akichoka bana huwezi mrudisha nyuma,kitakachofuata hapo kila mtu anaelewa,wamechoka hao sijui nani wa kuwarudisha nyuma
   
 7. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nafananisha madai yenu na kifaranga kikishakuwa kina mkana mamae na kujitegemea.
   
 8. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  fanyeni fasta sana na mwaka huu magamba watajuta kama alivyosema pinda jana. wawapeni hati ya muungano
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  katika hoja ambazo huwa ninampinga Nyerere ni suala la Muungano.

  siupendi na haujawahi kunifaidisha lolote mimi kama Mtanganyika.

  sana sana wanajazana huku Bara kushika Nyadhifa muhimu kuendeleza U-sultan.

  Ninawatakia heri. Mfanikiwe haraka ili Muungano ufilie mbali.
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kwanza cheo cha makamu wa raisi kinatughalimu,ukizingatia wa sasa ana wake wawili.CAN'T WAIGHT TO BE Tanganyakan
   
 11. K

  Kandukamo Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bara pia tunaililia tanganyika iliyouwawa na muungano,watuache kavp.
   
 12. s

  sanjo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wazanzibari msiwafukuze Wakwere na Wabara walioko kwenu.
   
 13. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Nitashukuru sana muungano ukivunjika kabla ya 2015
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwetu watanganyika huu Muungano ni mzigo tu, afadhali kama mmeamua kujiengua kutupunguzia mzigo, maana kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani, kweli Tanganyika wanafaidika nini na uwepo wa Zanzibar? Niliwahi kuambiwa kuwa ni kwasababu ya usalama wa Tanganyika tu maana hawa jamaa wanaweza kuleta kashkashi za Ualshababu. Ntashuikuru kama mtafanikiwa kujitenga ili na sisis tujulikane kuwa tupo maana hata sherehe za miaka hamsini zilitambulisha na JK kama uhuru wa Tanzania, sisi hatuna hata bendera wala wimbo wa Taifa wakati nyie mna jeshi, wimbo wa Taifa, bendera na mambo mengine.....mmmh haya hongereni sana
   
 16. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ok sasa mkifanikiwa ule udongo uliyochanganywa na waasisi wa taifa hili mtautenganisha vipi?
   
 17. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  lianzishane kabisa,hamfaidiki na chochote na hawa magamba,hakika ukombozi wa Tanganyika umefika...
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Na bet kuwa Kikwete hamalizi muda wake.
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nitafurahi siku huu muungano ukivunjika sioni faida ya muungano kabisa sana sana Dar inabeba mzigo wa wapemba.WaTanganyika tuandae maandamano ya kupinga muungano.
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu hata mi nimeliona hivo,miaka 4 si mchezo kwa yanayoendelea
   
Loading...