Miaka 47 ya muungano sio uhuru wa tanzania, na miaka 47 ya kifo cha tanganyika, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 47 ya muungano sio uhuru wa tanzania, na miaka 47 ya kifo cha tanganyika,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACTIVISTA, Nov 11, 2011.

 1. A

  ACTIVISTA Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  VIONGOZI WETU WAMEKUWA WAKITUDANGANYA KANA KWAMBA SISI NI WEHU. nataka kuweka historia vizuri kwa vizazi vijavyo. TANZANIA ILZALIWA MWAKA 1964 BAADA YA MUUNGANO WA KIFEDHURI KATI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. TOKEA 1964 MPAKA LEO NI MIAKA 47 TU SASA IWEJE HAWA VIONGOZI WATWAMBIE TUNASHEREKEA MIAKA HAMSINI YA UHURU.

  BAADA YA MUUNGANO TAIFA HURU LA TANGANYIKA LILIKUFA KWA HIYO JUHUDI ZOTE ZA MWALIMU 1961 HAZINA NAFASI LEO HII KWANI KILICHOPASWA KUTIMIZA MIAKA HAMSINI NI NI JAMUHURI YA TANGANYIKA SIO TANZANIA, NA TANGANYIKA HAIPO TENA. BAADA YA UHURU ZANZIBAR NDIO WALIWEZA KUTETEA UTAIFA WAO NA IKABAKIA KUWA NCHI , TANGANYIKA ILIMEZWA NA UJIO WA TANZANIA.

  WADAU MNISAIDIE KAMA TOKA 1964 MPKA LEO NI MIAKA HAMSINI.... NA KAMA WAKIJIDAI KUAZNAIA 1961 BASI ZANZIBAR HAIHUSIK NA MAADHIMISHO HAYO... PIA WATWMBIE TANGANYIKA YETU WANTURUDISHAI LINI. NATOA HOJA WADAU, NIKOSOENI.
   
Loading...