Siku za karibuni kumekuwa hali isiyokuwa na msingi wala mantiki yoyote, kwa baadhi ya maofsa wajuu wa jeshi la police kuilamu cdm kwa kila suala linalotekea hususani pale wananchi wanapohoji au kudai haki zao za msingi. UGUMU wa maisha ambao kwa sehemu kubwa umeshababishwa na serikali LEGELEGE inayoongozwa na ccm (chama tawala) ndio chanzo kikubwa cha wananchi kuja juu wakitaka uboreshwaji wa hali ya maisha na upatikanaji wa huduma na haki za msingi bila ya ubaguzi aau uonevu. TUMESHUHUDIA PALE WANAFUNZI VYA VYUO VYA ELIMU YA JUU hususani pale udsm, udom, Tumaini etc wanapoamua haki zao kwa njia ya mgomo kutokana na njia za mazungumzo kushindwa au kutolewa ****** ya kisiasa kama tulivyomshudia mh. Pinda na mh. kawambwa wakifanya mchezo wa kuigiza pale udom alipoenda kutuliza wanazuoni kwa kuwadanganya kuwa HESLB itatoa hela za field suala ambalo utekelezaji wake umekuwa ni siasa tu.
Wanafunzi wakiandamana police na serikali ya magamba inakuja juu na kudai wanachochewa na cdm, kule udom, udsm, mwanza a town tumeshuhudia hayo yote kila tukio ni CDM. jana mh. MBOWE, mwenyekiti wa kitaifa wa cdm ametangaza kuwa cdm imesitiosha harakati zake wakisubiri muafaka na serilikali via police hata mh. Pinda nae katoa wito kama huo bungeni jana. JESHI LA police pia limepiga marufuku mikutano na maandamano ya cdm popote pale tz.
LEO HALI NI TETE KULE MBEYA VURUGU ZIMETOKEA BAADA YA POLICE KUTAKA KUWAONDOA WAMACHINGA KWA NGUVU, UDSM HALI SI NZURI HATA KIDOGO, A TOWN BADO HAKIJAELEWEKA WANANCHI WANAPINGA UONEVU DHIDI YA MP WAO. KWA TUKIO LA MBEYA POLICE WATASINGIZIA TENA CDM??
JESHI LA POLICE LITATUMIWA HADI LINI KWA MASLAHI YA WANA MAGAMBA? NI VIZURI WAJIFUNZE KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI