Jee kuna faida gani ya SUK ikiwa Katiba ijayo inakuja kuikandamiza zaidi Zanzibar huku SUK ikiwa kim | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee kuna faida gani ya SUK ikiwa Katiba ijayo inakuja kuikandamiza zaidi Zanzibar huku SUK ikiwa kim

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Nov 11, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1]Jee kuna faida gani ya SUK ikiwa Katiba ijayo inakuja kuikandamiza zaidi Zanzibar huku SUK ikiwa kimya?[/h]Written by amini // 11/11/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]JEE PICHA HII YA RAIS WETU INAMAINICHA NINI KATIKA MICHEZO YA KIKOBOI?.

  MASHEHE WETU TOWENI FATWA SIKAMA KILA KITU TUMUACHIE M/MUNGU TU? YASINI NI KINGA LAKINI NA MBIO ZINASAIDIA?.
  Hivi sasa inasibitika rasmi kuwa marekebisha ya katiba ya Muungano yalio fanyika hivi karibuni hayana tija yoyote kwa Maslahi ya Zanzibar katika Muungano,marekebisha hayo ni kuiondowa rasimu ya Katiba kwa lugha ya Kiengereza na kuiandika kwa lugha ya Kiswahili tu, lakini matakwa ya Wzanzibar kuwa Zanzibar ni sehemu moja ya Muungano vipengele hivyo vimepigwa shenga.
  Kwa mtazamo wa rasimu yakuandikwa katiba mpya Zanzibar imeshukuliwa kama Wilaya au mkoa wa Pwani wa Tanganyika na sio kuwa ni nchi ilio ungana na nchi ikapatikana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  Majuto nimjukuu, kinasho iasiri Zanzibar ni Wazanzibar wenyewe kutafautiana kimawazo na kiuzalendo wa kujinasibu na mapenzi ya nchi yetu.
  Hii inatokana na viongozi wetu wa smz kuwa wameweka maslahi ya chama mbele na kuacha hatma ya Zanzibar na kizazi cha kizanzibar kupotea kwa jina la Tanzania ambayo ni Tanganyika kwa kila dalili.
  Tukija ktk ushirikishwaji Zanzibar ktk marekebisho yakuandikwa Katiba ya Muungano? Jee Zanzibar imeshirikishwa vipi?.
  kimtazamo kama Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa kuwe na tume mbili zakukushanya maoni ya wananchi wa pande zote mbili za Muungano kwa vile hili suala la katiba ndio suala mama la mambo ya Muungano.
  Lakini hilo halikufanyika na Zanzibar imeshirikishwa kama shuhuda ktk uchahidi wakuuliwa na kumezwa Zanzibar, nasema hivi kutokana na mambo yote ya Katiba ya Muungano yanasimamiwa na watu watatu ndio wenye nguvu yani ni Rais Kikwete,Waziri mkuu Pinda na Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani, Hawa ndi wenye Chungu jikoni wanakipika yani ongeza chumvi, tia viongo ongeza ukali.
  Sisi wzanzibar viongozi wetu wa Smz wako wako tu hawana say mbele ya Mabwana, na Baya zaidi lililo izofisha Zanzibar ktk mchakato wa kukushanya maoni ni pale Mh Jussa alipo peleka Mswada ktk Baraza la Uwakilishi kuwa Zanzibar kuwe na tume yake yakukushanya maoni ili kuipa hadhi Zanzibar kuwa ni sehemu moja muhimu ya Muungano Huu wa Pande mbili Tanganyika na Zanzibar? ili Wajumbe wa Baraza la Uwakilishi waujadili mswada huo.
  Lakini kutokana na opovu wa viongozi wa Smz na kutokuwa na mapenzi na uzalendo wa nchi yao, Mh Spika Pandu Ameri Kificho aliujukuwa mshwa huo wa Mh Jussa na kuutia ktk Bin bila ya kuuwasilisha ktk Baraza la wajumbe BLw kujadili.
  Sasa Wzanzibar tuseme huyu Spika ana akili peke yake yakushinda Wawakilishi wote Zanzibar? na mswada wa Mh Jussa ingawaje ni mswada binafsi kama anavyo jitetea Spika Kificho, lakini kama niwake Mh Jussa binasi? laumuhimu Wzanzibar nikuangalia faida na hasara za mswada huo?.
  Na uhakika inajulikana kwa kila Mzanzibar kuwa Mshwa wa Mh Jussa ulikuwa na faida kubwa katika harakati za ukombozi Zanzibar.
  Sasa hapa ndipo wzanzibar akina Kificho wanapokuwa wanafiki na wasaliti wa Zanzibar, yeye ilikuwa auruhusu mswada wa Mh Jussa ujadiliwe na wajumbe wa BLw na kama utakwamishwa basi wajumbe walio chaguliwa na Wzanzibar itakuwa wameujadili na kukwamisha wao, sio Spika kuuzuwia hata kuto kujadiliwa na Wajumbe?.
  Viongozi hawa akina Kificho ndio ugonjwa tulio nao na Unao isimbua Zanzibar kukuwa kiuchumi na kimaendeleo kutokana na kukumbadia sana chama ambacho mizizi yake na shina lake liko Tanganyika kwa maendeleo ya Wtanganyika na nchi yao ilio jibadilicha jina nakubeba sifa zote za Tanganyika.
  Bado viongozi wetu wa smz wamekuwa watifu na kupiga magodi kwa mtawala Tanganyika, hii nikuiuwa Zanzibar na kizazi shetu cha baadae kuja kukipa kibarua kigumu.
  Ktk viongozi wetu wa smz takribani %90 niwatu walokuwa tayari kuipoteza Zanzibar ktk tumbo la Tanganyika kwa sababu tu ya maslahi yao binafsi na matamanio yao ya Dunia.
  Hii nikuwa viongozi wengi wa smz wanasamini sana biashara zao zilokuwa zina running Tanganyika na vijijumba vyao walivyo jenga Tanganyika hii ndio hofu kubwa yakuto kuitetea Zanzibar kuhisi au kuano kufanya hivyo basi nikumkasirisha Bwana Tanganyika.
  sasa tujiulize Wzanzibar kutetea maslahi ya Zanzibar kuwa ni nchi na sio mkoa kama wenzetu wanavyo tu treaty kutokana na udogo wa nchi yetu na udogo wa watu wake nikosa au ubaguzi?.
  Mimi hushangazwa na kuambiwa kuwa katiba ijayo isijadili wala kuchokora mambo ya Muungano? sasa ikiwa kwa ubande wa Zanzibar haturuhusiwi hayo? Jee kuna haja gani ya katiba hio kwa Wzanzibar a.)b. kama hatukujadili mambo ya Muungano ktk Katiba ya Muungano kipi sisi Wzanzibar chakukijadili? basi tupangieni kipi na kipi tukijaddili?.
  Maana wenzetu wa Tanganyika wamezowea kuwa fulish wajumbe wao wa smz ktk vikoa vya chama Dodoma kwa vile wao wanajifanya super power na smz kuwa watifu wa sera na itikadi za chama cha kiTanganyika shenye mikakati ya kuimeza Zanzibar.
  Sisi Wazanzibar tuna katiba yetu hio hio ya 1984 lakini ni yetu Wzanzibar kwa mambo ya nayohusu Zanzibar tu? sasa hii katiba ya Muungano ni yamambo ya Muungano yanayo husu Muungano wa Pande mbili ya Tanganyika na Zanzibar? sasa ikiwa leo tumetiwa kufuli za midomo kuwa tusijadili mambo ya Muungano? sisi Wzanzibar kipi tulicho pangiwa tukijadili?.
  Mimi nasema kuna haja hata cuf kurudi kule kule nyuma tuliko toka kama hawa wenzetu wa ccm/smz watatukhani na kuzidi kuwabebesha Dufe la kichwa Wzanzibar.
  Wanao izofisha Zanzibar niwazanzibar wenyewe, Wtanganyika hutumia tu vivuli vya Wzanzibar kupitisha mambo yao kirahisi.sizani kama wzanzibar tutashirikishwa na smz kikamilifu ktk mamuzi na hatma ya nchi yetu kama Wtanganyika kweli watapata mwanya wakutushezea na kutufanya mabarazuli katu.
  Lakini viongozi wetu wa smz ndio washawi wetu na wao ndio hujibebesha zamana na mamuzi hata kama mengine nimazido kwao lakini huyabeba tu na badae kukaa pembeni kunugunika wakati wao ndio wanafiki na wenye kuipoteza Zanzibar.
  Hivi karibuni tumeshuhudia sote Mh Rahisi wa Zanzibar Dr Sheine akiinamicha kishwa kulishwa kiapo kuwa Wziri endapo Tanganyika na kuhuzuria vikao vya mawaziri? hii sizani kuwa hajuwi kuwa nikujizalilisha yeye na Wzanzibar wote ktk kuiuza Zanzibar kwa Mlango wa uwani?.
  Lakini watu wenye hekma walikwisha sema wako wazanzibar wakotayari kuuza utu wa nchi yao kutokana na maslahiyao tu binafsi, ndio ukaona Mh sheni na wenzake akina Nohodha,Samia,Mohd Hatibu, Mapuri na wengi tu hujipendekeza kwa wtanganyika na wako tayari kuiuza Zanzibar na Wzanzibar wote ili tu wapate kulinda maslahi yao na biashara zao na vijijumba vyao walivyo pewa ardhi Tanganyika kujenga ili watowe Zanzibar.
  Mimi nasema kama sikupewa urais wa kupendekezwa Shein na ccm/Tanganyika? basi asingali itia mguu Zanzibar hawa ni wale watu walio asi hata kwao na huona hata aibu kujita Wzanzibar/mpemba.
  Wewe angalia mfano moja tu, viongozi wote ulimwenguni atashukiwa kiongozi na watu wote lakini sio jimboni kwao? huko huo ndiko anako jinasibu na kujinada? lakini huyu wetu hata kwao mashaka na ndio ukaona sijuwi hata kama kura 3 kafikicha, kifupi kaasi na Wtanganyika wamenchagua kwa makusudi ili kuja kuimaliza Zanzibar.
  Kumbuka kuwa Gadafi vita vikubwa vilikuwa Tripol kwao na Hata Sadamu kulikuwa na kazi kubwa Kirkuki Kwao jee wetu Sheine vipi Chokocho?.
  Mungu ibariki Zanzibar na Wzanzibar.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu hata paragarafu imeshindikana. wengine macho yetu huona vizuri kama kuna paragrafu, mweeeeeeeeeeeee!
   
 3. j

  junior05 Senior Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh..tatizo lugha iliyotumika inatatiza
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  jamaa ana hasira kweli kweli
   
 5. Aaronium

  Aaronium Senior Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh teh! Hakuna kitu kama hicho wewe!

  La kwanza, Mungu ibariki Tanganyika na kolonimlake ZBR na watu wa Tanganyika, halafu, mbona haikusikika kutoka huku Tanganyika kwamba kama kuna nafasi yoyote ya ya TGNK katika katiba ya ZBR? kweli mke anapotamani kuwa mume ni hataari kabisa!

  Pili, mind you kwamba Mh Rais wa Zanzibar ameapishwa juzi ili aweze kutambulika kwenye baraza lla mawaziri huku bongo, na amekubali, ukitaka kufa, occupy Unguja! na ninyi mlivyo wafitini, i don't see any possibility!

  Tatu, kumbuka rais wa ZBR ameteuliwa huku bara pale Dodoma na wa-Tanganyika na kuvuruga chokochoko zenu kwa kuwavalisha vilemba vya ukoka ma DR bilal, Shein wenu na Vuai, ili mtulie ninyi hamna hata jeshi bana remember this deeply!

  Nne, hata FIFA haiwezi kuwatambua sasa, so what are you doing?

  Rais huyu tuliyewapeni analindwa na sisi,that means any fyoko any time, kama jumbe!

  Ushauri mkuu nawapa, nendeni UN mkaombe uhuru wa nchi yenu, halafu mrudi kule kwenu, tokeni Magomeni, Ilala, Buguruni mkaijenge nchi yenu!, kwa kweli mtatupunguzia kelele huku mitaani na kudai kwenu posho bungeni!
   
Loading...