Uzembe wa kufikili wa wawakilishi wetu hasa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe wa kufikili wa wawakilishi wetu hasa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Nov 11, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huanza kwa kusema naunga mkono asilimia mia kwa mia,hua ndo kauli yao ya kwanza lakini kudhihirisha uwezo wao mdogo hasa huyu wa jioni lucy mahenge,eti anaunga mkono kabla hata ya kuongea halafu anaanza kutoa mapungufu acheni kua waoga jifunze kujiamini na zaidi ya yote muwe na uwezo wa kuacha uwoga kwani tunaona sasa naomba baada ya kuchangia muwe mwasema aslimia mlizobakiza big up mchungaji msigwa
   
Loading...