Vurugu za Mbeya part II

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
[h=3]MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMACHINGA JIJINI MBEYA[/h]

Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mbeya kwa kuwanyanyasa katika biashara zao

<TBODY>
</TBODY>
Moja ya mabango waliyobeba wamachinga hao

<TBODY>
</TBODY>
Wamachinga wakiwazomea polisi eneo la kabwe

<TBODY>
</TBODY>
Maduka yote eneo la mwanjelwa mpaka uyole yamefungwa

<TBODY>
</TBODY>
Moja ya gari lililobinuliwa na kuwekwa katikati ya barabara ya mbeya tunduma

<TBODY>
</TBODY>
Huu ndiyo mtaa wengi huuita mtaa wa kasisi uliyosababisha vurugu zote kati ya wamachinga na askari wa jiji

<TBODY>
</TBODY>
Mmachinga akiwarushia jiwe kwa kutumia manati yaani ni hatari tupu

<TBODY>
</TBODY>
Askari wa kutuliza fujo naye akiwarushia bomu la machozi wamachinga wanaoandamana

<TBODY>
</TBODY>
Naye mwandishi wetu wa mbeya yetu Joseph Mwaisango alionja joto ya jiwe baada ya kutupwa ndani ya gari ya polisi kwa kosa la kupiga picha matukio hayo ya wamachinga na polisi baadaye aliachiwa na kuendelea na kazi yake

<TBODY>
</TBODY>
RISASI ZA MOTO NAZO ZIMETUMIKA KATIKA TUKUKIO HILI

<TBODY>
</TBODY>
MABOMU YA MACHOZI NDIYO USISEME KILA MAHALI YAMETAPAKAA

<TBODY>
</TBODY>
Mwenye kofia haya mwenye supu haya kila mmoja alikua anaokoa uhai wake

<TBODY>
</TBODY>
Hayo ndiyo maandishi yaliyoandikwa barabarani

kwa ufupi vurugu zinaendelea zimefika uyole kati hali si shwali barabara zimefungwa sasa nizaidi ya masaa 10 hakuna usafiri yati mbeya iringa wala mbeya tunduma.mia

<TBODY>
</TBODY>
 
what is going on there??? Kandoro the same case alikutana nayo Mwanza mwaka huu na huko tena amekutana nayo!!! Mwanza alikuwa kitumia tricky ya kwenda na Wenje ama kamanda Sirro maana watu hao walipendwa mno na machinga huku je? aongee na Mr Mbilinyi vizuri nadhani anaweza kumsaidia
 
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMACHINGA JIJINI MBEYA

Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mbeya kwa kuwanyanyasa katika biashara zao

<tbody>
</tbody>

Moja ya mabango waliyobeba wamachinga hao

<tbody>
</tbody>

Wamachinga wakiwazomea polisi eneo la kabwe

<tbody>
</tbody>

Maduka yote eneo la mwanjelwa mpaka uyole yamefungwa

<tbody>
</tbody>

Moja ya gari lililobinuliwa na kuwekwa katikati ya barabara ya mbeya tunduma

<tbody>
</tbody>

Huu ndiyo mtaa wengi huuita mtaa wa kasisi uliyosababisha vurugu zote kati ya wamachinga na askari wa jiji

<tbody>
</tbody>

Mmachinga akiwarushia jiwe kwa kutumia manati yaani ni hatari tupu

<tbody>
</tbody>

Askari wa kutuliza fujo naye akiwarushia bomu la machozi wamachinga wanaoandamana

<tbody>
</tbody>

Naye mwandishi wetu wa mbeya yetu Joseph Mwaisango alionja joto ya jiwe baada ya kutupwa ndani ya gari ya polisi kwa kosa la kupiga picha matukio hayo ya wamachinga na polisi baadaye aliachiwa na kuendelea na kazi yake

<tbody>
</tbody>

RISASI ZA MOTO NAZO ZIMETUMIKA KATIKA TUKUKIO HILI

<tbody>
</tbody>

MABOMU YA MACHOZI NDIYO USISEME KILA MAHALI YAMETAPAKAA

<tbody>
</tbody>

Mwenye kofia haya mwenye supu haya kila mmoja alikua anaokoa uhai wake

<tbody>
</tbody>

Hayo ndiyo maandishi yaliyoandikwa barabarani

kwa ufupi vurugu zinaendelea zimefika uyole kati hali si shwali barabara zimefungwa sasa nizaidi ya masaa 10 hakuna usafiri yati mbeya iringa wala mbeya tunduma.mia

<tbody>
</tbody>

Serikali ni mkataba baina ya watawala na watawaliwa, watawala wanakabithiwa thamana ya kutawala na watawaliwa, endapo watawala watatenda kinyume na matakwa ya watawaliwa hupelekea kuangushwa kwa tawala hiyo kwa namna moja au nyingine.
 
watawala wamesikia, lakini polisi hawa wanahitaji dawa vichwa vyao vimejaa maji. Cjui wanapata faida gani kwa kukiuka haki za binadamu kwa kushurutishwa na magamba ya CCM
 
mbona wameingia mikataba na wachina kwa siri tena usiku?
hiinchi ni mali ya ccm
 
This is not good at all, where we are heading si kuzuri kuliko tunakotoka, Mungu tusaidie.
 
Hihi ndiyo Tanzania ajira hakuna harafu anayejitafutia mlo anapigwa na polisi kwa kisingizio cha kufanya biashara sehemu isiyo halali.Hapa tujiulize mfumo wa elimu Tanzania hautufundishi kujitegemea kijasiliamali hata wale wanaojalibu huo ujasiliamali wanapigwa na polisi,hii siyo haki kwani hata TUNISIA chanzo kilikuwa ni MUMACHINGA ALIYEKUWA AMEMALIZA CHUO KIKUU na hakuwa na ajira
 
GADAFI.JPG

BANGO1.JPG

BANGO.JPG
 
AND the psychology of this?

Not well known ... if you take such events ... put them on ..an individual mind ... it forms a sequence... A Hypnotic sequence which given time it starts working out automatically ...I mean Arusha events, UDSM, Mwanjelwa, Kimara, Mara ..etc!! They are all free in the media and forming hypnotic sequences in Tanzanians Mind ...

The Government officials do you know how to undo this! ?!!Any away the best way isn't undoing ..Prevent this from happening in the first Place is the best way!! Yes do whatever its possible ..dont let these Kids get matured in the street like this ..will eventually will turn into rebels, uncontrolled rebels ..but you will be responsible because you took all this advice lightly!!!
 
Halafu yule msanii atakaa kimya kama kila kitu kiko shwari kabisa!!!! au inaweza kutolewa kauli na wateule wake kwamba, "Rais hahusiki na hizi fujo za Mbeya."

Ombwe la uongozi nchini linazidi kuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom