Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

leo kuna kundi lisilofahamika limekuja kuvuruga mchako wa katiba na kuna jamaa mmoja amenusurika kupigwa kisa alichangia mdahalo huu......yani hawa jamaa
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Sat, Nov 12th, 2011 Sat, Nov 12th, 2011 Sat, Nov 12th 2011| Tanzania President Jakaya Kikwete Nairobi, Kenya – Tanzanian President Jakaya Kikwete on Friday called for the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Japo kuwa wabunge ni wananchi kama wananchi wengine, ile hadhi yao ya kuaminiwa na wananchi wenzao inazidi kushuka kutokana na mijadala wanayoendesha na maamuzi wanayofikia ndani ya BUNGE. kuna...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Zambian government has honoured one of its election promises of putting "more money in people's pockets" by lowering Pay As You Earn (PAYE). And the PF government's budget has revealed that it...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Jitihada za Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kupambana na wamachinga ili kuzuia vurugu hizo ziligonga mwamba kwa siku mbili mfululizo, na wakati wamachinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alicho nacho, nawasalimuni nyote. Naomba tuungane kuazimia hili la uteuzi wa viongozi wa NEC...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani huo ndio msimamo wa serikali juu ya kauli ya cameroon? Naomba maoni yenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alichonacho naomba tuazimie hili la kurudisha uteuzi wa viongozi na baraza la NEC kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau naombeni ushauri wenu. kuna kampuni huku ughaibuni tunatengeneza teaching aids kwa ajili ya mashuleni na technical schools,teachers training schools na wakati mwingine tunatengeza hata kwa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mapema mwaka huu wakati suala la Libya limeanza nilitoa pendekezo la serikali yetu kusitisha uhusiano wake na Libya kwa sababu ya uamuzi wa Gaddafi kutumia silaha kushambulia wananchi wake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kawa the banana republic at it again! Nakumbuka hii ndege iliongelewa sana humu JF wakati ule na kama kawaida apologists wa JK na CCM wakasema eti tuna wivu, tunasumbuliwa na njaa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna jambo linaloniudhi kama hawa wanaong'ang'ania kudai kuwa tunakaribia kutimiza miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Bara. Mimi hapa sielewi, Tanzania Bara ndiyo iliyopata uhuru? Kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi thinkers!! Nimekuwa nikitafakari hili nsuala kwa muda mrefu sana, nikizingatia uzoefu wangu wa TZ Bara na Visiwani. Hakika maisha ya wazanzibar ni duni kupita kiasi, hali halisi ni kwamba, si...
1 Reactions
0 Replies
895 Views
Shivji: No need for hurry about Constitution Bill By Guardian on sunday correspondent 13th November 2011 Professor Issa Shivji The opposing voices against planned...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The goverment should focus on increasing business in with more private Air companies instead on increasing investment and corruption in ATC. Why Tanzania is poor is because of this type of...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mdahalo wa katiba unaendelea hivi sasa live ITV na Radio One.
2 Reactions
143 Replies
12K Views
Serikali, Chadema bado hapatoshi Saturday, 12 November 2011 21:06 VIONGOZI WA DINI WAONYA, WATAKATA MUAFAKA HARAKA Na Waandishi wetu Mwananchi MSUGUANO kati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Daraja la umoja linalounganisha Tanzania na Msumbiji ni miongoni mwa miradi ya serikali ya ccm ambayo imetumia fedha nyingi bila kuwa na manufaa ya aina yoyote. Daraja lilifunguliwa kwa mbwembwe...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Itikadi na Mafunzo ya chama cha NCCR-Mageuzi, leo amejiuzuru rasmi uongozi na uanachama wa chama hicho. Habari hizi kanithibitishia mwenyewe kwa njia ya simu, ingawa...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…