vurugu mdahalo wa katiba ubungo leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vurugu mdahalo wa katiba ubungo leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Nov 13, 2011.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,749
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  leo kuna kundi lisilofahamika limekuja kuvuruga mchako wa katiba na kuna jamaa mmoja amenusurika kupigwa kisa alichangia mdahalo huu......yani hawa jamaa
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  CCM hao ili wawasingizie wale wanaume wao CHADEMA
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  magamba bana! Vurugu gani? Mbona tulikuwepo na hamna vurugu zaidi ya kumzomea mzee Chipaka?
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,749
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  kuna kundi lilikuja kuzomea watu halafu kituoni ubungo kuna jamaa amenusurika kupigwa kisa alichangia mdahalo wa katiba ila kuna walizuia jamaa kupigwa
   
 5. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hayo maandamano yatakuwa balaa
   
 6. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm amkeni kumekucha
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yan hawa mabwana mabwege sana!
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha kuona kuwa Watanzania wanakosa uvumilivu wa hata kusikiliza maoni ya watu wengine ambayo yanatofauitiana na wao. kama wewe hutaki kusikiliza wengine, kwa nini wengine wakusikilize wewe?
   
 9. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Wana jamvi nijuzeni nipo safarin sijafatilia vp mzee chipaka kafanyaje mpaka wamemzomea?
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  mzee chipaka ndo alichafua hewa mlepamojana yule kijana aliyesema ametokea pemba
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  amekashifu wanaodai katiba na amejipambanua yuko na serikali.
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ETI HAKA KAKIJANA KANAONGEA KWA UKAKAMAVU NA MSISITIZO WA HALI YA JUU KUWA HAWATUPENDI WATU WA BARA!i
   
 13. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Serikali isiyo na wananchi...au wanaodai katiba wao wamekodishwa kutoka nje ya mipaka ya Tanzania.....mmmh, tuendako nakuogopa
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Serikali lazima ifahamu kwamba CDM ni chama cha upinzani na kinatakiwa kupewa ulinzi wa hali na mali na vyombo vya usalama na sio kuzalilishwa ambako tunashuhudia. Fisadi papa na genge lako mtalipa haya, oneni yaliyomkumba swaiba wenu aliyewahonga magari ya kifahari aliambulia kujificha kwenye mtaro wa maji machafu nyinyi mtakimbilia wapi?
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Yule ni Mwenyekiti wa Tadea nakumbuka hata jana alikuwepo kwenye mdahalo uliofanyika Peacock hotel na leo tena kahamia ubungo kuleta pumba zake akaanza kung'ang'ania na mic ndo wadau wakataka kuzaa naye...logic ni kwamba unatakiwa kusoma 'mood' na move ya hadhira popote pale ulipo...akaanza kunya pumba,isome hadhira mapema vinginevyo usishangae watu wanakuacha peke yako kwenye vikao...mzee amejishushia heshima yake hata mvi zake zikawa kama manyoya ya kanga
   
 16. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  kweli yule dogo wa Pemba, amekosa ustaarabu wa kuongea katika majukwaa. imagine ingekuwa kenya upo kwa wajaluo na wewe ni mkikuyu halafu useme huwapendi? kweli watz bara wamemshangaa halafu wakamwacha, akajiona *****..
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Yule ni Mwenyekiti wa Tadea nakumbuka hata jana alikuwepo kwenye mdahalo uliofanyika Peacock hotel na leo tena kahamia ubungo kuleta pumba zake akaanza kung'ang'ania na mic ndo wadau wakataka kuzaa naye...logic ni kwamba unatakiwa kusoma 'mood' na move ya hadhira popote pale ulipo...akaanza kunya pumba,isome hadhira mapema vinginevyo usishangae watu wanakuacha peke yako kwenye vikao...mzee amejishushia heshima yake hata mvi zake zikawa kama manyoya ya kanga
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hako kakijana kaliongea hivyo kakiwa Bara au visiwani?
   
 19. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tuwe makini na hii midahalo kwani inaonyesha wazi kuwa inapendelea upande mmoja, hata waandaaji nao wanaonesha wazi kuwa nini wanataka wananchi waamini matakwa yao, kwa nn mnakataa kusikiliza mawazo ya wanaotetea upande wa serikari? C ni mawazotuu au Mnadhani ccm hakuna wanaoiunga mkono'? Au katiba iliyopo hakuna wanaoiunga? , Hawa wakina Kibamba hawatendi haki kbs Kwanza yeye anapohimiza wananchi waingie barabarani kupinga muswaada kusomwa mara ya pili kwani anauhusiana nini na majukumu ya bunge? Kweli msipokuwa makini katiba ijayo itakuwa na mapungufu makubwa kuliko hata iliyopo sasa na itadumu kwa muda mfupi sana,, maana naona ushabiki wa vyama ndo umetawala kuliko kuangalia matatizo yaliyopo. angalieni sana Tanzania ni yetu sote. Na nina imani Wenye mamlaka watazingatia maoni ya wengi lakini Ushabiki achane kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake mahala popote na mujibu wa sheria.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
   
 20. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,749
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  kale kajamaa kanatafuta umaarufu hata ukiangalia malumbano ya hoja lazima ukaoe.......kajamaaa ka pemba
   
Loading...