Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naombenini mwongozo kuhusu madaraka aliyonayo Raisi, nina uliza hivi kwa sababu hivi karibuni imeripotiwa katika vyombo vya habari kumekuwa na matukio ya vurugu katika mikoa ya Mbeya na Iringa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi wenye access na TBC, angalieni TBC Live kipindi cha Jambo Tanzania. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Warema na Waziri Stephen Wasira, wanahojiwa live kuhusu kuwasilishwa Muswada wa...
12 Reactions
117 Replies
12K Views
Naibu Katibu Mkuu wa CUF -- Julius mtatitiro -- uko wapi katika show hii kababambe inayoendelea baina ya wapigania haki na wkandamizaji? Tunajuwa wazi wewe ni mpiganaji -- tangu Chuoni, lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hadi sasa tumeshuhudia utumiaji mkubwa wa nguvu kupita kiasi wa Polisi dhidi ya wananchi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania imefikia hatua ambayo inafadhaisha, inakera na inasikitisha sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The government has bowed to pressure from MPs and scrapped heavy plants and machinery from the list of used assets that the government can purchase. This is contained in the amendments of various...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
#48 Moyo 2011-11-15 09:42 "alikiri kwamba aliwazuia wajumbe wa kamati hiyo siyo tu kwenda mikoani kukusanya maoni ya wananchi, lakini hata wale waliotaka kwenda nje ya nchi kwa lengo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi hawa watu ni nani anaitakia mema nchi hii? Ukizingatia kelele nyingi zinatupoteza mara, 1.jukwaa la katiba 2. Mara wabunge upinzani, 3.mara wabunge sisiemu, 4.mara wanasheria uchwara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tarehe 8/09/2011 siku ya alhamisi , kamati ya siasa wilaya ya njombe ilikutana ktk ofisi za ccm wilaya kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la hali mbaya ya kisiasa kwa ccm baada ya...
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Wakuu naomba mwongozo wenu. Leo hii kabla ya mjadala wa katiba kuanza nimeshangaa sana kuona spika bila aibu akiupigia kampeni kwa wabunge kupitisha muswada wa katiba. Hivi hili ni sahihi kwa mtu...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa nashangazwa na ukimya huu wa jumuiya ya kimataifa pamoja na washirika wake wakuu kama Marekani na Uingereza wakinyamazia vitendo vya kihuni vinavyofanywa na serikali ya CCM...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikisikiliza mazungumzo mengi ya watu kufuatia mjadala wa jana bungeni kuhusu Msuada wa Katiba nasikia wote wakisema “Katiba siyo kitu cha kucheza.” Hata jana nilipowasikiza Mh Tundu Liso, Mh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa waheshimiwa wabunge mh Machali na Mkosamali nawafahamu vizuri toka wakiwa SAUT walikuwa watu matata sana na ndiyo waliofungua matawi cdm chuoni,kinachonishangaza siku hizi Machali amebadilika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wakuu hebu tazama TBC1 hawa wabunge wanatetea mswada wa kuandaa tume ya ukusanyaji wa maoni ya kuandaa katiba
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Inaonekana Dhahiri kuwa Cuf na CCM lao moja.na nina uhakika kama ukiwaambia vyama vingi vifutwe kibaki kimoja watakuwa tayari.. Kila anayesimama anakandya mkakati wa Chadema kukacha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba nilete angle tofauti ambayo sijaona imeongelea hapa kuhusu ukatili wa polisi dhidi ya wanachadema Tanzania. Habari ninazosikia ni kwamba, mheshimiwa raisi wa Tanzania Dr Dr Dr Dr...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali...
23 Reactions
48 Replies
5K Views
From the Parliament From DAILY NEWS Reporters in DODOMA, 15th November 2011 @ 16:50, Total Comments: 0, Hits: 130 THE government has refuted claims that Kenya is distorting information by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, zimebaki saa chache ambapo mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema atoke kule lupango. Ikiwa Hakimu siku hiyo ameamka akiwa na "stress" akasema hakuna dhamana, kwamba arudi Kisongo au ipo...
0 Reactions
340 Replies
31K Views
Wadau katika hotuba ya waziri wa sheria na katiba jana alizungumzia kuwa katika mchakato wa kupata maoni ya wananchi wa Tanzania Bara itafanywa na NEC na watakao husika ni wale ambao wapo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…