Kwa makusudi au kwa kutojua wabunge wa CUF toka zanzibar wamekuwa wakitumika kukidhoofisha chama cha CUF upande wa Tanganyika kwa kauli na misimamo yao ya kuidama CDM na kuikumbatia CCM.
Wakati...
Katika Pitapita zangu nikainyaka hii kutoka kwa wananchi, Je Mkuu kweli husoma Barua za Wananchi?
Niliwahi Kuuliza Maswali katika website ya Serikali nikapewa namba ya kusubiti majibu,ni miaka 2...
William Ngeleja, Said Mwema, Anne Makinda wameonyesha uwezo mdogo sana katika kazi zao, je walipewa wa Merit?
Ngeleja amechemsha sana katika anga zifuatazo;
1. Nchi imekuwa katika mgao wa umeme...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/11/2011 // Makala/Tahariri // 8 Comments
Hakuna Sheria yoyote itakayopitishwa na Bunge la Muungano ambayo itatumika Zanzibar mpaka sheria hiyo iwe ni...
Kwa kweli watu wengi wanaoitakia mema nchi yetu walishangazwa na madai hayo na vitendo vya ndugu zetu hao. Hii si mara ya kwanza kwa nchi yetu kufanya zoezi la marekebisho ya Katiba au hata...
Kuna tetesi kwamba Bw. Ludovick Utoh amepoteza uwezo na ujasiri wa kuibua ubadhilifu wa fedha za serilkali na kuchunguza usahihi wa matumizi ya fedha za serilkali na mashirika ya umma kwa sababu...
Kukubali kwao muungano ambao wao walikuwa wanapiga zumari la pili (playing second fiddle) - 1964
Kama hiyo haikutosha walikubali kuunganisha vyama yaani TANU (bara) na Afro Shirazi...
19th November 2011Serikali imeshauriwa kutowapuuza wananchi ama kikundi chote kinachohoji mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya muunganio wa Tanzania kwa kuwa ikiwapuuza itakwama mbele ya...
Ndugu watanzania wenzangu popote pale mlipo, wengi wetu wenye nia njema na nchi yetu tumefadhaishwa sana na namna mambo yanavyopelekwa kuhusu katiba mpya. Tanzania tunahitaji katiba iliyotokana na...
WAKATI mfululizo wa vikao vya CCM vya Kamati ya Maadili, Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vinaanza leo Mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Jaji Mark Bomani...
*Asema muswada waliopitisha unawagawa Watanzania
*Ahoji uhalali wa NEC kusimamia kura za maoni
*Askofu aonya wanaopotosha kuhusu mchakato huo
Na Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya Bunge...
Mimi sio mwanahistoria mzuri lakini ninaweza kukumbuka vitu vya kihistoria katika nchi yetu hususani wakati wa ukoloni. Wanahistoria watakubaliana nami kuwa Tanganyika ilitawaliwa na wakoloni wa...
Ndugu wana JF,Wazalendo wa nchi hii na wote wanaoipenda Tanzania,kwanza nianze kwa kuishukru Jamii Forums kwa kuanzisha ukumbi huu ambao unatuwezesha hata walala hoi ambao hatuwezi kuingia Bungeni...
Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi,MB (MLALO) Hivi anahabari kwamba mkandarasi wa barabara ya Kitivo- tewe anatengeneza barabara hiyo kwa viwangovya chini kabisa? Barabara hii imekuwa ikitengewa...
Mara baada ya JK kutangaza Baraza lake la Mawaziri, kulikuwa na maoni kwamba kulikuwa na mafungu matatu ya mawaziri aliowachagua; Kwanza ni wale ambao ilibidi tu awachague kutokana na jamii ya...
Hivi Mh Rais husomi hata alama za nyakati ukajua kuwa Watanzania wameamka kwa sasa si rahisi kuwadanganya kama mnavyodhani. Nilikuwa nimemsikilza Selina Kombaini yule waziri wa sheria na katiba...
Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko...
Fri Nov 18, 2011 5:56pm GMT
* Says new basic law to be adopted before 2015
* Opposition wants to curb presidential powers
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Nov 18 (Reuters) -...
Mswada wa mabadiliko ya katiba wapitishwa sasa.....Hii dharau na kupuuza kwa serikali nini matokeo yake? Bunge limepitisha na shangwe zasikika na vigelegele toka kwa wabunge wa viti...