Wabunge wa CUF zanzibar wanatumika kuiua CUF Bara.

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Kwa makusudi au kwa kutojua wabunge wa CUF toka zanzibar wamekuwa wakitumika kukidhoofisha chama cha CUF upande wa Tanganyika kwa kauli na misimamo yao ya kuidama CDM na kuikumbatia CCM.
Wakati wabunge wa vyama vyenye upinzani wa kweli Bara wakiungana kuikosoa CCM wabunge wa CUF wao wamekalia kuiponda CDM kitu ambacho kimechangia wapenda mabadiliko wengi kuiona CUF bara kama c chama cha upinzani wa kweli.
Hivi hawa viongozi wa CUF bara hawalioni hili au wanasubiri chama kiwafie mikononi​?
 
craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap!!!!!!!!!!!
 
Ulichosema ni sahihi.Hawa waheshimiwa kauli wanazozitoa dhidi ya CDM hazitawaacha salama huku bara.Tazama walivyo wajinga wanadhani CCM ni ndugu yao wa kweli,kumbe CCM wenzao wajanja wana apply divide and rule!CCM wakiona CUF wanawaharibia CDM wanafurahi maana watakuwa na uhakika wa kuwachabanga wote ki urahisi.Salama ya CDM ni kwamba Watanzania sasa wanauelewa mpana sana kuhusu nchi yao na hivyo wakitambua ujinga wa CUF basi CUF itakuwa byebye bara.Ki ukweli CUF ni wasaliti wa mageuzi.
 
Cuf ni chama imara, anayedhani au kufikiria kuwa CUF itakufa anaumiza kichwa chake bure cuf imejengwa kwenye matawi tofauti na chadema ambapo wao wanategemea sana viongozi wa kikristo wawapigie kampeni, siku viongozi wa dini wakiwageuka chama KUSHINEYI.
 
Halafu mnalalamika kuwa cuf kwanini hawashirikiani na chadema, wakati ni nyie wenyewe mliwabagua CUF, Na hii ndio kawaida ya wachagga kuwabagua wenzao, na kwa dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna na mimi naomba kwa mungu iwe hivyo.
 
kama ilivyo cufkupigiwa debe na mashehe wabunge wote wa cuf ni waiclamu h
 
[Cuf ni chama imara, anayedhani au kufikiria kuwa CUF itakufa anaumiza kichwa chake bure cuf imejengwa kwenye matawi tofauti na chadema ambapo wao wanategemea sana viongozi wa kikristo wawapigie kampeni, siku viongozi wa dini wakiwageuka chama KUSHINEYI.]

Kaka Ngangari nenda na wakati! Angalia umaarufu wa Cuf ulivoporomoka katika miaka hii 2 tu ilyopita! Uko wapi udini au uchagga unaodai? Huko Mwanza CDM walikoibwaga CCM ni Wachagga? Usilete siasa zisizo na ukweli kubali CUF na hasa bara ina mtihani mkubwa acha huko kisiwani ambako mmekubali kuishi nyumba moja sasa sijui nani anamgharamia mwenzie kimaisha!
 
Halafu mnalalamika kuwa cuf kwanini hawashirikiani na chadema, wakati ni nyie wenyewe mliwabagua CUF, Na hii ndio kawaida ya wachagga kuwabagua wenzao, na kwa dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna na mimi naomba kwa mungu iwe hivyo.

Kati ya wachaga wa cdm na wapemba tena waislam wa cuf wengi kati ya vya hivyo ni wa upande gani? Kati ya cdm na cuf ni chama kipi kina wenyeviti wa mitaa wengi kuliko kingine? Halafa useme cuf imejijenga ktk ngazi ya matawi. Akili mgando kama hizi ndo zinamaliza cuf bara. Wakurupukia dini ya uislam ndio wamekua #1 wapinga cdm ck izi.
 
[Cuf ni chama imara, anayedhani au kufikiria kuwa CUF itakufa anaumiza kichwa chake bure cuf imejengwa kwenye matawi tofauti na chadema ambapo wao wanategemea sana viongozi wa kikristo wawapigie kampeni, siku viongozi wa dini wakiwageuka chama KUSHINEYI.]

Kaka Ngangari nenda na wakati! Angalia umaarufu wa Cuf ulivoporomoka katika miaka hii 2 tu ilyopita! Uko wapi udini au uchagga unaodai? Huko Mwanza CDM walikoibwaga CCM ni Wachagga? Usilete siasa zisizo na ukweli kubali CUF na hasa bara ina mtihani mkubwa acha huko kisiwani ambako mmekubali kuishi nyumba moja sasa sijui nani anamgharamia mwenzie kimaisha!

nimeipenda hiii
 
Cuf ni chama imara, anayedhani au kufikiria kuwa CUF itakufa anaumiza kichwa chake bure cuf imejengwa kwenye matawi tofauti na chadema ambapo wao wanategemea sana viongozi wa kikristo wawapigie kampeni, siku viongozi wa dini wakiwageuka chama KUSHINEYI.

Hoja dhaifu kabisa.Nyie CUF si mlilalamika sana wakati ule kwamba mnapakaziwa propaganda za udini?Leo inakuwaje na nyie mnaingia kwenye mtego huohuo?Kwa taarifa yako ukiona watu wanaanza kushambulia wenzao kwa hoja za udini basi ujue watu hao TAYARI wameshafilisika hoja!Watu kama wewe.
 
Muangila,
Kanuni inasema: To @axn there is an equal an opposite re-axn. Mathara wayapatayo cuf bara kwa kuikandia na kuiandama CDM ni sawa kabisa na yale wayapatayo CDM huko ZNZ kwa kuianika ndoa ya cuf na ccm.
 
Halafu mnalalamika kuwa cuf kwanini hawashirikiani na chadema, wakati ni nyie wenyewe mliwabagua CUF, Na hii ndio kawaida ya wachagga kuwabagua wenzao, na kwa dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna na mimi naomba kwa mungu iwe hivyo.

kweli CUF tuliipenda ila Mungu ameipenda zaidi maskini! enzi zile cuf ngangari! siku hizi ni peoples' power! mtaiandama sana cdm na hamtafanikiwa kwani mtaona kila siku ikizidi kupendwa na watu wa umri,dini ,kabila zote tz.
kwa sasa nadhani kausemi kanakowafaa ni cuf oye!
 
Mtatiro na Lipumba wanatakiwa wafanye maamuzi magumu kuunda cuf-bara ambayo haitakuwa na uhusiano na cuf ya seif ambayo am sure 2015 itavunjika na kuwa ccm.
 
Uimara wa CDM unatokana na tofauti za kimitazamo na mipango wakati Cuf inajijenga kwa fadhili na huruma za CCM CDM inajijenga kwa uwezo na jitihada zake mwenyewe haihitaji huruma ya mtu yeyote.
 
hata wakiona watafanya nini? sana sana wanabai na aibu, wanaogopa mi sometime huwa najiuliza Lipumba anajisikiaje? kuwa mwenyekiti picha anashindwa kuwa conduct hawa wawakilshi hauna msimamo katika chama maamuzi yanafanywa tu! kama ninekuwa mimi wangenitambua
 
lipumba hapo ni boya tu anayeongoza na mwenye sauti hapo ni seif. Ukimpinga unafukuzwa. Rejea mwasisi wa cuf Fundikila alifukuzwa au muulize Prof. SAFARI.
 
Kwisha habari yao watashtuka na kugundua kwamba ile siyo NDOA bali ni NDOANO ya kujimaliza kimyakimya
 
Kwa makusudi au kwa kutojua wabunge wa CUF toka zanzibar wamekuwa wakitumika kukidhoofisha chama cha CUF upande wa Tanganyika kwa kauli na misimamo yao ya kuidama CDM na kuikumbatia CCM.
Wakati wabunge wa vyama vyenye upinzani wa kweli Bara wakiungana kuikosoa CCM wabunge wa CUF wao wamekalia kuiponda CDM kitu ambacho kimechangia wapenda mabadiliko wengi kuiona CUF bara kama c chama cha upinzani wa kweli.
Hivi hawa viongozi wa CUF bara hawalioni hili au wanasubiri chama kiwafie mikononi​?

Unaishi katika mambo ya kufikirika. Wewe unadhani kuiunga mkono CDM ni dili la kukubalika hata kama hoja iliyopo mezani ni ya ovyo. CUF haihitaji kujinasibisha na CDM ili iweze kuishi. Ushauri wako ni wasted effort.
 
Back
Top Bottom