Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katiba ya nchi si katiba ya vyama vya siasa, vyama vya siasa visi "take" advantage kujitafutia umaarufu kwenye suala la katiba mpya, hapa watanzania wote tuna nafasi sawa ya kuandaa tanzania yetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu Waafrika sisi tu mahodari sana wa kufunga safari, lakini, huwa hatupangi safari. Kuna tofauti ya kufunga safari na kupanga safari. Kuna tofauti pia ya kuwa na mipango na mikakati...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa ameiasa jamii ya watanzania kujenga tabia ya kupanda na kutunza miti ili kufaidika na biashara ya hewa ukaa. Dk...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Katika vitu ambavyo chadema imefanikiwa ni kuwa na watu wenye fikra za kisiasa na wanazitumia kujenga na kufanya strategies kubwa. Nilikuwa na mkuu mmoja wa chadema nikamuuliza ana maoni gani...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Umefika wakati sasa kwa wabunge kuliweka mezani swala la tofauti za mishahara ya watumishi wa serikali, hapa namaanisha mshahara wa mtumishi wa TRA, TANAPA,BOT una tofauti kubwa sana na mishahara...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Mheshimiwa Rais JK, ni miaka takribani sita sasa toka ulipoanza kutuongoza. Watu wako wanalia maisha magumu kila uchao. Mfumuko wa bei unaziji kupaa na migogoro haiishi. Sidhani kama ushauri wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ile kesi ya Maandamano ya January 5,inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA,akiwepo Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe,katibu Mkuu Taifa,Dr Slaa, Wabunge Ndesamburo, Selasini, Lema, na viongozi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu JK amekubaliana na ujumbe wa CHADEMA kukutana tena kesho asubuhi ili kumpa nafasi kutafakari yale waliyo yazungumza leo. Tutarajie nini watanzania? UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF...
0 Reactions
172 Replies
18K Views
katiba ya nchi si katiba ya vyama vya siasa, vyama vya siasa visi "take" advantage kujitafutia umaarufu kwenye suala la katiba mpya, hapa watanzania wote tuna nafasi sawa ya kuandaa tanzania yetu...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Wana JF,Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu uongozi na siasa za nchi yetu,Sielewi ni nini kinaendelea hadi sasa:1. Majina ya viongozi wengi yametajwa waachie ngazi lakini bado wapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ukuta kama wa Berlin unajengwa huko Kahama na Kampuni ya kuchimba madini ya Barrick- Buzwagi, ni ukuta wenye ghalama ya juu kuliko unavyofikiri, ni mzunguko wa km zipatazo 80, ninaposema ni wa...
8 Reactions
124 Replies
12K Views
Wana JF nimetazama taarifa ya habari ya TBC leo saa 2usiku nimeona Rais wa Burundi Pierre Nkulunziza akishiriki ujenzi wa jengo la Ofisi ya mkuu wa mkoa nchini humo na inaelezwa kuwa hii ni sehemu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
SERIKALI MBARALI YAMTEGA KANDORO NA USALAMA WA TAIFA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO OFISI ya Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imempa kazi nzito ya kutatua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kuna mbunge wa Mtera kupitia CCM naona anafoka hapa bungeni na kutoa povu kwamba CHADEMA wanafadhiliwa na Ujerumani ili kupinga muswaada wa katiba mpya na kusababisha machafuko katika nchi...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi iliyoanzisha mfumo wa kusamehe baadhi ya kodi wanazotozwa wanajeshi wa jeshi la Tanzania, kupitia msamaha huu wa kodi maduka na kampuni zinazotoa huduma ya bidhaa katika maduka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uamuzi huo ulikuwa umechangiwa kwa kiasi kikubwa na maoni shawishi ya mmoja wa Wenyeviti wa Mikoa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara, Charles Makongoro Nyerere, aliyesema watu wa kawaida walikuwa...
2 Reactions
63 Replies
9K Views
Watanzania tushikane mikono ili tupate katiba, kwa ajili ya ustawi wa taifa letu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upinzani si kupinga kila jambo - Seif Thursday, 18 November 2010 19:53 newsroom Na Esther Mvungi,Dodoma MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Seif Sharif Hamad...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…