vyombo vya habari vimeng'ang'ania gamba la ccm ambalo ni wazi limefika kiunoni na limegota hapohapo. hata baada ya kuona hivyo, vyombo vya habari vimeshindwa kusimamia ajenda zinazohusu umma, kama...
hatimaye ule usemi ngoma ya kitoto aikeshi umetimia baada ya cdm kula matapishi yao kutokana na kauli ya rais kuwa wanatoka lakini mimi ndio raisi wao sasa yametimia na...
Nimeisoma mara mbilimbili sheria ya mabadiliko ya katiba iliyosainiwa juzi na rais na kugundua kuwa composition ya wajumbe ilivyo itapelekea kuvunjika kwa Muungano. Nitafafanua.
Kwa mujibu wa...
Wadau,
Katika kile kinchoonekana ni kuwaweka wananchama wake na wananchi kwa ujumla mguu pande mguu sawa, Chadema imeamua kusambaza viongozi na wabunge wake Tanzania nzima ili kuweka kinagaubaga...
Siku za karibuni kumekuwa na vitisho vingi kila mara wadau mbalimbali wanapotaka kuandamana, kufanya mikutano ya hadhara, midahalo hata kujadili mchakato wa katiba mpya ambayo imepitishwa...
Nimekuwa nikufuatilia michango ya viongozi wa wetu wa kisiasa wakichangia harambe mbalimbali za kuchangia ujenzi wa kanisa, shule na miradi ya maendeleo.
mfano wengi wamechangia mpaka milioni...
kafunguka kwa maneno mafupi kweli, nanukuuu: ....."situmiii jukwaa hili , si kwa kujisafisha kama wengine ,wananchi mnatujua, na wale wengine mnawajua".
Source : Radio Maria Tanzania
NAWASILISHA.
Ndugu zangu,
Kwenye hili la mchakato wa kupata katiba mpya bado nasimama kwenye kauli yangu ya tangu mwezi Aprili mwaka huu, kuwa tumeanza na mguu mbaya lakini naamini kuwa bado tuna nafasi...
Kwa bahati nimeamua kuwa siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa siasa na baadhi ya wanasiasa. Mfano halisi wanasiasa ninao wakubali bila kujali itikadi zao ni Mbowe, Slaa...
i
Rate This
Baadhi ya Wazanzibari waliojitokeza mapema mwaka huu kupinga Muungano hadharani. Kwa wao, chaguo la kwanza ni kutokuwa na Muungano, la pili ndio serikali tatu, hawataki kuuona wa...
Wiki hii nzima magazetini na hapa kwetu jf pametawaliwa na minyukano mikubwa kati ya aidha wafuasi wa LW na wasio,au wana magamba na wengineo.
Kikubwa kilichoibua mjadala ni jinsi...
MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa, ameibuka na kudai kuwa wazee ndio kiini cha mipasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya chama hicho na taifa, huku akionya kuwa...
Hi JF members
Leo asubuhi kupitia BBC Mkapa Rais wa awamu ya 3 wa JMT amezungumza yafuatayo;
Wengi hawajui katiba mpya inaandikwaje wanafikiri tunachukua plane paper tunaanza kuandika kila kitu...
CHADEMA imesema licha ya Rais Jakaya Kikwete kutia saini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011, itafanya kila linalowezekana kuhakikisha Tanzania inapata Katiba bora.
Matamko...
Fedha zinazotengwa miaka yote hii fungu la maendneleo hakuna jitihada za kuboresha vituo vya polisi kama hiki kinachoonekana. Polisi badala ya kuwajibika ametulia na ile radio ya miaka ile 177 or...
Kuna taarifa za kuamini kwamba ccm imeanza kupoteza mvuto wake kwa kasi wilayani Monduli. Sababu hasa ni viongozi wa kitaifa wa ccm kuendelea kumsakama mh mbunge wa Monduli kapten MSTAAFU EL...
Jukwaa la Katiba kutangaza Maombolezo ya siku 9
Katika kuonyesha msimamo wao wa kutokubaliana na maridhiano tete kati ya CDM na JK, Jukwaa la katiba lipo katika mchakato utaofanikisha kutolewa...
Wana jamvi
Mimi naona giza tupu kuhusu miaka 50 ya uhuru yani mpaka leo tunazungumzia kuthubutu wakati wenzetu kama india historia inaonesha tulikuwa sawa kimaendeleo kipindi flani. Ninachoona ni...