Eti ndio MIKATABA mibovu inapoanzia

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
attachment.php

2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg 6.jpg 7.jpg
attachment.php
7.jpg 8.jpg
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    40.5 KB · Views: 33
Wabongo wengi huwa hatujui kujipendeza kama hawa jamaa wenye asili ya bara la Asia na nadhani ndio maana tunakufa na umaskini wetu.Ila dogo awe makini maana anaweza kujikuta anawasiliana na CIA au Al Quaeda
 
nawachukia sana wahindi na jamii yao,sijui kwa nini lakini ndio hivyo.

Nadhani hata sisi weusi tuna matatizo sana na ndo maana tunarubuniwa kirahisi na kuweka uzalendo pembeni.BTW nilikuwa nimesoma msg chache kwani nyingi hazikufunguka kumbe jamaa ni wa Iran.Kwa mtindo huu hii nchi yote itauzwa kwa style ya chifu Mangungo wa Msovero
 
Nadhani hata sisi weusi tuna matatizo sana na ndo maana tunarubuniwa kirahisi na kuweka uzalendo pembeni.BTW nilikuwa nimesoma msg chache kwani nyingi hazikufunguka.Kwa mtindo huu hii nchi yote itauzwa kwa style ya chifu Mangungo wa Msovero

wenzetu wengi(hata wakenya) wanatumia ujanja,ufisadi au ubabe kunufaisha nchi zao lakini sisi tunatumia mambo haya kuhujumu nchi yetu.
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu, kikwete ana invest kwa kupitia watoto wake. Ngoja tushike nchi yetu ndio watatueleza vizuri utajiri wao waliupataje. Wanatumia rasilimali zetu kujitajirisha wao.
 
Hawa madogo na baba yao Fisadi siku tutakapo chukuwa nchi yetu lazima tuwaburuze kwenye Sheria na wakanyee debe. Inasikitisha jinsi gani wanayotumiwa kutuibia rasilimali zetu
 
wenzetu wengi(hata wakenya) wanatumia ujanja,ufisadi au ubabe kunufaisha nchi zao lakini sisi tunatumia mambo haya kuhujumu nchi yetu.

uko sahihi kabisa mkuu na sijui watz tumepatwa na nini mpaka kufikia hatua hii.Tumefikia mahali tunawapa dhamana ya kutuongoza hata watu wenye utata wa uraia tena kwenye masuala nyeti ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom