chadema wamekula matapishi yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema wamekula matapishi yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchuziwanyoka, Dec 3, 2011.

 1. mchuziwanyoka

  mchuziwanyoka JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hatimaye ule usemi ngoma ya kitoto aikeshi umetimia baada ya cdm kula matapishi yao kutokana na kauli ya rais kuwa wanatoka lakini mimi ndio raisi wao sasa yametimia na kwenda kunywa kikombe cha juisi na kulainika kama mlenda asemavo shibuda
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ulitaka waingie kama wanaenda pigana? Kwamba sababu JK ana kasoro wasusie juice? Kwamba kuongea kwa JK kua ni Raisi wao ndo kigezo cha kusema wamedhalilika? Nakubali kua approach na scene nzima portrayed na CDM was a bit disturbing but vigezo umetaja sio.... But hata hivo hio ni IMO tu....
   
 3. ibraton

  ibraton Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  pumbavu hyu'rais ndio muamuzi wa mwisho ndio amiri jeshi sasa ulitaka wakamtukane rais'
   
 4. Utanijua

  Utanijua Senior Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  mbona hii nyumba kila thread inayopingana na magwanda matusi kibaooo
   
Loading...